Simulizi za polisi kuua gaidi Arusha

Simulizi za polisi kuua gaidi Arusha

Hii dhuluma ina mda wake

hawawez kukwambia kila walofanya had uyu jamaa akafa ila kwakua uyu msela alikua karateka na mim jins nnavyowafaham hawa polis wa kushughulika na izi ishu za kigaid niwaz kisongo alipelekwa kinadharia ila mishe zilikua zinaendelea eidha usa au kule godaon gun sio ilomuua bal waliitumia kumpunguza kas baada ya kuona mambo yamewazid ila uyu mshikaji na yeye asingeonyesha kujibu mashambulizi wasingemuua aisee ila aman ndo ishu mazee.
 
Mnyonge mnyongeni lakini Haki yake mpeni. Huu usemi huwa una maana sana pale inapokuwa suala Fulani linaegemea upande Fulani. Hivi majuzi tumesikia kuuawa kwa Kinara, Mratibu na Mkufunzi wa Ugaidi na watu wanatumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kutaka kuhalalisha Ugaidi. Tukumbuke Wahanga wa Mtukio ya Ulipuajia wa mabomu,Tindikali na vitu vingine vinavyofanana na ugaidi sasa hivi wanajisikiaje kusikia kuwa yule Jamaa (Gaidi) Kauawa na Polisi alipokuwa anajaribu Kutoroka. Pia watu wamesahau tu kuwa Juzi juzi tu Arusha aliuawa Jambazi sugu aliyekuwa anaua akina mama waliokuwa wanamiliki Magari, niliona umati wa watu ukishangilia lakini hii ya Gaidi imekuwa kinyume chake. Hapana tuwapongeze Polisi kwa Kazi nzuri waliyofanya tusiwakatishe tamaa. Fikiria Gaidi huyo angetoroka je mimi na wewe tungekuwa katika hali gani. Osama naye alipouawa kuna watu walilia sana lakini hawakukumbuka Septemba 11 kule Marekani.
 
Swali ni je alichokisema kamanda Sabas ni kweli au ameudangaya umma?amesema huyu jamaa alikua anakimbia ,lakini ukiangalia amepigwa risasi na mtu aliyekua mbele yake
Alisema amepigwa kiunoni ni kweli hapo ni kiunoni?

Una uhakika gani kama ndio yeye huyo kwenye picha?
 
Nahisi wewe ndio polisi uliyemuua huyu jamaa ase! Kwahiyo unahararisha mauaji ya raia wasio na hatia kwa maana mahakamani hampaamini? Je kuna mla rushwa kuzidi polisi? Si ajabu alikataa kutoa hongo baada ya kubambikiwa kesi, mkamzima kibatari!

Kama sio polisi usishangilie sana maana siku ukiangukia kwenye kumi na nane zao ndio utawajua walivyo mashetani hawa jamaa. (Talking from experience )

Uliwahi kuwa gaidi?
 
mkuu hata mimi kama kweli ingekuwa na uhalisia kwa mtu anayeua watu ovyo ovyo hata wakimkili ni sawa tu. sina hata chembe ya huruma kwa watu wa aina hiyo. tatizo ni hii taarifa ya kuchonga. the same person akalipue mashekh, makanisa, mabar, mikutano ya chadema, akamwagie mashekh tindikali, kweli? huo mchanganyiko wa chai na mlenda unauonaje? halafu sehemu mbalimbali nchini mpaka nchi jirani ya Zanzibar.
tafakari bhana!

nikawaida2 ya polis dunian kokote kufikia hatua hii ya kumkill mtu mmoja ambaye akiachwa ni hatar sana kwa usalama wa nchi ila tatizo police wengine wanakosea ifomation na kuwafanya maraia wasandie ishu kam iz mazee.ila kwa uyu mshikaj kama kwel alikir kuhusika na iz ishu zote apa town ameniadhiri sana hata mim niliyempoteza brother angu kwenye ishu ya soweto. ila yote kwa yote sheria na hak yake angetakiwa kufikishwa kwa pilato ili kama ni kumkill ingekua uko mazee.
 
nisome vizuri. ni bora mtu akutukane matusi haya tunayoyaita kuliko matusi uliyotutukana. halafu unajiita eti umeleleka.
kasome ulichokiandika kama kweli umelelewa ukaleleka.

kwani ukitoa maelezo bila kunitukana uwezi kuwa umenielewesha?ila mimi sikulaumu labda ndivyo ulivyolelewa,lakinifahamu kwamba umjui unaiemtukana inawezekana ukawa mnamtukana kaka yako au ndungu yako wa karibu maana wengi katika JF wanatumia majina ya bandio,hivyo kwa faida yako nakushauri usipende sana kumtukana mtu usiyemfahamu,huo ni ushauri wangu tu,lakini kama utaona haukufai endelea kama ulivyolelewa
 
Sasa kama walikuwa hawafadhiliwi na waliku wanajifadhili! Ilikuwaje wamiliki mabomu ya kijeshi?

Na Je! ni kwanini wafanye mashambulizi katika mazingira tofauti yasiyo na uhusiano kabisa kama:
  • Kushambulia makanisa?
  • Kushambulia mikutano ya siasa?
  • Kuwashambulia mashehe?
  • kushambulia kumbi za starehe?
Huyu Liberatus Sabas atueleze kuwa huyo marehemu na kikundi chake kilikuwa kuina entrance gani katika uhalifu wao.?

Magaidi huwa wana motive, hawawezi kuwa wametawanyika tu kushambulia kila mtu. Police ni waongo kuna jambo wanaficha.
 
nikawaida2 ya polis dunian kokote kufikia hatua hii ya kumkill mtu mmoja ambaye akiachwa ni hatar sana kwa usalama wa nchi ila tatizo police wengine wanakosea ifomation na kuwafanya maraia wasandie ishu kam iz mazee.ila kwa uyu mshikaj kama kwel alikir kuhusika na iz ishu zote apa town ameniadhiri sana hata mim niliyempoteza brother angu kwenye ishu ya soweto. ila yote kwa yote sheria na hak yake angetakiwa kufikishwa kwa pilato ili kama ni kumkill ingekua uko mazee.

Madava kweli na wewe unakubali kuwa huyu jamaa ndo alitekeleza tukio la soweto, ana uwezo wa kutekeleza tukio kama lile smg na bastola walizopigwa watu, zote ni yeye. Mkuu hata kama umehama Chadema usisahau tukio lilitupotezea na kutujeruhia wapendwa wetu ukiwamo wewe.
 
Nafikiria upande wa pili wa Shillingi kuwa huenda huyo marehemu aliwahi kutumika na Polisi kama jamaa yetu wa kesi ya Lwakatare (Ludo) hivyo walipoona mbele ya safari anaweza kuwaaumbua basi ikabidi wamrestishe in pisi tu kufuta nyayo zao,

"GAIDI GAIDI GAIDI KUMSAFIRISHA USIKU, USIKU, USIKU BILA PINGU DUH HII NGUMU KUMEZA"

Mkuu tusubirini tuone mwisho wake huenda polisi wana hoja ya msingi.
 
Nahisi wewe ndio polisi uliyemuua huyu jamaa ase! Kwahiyo unahararisha mauaji ya raia wasio na hatia kwa maana mahakamani hampaamini? Je kuna mla rushwa kuzidi polisi? Si ajabu alikataa kutoa hongo baada ya kubambikiwa kesi, mkamzima kibatari!

Kama sio polisi usishangilie sana maana siku ukiangukia kwenye kumi na nane zao ndio utawajua walivyo mashetani hawa jamaa. (Talking from experience )
swala hapa siyo kushangilia tu bila kuwa na maana na wala
mimi siyo polisi mimi ni raia wa kawaida sana tena mtu mdogo tu hapa mimi nisichokubaliana Nacho ni lawama wa
nazopewa polisi kwamba waliyemuua ni raia mwema na si mhalifu kama wanavyodai wao halafu yake hauendi mbele
zaidi ya hapo kwa kumtaja mhalifu ni yupi unayemfahamu
 
Mkuu tusubirini tuone mwisho wake huenda polisi wana hoja ya msingi.

Pale soweto kuna watu waliopigwa risasi, inamaana huyo marehemu baada ya kurusha bomu alishika bunduki akaanza kumimina risasi?
 
Sasa kama walikuwa hawafadhiliwi na waliku wanajifadhili! Ilikuwaje wamiliki mabomu ya kijeshi?

Na Je! ni kwanini wafanye mashambulizi katika mazingira tofauti yasiyo na uhusiano kabisa kama:
  • Kushambulia makanisa?
  • Kushambulia mikutano ya siasa?
  • Kuwashambulia mashehe?
  • kushambulia kumbi za starehe?
Huyu Liberatus Sabas atueleze kuwa huyo marehemu na kikundi chake kilikuwa kuina entrance gani katika uhalifu wao.?

entrance unamaanisha nini? kwa nini usitumie tu lugha ya kiswahili angalau ukaeleweka? unalazimisha lugha ya watu ambayo huielewi.
 
Back
Top Bottom