Pole mkuu
Mim niko poa tu nashkuru.Mm mzima hofu kwako
Sawa.Za huku nilipo nzuri tutafukuzwa uku watu huku wanapendaga story tutasalimiana makapuku
Haya ninong'oneze sasa niweke ipi.Hainivutiii ndio machungwa ya nn mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama wewe ulivyoamua kujiweka mwenyewe pia.We si uliamua kujiweka mwenyewe jamani
Shukrani nimeshaweka kambi hapa
mi mpole sana tena haswa nikkutna na rangi kama yako, hadi utanionea hurumaHahahahaha unataka kuniambia we ni mpole nabishaaaa mm