Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua

kahaba ni neno la kiarabu lina maana ya mhuni wa kijiuza. malaya ni neno la kiswahili lina maana ya mhuni wa kujiuza. ndio maana zamani kulikuwa na spana ya baikeli inaitwa spana malaya kokote inafungua
 
Hakuna kituo pale mpaka Sheli tena pale Sheli ni just in case Ila kituo ni Buguruni pale mataa kwa mbele kabla ya kufika Tazara au Bharesa Ila km unaelekea mnazi kituo ni kule sokoni sasa hio Buguruni Tabata ndio ipi yaan lile ombwe pale kati ndio mnaita Buguruni Tabata?
Ni pale kati kunasimama maroli kibao wakijiandaa na safari zao.
Kuna garage nyingi pia ndio wanapaita hivyo,kabla hujakunja kupanda relini.
Anyway hamna kituo hapo kati.
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom