SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

SIMULIZI: Mkufu wa Malkia wa Goshen

Heee jamani ndo imeisha kwa Leo??mbona kama imekua fupiii[emoji5]
 
Asante sana shunie.ila jamani viwili kama havitoshi.ila tunashukuru kwa sababu una post kila siku. Tufikirie wasomaji wako.mara moja moja tuangushie vitatu
 
barua kwako kipenzi shunie.
natumai ni mzima wa afya tele,dhumuni la barua hii ni kukuomba uwe unatupia episode 4 mpaka 6 per day, nadhani unajua kwamba mimi ni kichaa, sasa inaniwia vigumu kuelewa hizo eps mbili, maana nahitaji maelezo marefu ili nielewe kwa kuwa wewe ni msikivu na mnyenyekevu naimani kwa 90% utanielewa.
ni mimi kichaa msafi wako mtiifu
 
Kwel shunie lazima akuelewe sisi wa mikoani tumezoea vingi siyo kamoja au viwili mpaka kumi ndo fureshi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom