Suala la ukahaba ni matokeo ya wazi ya mifumo yetu ya maadili iliyomongo'nyoka

tandabui2021

JF-Expert Member
Nov 5, 2021
3,120
5,362
Kamwe kuvunja danguro hakuwezi kutokomeza biashara ya ukahaba Tanzania, huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa, jambo hili la kudanga lipo mioyoni mwa watu hata kama tukibomoa miundo mbinu ya watu bado tunahitaji kushughulika na ufahamu wa watu, mnabomoa madanguro wao watakuwa wanaranda barabarani.

Tulishapoteza mwelekeo karibu Kila kijana anawaza kuhusu ngono na kulawitiana kama fasheni au kama jambo la kuingiza kipato. Tatizo jingine rushwa nayo itakuwa na mchango wake katika hili, si kila mtu anaweza kumiliki danguro, ni watu ambao wanatoa rushwa kuanzio kwa mwenyekitu wa mtaa na vyombo vingine Ili wakae kimya wasinyooshewe vidole.

Jambo la kushangaza hata wanaufunzi wa vyuoni nao wanajiuza, wake za watu nao wapo kwenye biashara, na wengine walioolewa huwa akigombana na mume wake ataenda huko Ili apate kijana wa kumdhughulikia lakini hao wanunuzi ni sisi wenyewe wakati mwingine ni watu wenye heshima zetu.

Taifa lolote ili liendelee linahitaji liwe na misingi Bora ya kifamilia, viijana wenye nguvu ya kufanya kazi zenye tuja na kuzalisha mali. Kwa tulipofikia tunatakiwa ubadili Sheria zetu kuhusu mambo ya ukahaba na madanguro na adhabu kali zitolewe.

Pia tunahitaji kudhibiti maudhui ambayo yapo katika nyimbo pamoja na tv Kwa kuwa baadhi huwa yanachochea vitendo vya ngono na biashara hiyo, lakini pia tunahitaji serikali iweke sera ambazo zitawezesha viijana kujiajiri ama kuajiriwa kwenye kazi zenye tija ikiwa ni pamoja na mikopo yenye unafuu na iwafikie walengwa.

Leseni za bar na sehemu za starehe ziwe zinatolewa kwa vibali maalumu vyenye kuzingatia mpaka na mishahara ya watumishi wa kada hiyo, kwenye baa nyingi umalaya Huwa unafanyika kuliko huko madanguroni.

Jambo jingine ni kuweka mifumo itakayodhibiti pesa haramu kuingia kwenye channel za kawaida ikiwepo na pesa zinazopatikana Kwa njia za rushwa, uuzaji wa mihadarati nk kama tukiachana na hiii mifumo mtu anaonekana tajiri ghafla na huku vyanzo vyake vya mapato havonekani basi tunaweza kudhitibi ukahaba.

Hivyo kwa ufupi Ili kujibithi ukahaba;
  • Dhibiti utakatishaji fedha.
  • Dhibiti rushwa.
  • Dhibiti ujenzi holela.
  • Dhibiti madawa ya kulevya.
  • Dhibiti content kwenye movies/muziki.
  • Dhibiti utapeli.
  • Register watu wa Kila eneo na uwe na data base njia zao za kipato halali.
  • Boresha Sheria za ndoa na ukahaba.
  • Boresha elimu na tengeneza nguvu kazi yenye tija.
  • Tengeneza ajira Kwa viijana.
  • Biashara ziwe registered kikamilifu.
  • Unda mabaraza kwenye Kila kata kushughulika kesi za kimaadili, ushoga, ukahaba n.k.
 
Wenye kufanya hayo ni wa kina nani? Watunge Sheria kali ?
Kuna Bar ambayo ipo pale Tip Top inatoa huduma masaa 24 ukienda pale Mabalaa yote unayoyaoona kwenye sinema za Kizungu utayakuta pale. Sheria za duniani haziwezi kumbadilisha Binadamu kwa sababu hata aliyezitunga na yeye ndiye anayeongoza kwa kuzivunja.
 
Kamwe kuvunja danguro hakuwezi kutokomeza biashara ya ukahaba Tanzania, huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa, jambo hili la kudanga lipo mioyoni mwa watu hata kama tukibomoa miundo mbinu ya watu bado tunahitaji kushughulika na ufahamu wa watu, mnabomoa madanguro wao watakuwa wanaranda barabarani.

Tulishapoteza mwelekeo karibu Kila kijana anawaza kuhusu ngono na kulawitiana kama fasheni au kama jambo la kuingiza kipato. Tatizo jingine rushwa nayo itakuwa na mchango wake katika hili, si kila mtu anaweza kumiliki danguro, ni watu ambao wanatoa rushwa kuanzio kwa mwenyekitu wa mtaa na vyombo vingine Ili wakae kimya wasinyooshewe vidole.

Jambo la kushangaza hata wanaufunzi wa vyuoni nao wanajiuza, wake za watu nao wapo kwenye biashara, na wengine walioolewa huwa akigombana na mume wake ataenda huko Ili apate kijana wa kumdhughulikia lakini hao wanunuzi ni sisi wenyewe wakati mwingine ni watu wenye heshima zetu.

Taifa lolote ili liendelee linahitaji liwe na misingi Bora ya kifamilia, viijana wenye nguvu ya kufanya kazi zenye tuja na kuzalisha mali. Kwa tulipofikia tunatakiwa ubadili Sheria zetu kuhusu mambo ya ukahaba na madanguro na adhabu kali zitolewe.

Pia tunahitaji kudhibiti maudhui ambayo yapo katika nyimbo pamoja na tv Kwa kuwa baadhi huwa yanachochea vitendo vya ngono na biashara hiyo, lakini pia tunahitaji serikali iweke sera ambazo zitawezesha viijana kujiajiri ama kuajiriwa kwenye kazi zenye tija ikiwa ni pamoja na mikopo yenye unafuu na iwafikie walengwa.

Leseni za bar na sehemu za starehe ziwe zinatolewa kwa vibali maalumu vyenye kuzingatia mpaka na mishahara ya watumishi wa kada hiyo, kwenye baa nyingi umalaya Huwa unafanyika kuliko huko madanguroni.

Jambo jingine ni kuweka mifumo itakayodhibiti pesa haramu kuingia kwenye channel za kawaida ikiwepo na pesa zinazopatikana Kwa njia za rushwa, uuzaji wa mihadarati nk kama tukiachana na hiii mifumo mtu anaonekana tajiri ghafla na huku vyanzo vyake vya mapato havonekani basi tunaweza kudhitibi ukahaba.

Hivyo kwa ufupi Ili kujibithi ukahaba;
  • Dhibiti utakatishaji fedha.
  • Dhibiti rushwa.
  • Dhibiti ujenzi holela.
  • Dhibiti madawa ya kulevya.
  • Dhibiti content kwenye movies/muziki.
  • Dhibiti utapeli.
  • Register watu wa Kila eneo na uwe na data base njia zao za kipato halali.
  • Boresha Sheria za ndoa na ukahaba.
  • Boresha elimu na tengeneza nguvu kazi yenye tija.
  • Tengeneza ajira Kwa viijana.
  • Biashara ziwe registered kikamilifu.
  • Unda mabaraza kwenye Kila kata kushughulika kesi za kimaadili, ushoga, ukahaba n.k.

Bolded content.
 
Kuna watu wanaitwa "son's of bitch" au watoto wa malaya, hawa huwezi kuwaambia chochote kuhusu maadili na sijui mmomonyoko huwa hawavielewi

Kwaiyo cha kwanza ni ku-deal na hiki kizazi haramu kitoweke na sijui kitatoekaje maana malaya wanaongoza kuzaa kuliko walioko ndoani
 
Kamwe kuvunja danguro hakuwezi kutokomeza biashara ya ukahaba Tanzania, huu ni ukweli ulio dhahiri kabisa, jambo hili la kudanga lipo mioyoni mwa watu hata kama tukibomoa miundo mbinu ya watu bado tunahitaji kushughulika na ufahamu wa watu, mnabomoa madanguro wao watakuwa wanaranda barabarani.

Tulishapoteza mwelekeo karibu Kila kijana anawaza kuhusu ngono na kulawitiana kama fasheni au kama jambo la kuingiza kipato. Tatizo jingine rushwa nayo itakuwa na mchango wake katika hili, si kila mtu anaweza kumiliki danguro, ni watu ambao wanatoa rushwa kuanzio kwa mwenyekitu wa mtaa na vyombo vingine Ili wakae kimya wasinyooshewe vidole.

Jambo la kushangaza hata wanaufunzi wa vyuoni nao wanajiuza, wake za watu nao wapo kwenye biashara, na wengine walioolewa huwa akigombana na mume wake ataenda huko Ili apate kijana wa kumdhughulikia lakini hao wanunuzi ni sisi wenyewe wakati mwingine ni watu wenye heshima zetu.

Taifa lolote ili liendelee linahitaji liwe na misingi Bora ya kifamilia, viijana wenye nguvu ya kufanya kazi zenye tuja na kuzalisha mali. Kwa tulipofikia tunatakiwa ubadili Sheria zetu kuhusu mambo ya ukahaba na madanguro na adhabu kali zitolewe.

Pia tunahitaji kudhibiti maudhui ambayo yapo katika nyimbo pamoja na tv Kwa kuwa baadhi huwa yanachochea vitendo vya ngono na biashara hiyo, lakini pia tunahitaji serikali iweke sera ambazo zitawezesha viijana kujiajiri ama kuajiriwa kwenye kazi zenye tija ikiwa ni pamoja na mikopo yenye unafuu na iwafikie walengwa.

Leseni za bar na sehemu za starehe ziwe zinatolewa kwa vibali maalumu vyenye kuzingatia mpaka na mishahara ya watumishi wa kada hiyo, kwenye baa nyingi umalaya Huwa unafanyika kuliko huko madanguroni.

Jambo jingine ni kuweka mifumo itakayodhibiti pesa haramu kuingia kwenye channel za kawaida ikiwepo na pesa zinazopatikana Kwa njia za rushwa, uuzaji wa mihadarati nk kama tukiachana na hiii mifumo mtu anaonekana tajiri ghafla na huku vyanzo vyake vya mapato havonekani basi tunaweza kudhitibi ukahaba.

Hivyo kwa ufupi Ili kujibithi ukahaba;
  • Dhibiti utakatishaji fedha.
  • Dhibiti rushwa.
  • Dhibiti ujenzi holela.
  • Dhibiti madawa ya kulevya.
  • Dhibiti content kwenye movies/muziki.
  • Dhibiti utapeli.
  • Register watu wa Kila eneo na uwe na data base njia zao za kipato halali.
  • Boresha Sheria za ndoa na ukahaba.
  • Boresha elimu na tengeneza nguvu kazi yenye tija.
  • Tengeneza ajira Kwa viijana.
  • Biashara ziwe registered kikamilifu.
  • Unda mabaraza kwenye Kila kata kushughulika kesi za kimaadili, ushoga, ukahaba n.k.
Soma hivi visa na miksa👇🏾

Usome umalaya na ukahaba wa kishua mbao si wengi wanaojua kama upo;

Back
Top Bottom