Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Aiseee [emoji24][emoji24]
Kwa nini unalia?Aiseee [emoji24][emoji24]
Matukio yanasikitisha sana Hasa kwa team yangu akina Malkia na JituKwa nini unalia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmechekaMoyo wa phares uwoo [emoji23][emoji23]
Acha tuu seems like bonge la handsome wa kibaharia sema nkiwaza iyo baridi [emoji36] [emoji25] [emoji26][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmecheka
afu nampendaga kweli
I Love u mamaaPoa habari yako
mimi ningegangamala tu hapo hapo...hata ningekua kama niko kwenye jokofu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo tatiana kujifanya anampenda robot ana week3 hajaenda kumsalimia mama ake roboth ...karudi kule kule ufalmeni alikua anajifanya kutikisa kibetitiAcha tuu seems like bonge la handsome wa kibaharia sema nkiwaza iyo baridi [emoji36] [emoji25] [emoji26]
Poyee
Poyee
Hiyo avatar hiyo duuuuAsante sana mkuu [emoji120][emoji7]