MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
Straight to the point;-
1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).
2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.
Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.