Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

Episode 1: Introduction.

Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yaliotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa wasomaji.

Hivi ni visa vinavyotokana na matukio ya ukweli kwa kiwango kikubwa. Tutatiriririka navyo hapa visa na mikasa vya umalaya na ukahaba unaofanyika kwenye nyumba za kishua zinazojulikana kama geti kali kwa njia ya episodes zitazotokana na muhusika anaeongelewa. Kwenye hii episode ya kwanza tutaanza na familia ya kishua kabisa, ya Mama na Baba Nisha, kwa kiwango kikubwa episode hii itawahusu familia ya Mama na Baba Nisha na ndugu, jamaa, marafiki na watu wao wanaowazunguka kwa karibu kabisa.

Visa na mikasa mingi ya umalaya na ukahaba, huhusisha familia za walala hoi, lakini visa hivi vitavyofatia, vitajikita katika famiali a zinazojiweza kimali na kifedha, au kwa ufupi "familia za kishua" pia zinajulikana kama geti kali.

Kwanza kabisa tuelewe maana ya malaya na maana ya kahaba.

Malaya
Malaya ni mtu anaependa ngono, awe ni mwanamke au mwanamme, mradi anapenda ngono basi huyo ni malaya. Kwa asilimia kubwa umalaya unahusishwa kwa wanawake tu, lakini ukweli ni kua hata wanaume baadhi yao huwa ni malaya tu.

Umalaya hutokana na mengi, lakini zaidi hutokana na maisha zinavyoishi familia ndizo huchochea umalaya

Malaya huwa hajiuzi kufanya au ngono kwa ajili ya pesa au kipato. Yeye ni mpenda ngono, ambae hatosheki kwa ngono, yupo tayari kufanya ngono na yeyote, awe ndani ya familia au nje ya familia, awe wa jinsia yake au nyingine, mradi yeye akidhi kiu yake ya ngono tu.

Kahaba
Kahaba ni mtu anaejiuza mwili wake ili ajiingizie kipato au apate anachokitaka, si lazima awe na shida ya pesa, pengine anashida ya kutaka kitu fulani kifanyike, basi atafanya ulaghai kutumia maumbile yake ili afanikishe lake. Hajali kabisa kujiuza ili yake yaende.

Hizo ndio maana za malaya, umalaya na kahaba au ukahaba zilivyotumika kwenye visa hivi.

Kwa maana hizo kwenye kisa hiki tutaona kua, malaya na makhaba si lazima wawe hawajiwezi. Binafsi naamini, Umalaya na Ukahaba mkubwa zaidi hufanyika kwenye familia za kishua kuliko familia za kawaida, za walala hoi.

itaendelea.
Hapo utakamata wajinga wenzio wengi sana.
Malaya kwa maana yako basi kila mtu ni malaya.ngono kupenda ni jambo zuri na ni zawadi toka kwa muumbaji .kutotosheka ni kukutana na msiendana kimatamanio .hakuna mwenye kibamia ni anadate na mtu sio size yake .
Malaya ni nani?
Malaya ni jina la mtu asieheshimu maadili ya kimahusiano kwa mihemko ya ngono.mfano kama umeolewa ukampa nje ww ni malaya .ila ukiona mmeo hakuridhishi ukaomba taraka ukaanza lala na asie kuoa na hajaoa ww sio malaya.malaya ni tusi kwa wasio waadilifu.
 
Ukitoka kituo cha Tabata relini kuelekea Buguruni kinafuata kituo cha Matumbi baada ya matumbi kinafuata kituo gani?
Hakuna kituo pale mpaka Sheli tena pale Sheli ni just in case Ila kituo ni Buguruni pale mataa kwa mbele kabla ya kufika Tazara au Bharesa Ila km unaelekea mnazi kituo ni kule sokoni sasa hio Buguruni Tabata ndio ipi yaan lile ombwe pale kati ndio mnaita Buguruni Tabata?
 
Hakuna kituo pale mpaka Sheli tena pale Sheli ni just in case Ila kituo ni Buguruni pale mataa kwa mbele kabla ya kufika Tazara au Bharesa Ila km unaelekea mnazi kituo ni kule sokoni sasa hio Buguruni Tabata ndio ipi yaan lile ombwe pale kati ndio mnaita Buguruni Tabata?
Mi nilishawahi kusikia na hii si mara ya kwanza especailly yale maeneo ilipo Access Bank upande wa kushoto kuelekea Buguruni
 
Back
Top Bottom