Sawa sawa ntakua kwenye seatJioni hivi muya
Naona jamaa nae hajamind wala nIni basi feresh.Ahahhaha koncho bwana sijachukia nilikua namwambia tu aelewe
Mama katika kazi ngumu duniani ni kumridhisha mwanadamu, ushauri ni kwamba hata utoe yote utalumiwa tuu, fanya kilichopo ndani ya uwezo wako wakuridhika tutaridhika wakulaumu watalaumu jali mda wako na maamuzi yakoEbu angalia huwa natoa ngapi kwa siku au unalaumu tu kama huwezi kusoma subiri iishe kama unavyotaka
Hahahaaa usijali n'takujaza maradufu [emoji12] [emoji12] [emoji12]Si umenijaza
Asante sana skfullMama katika kazi ngumu duniani ni kumridhisha mwanadamu, ushauri ni kwamba hata utoe yote utalumiwa tuu, fanya kilichopo ndani ya uwezo wako wakuridhika tutaridhika wakulaumu watalaumu jali mda wako na maamuzi yako
Utampelekea hata DNimekuwa mtoto eti mke mwee