Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,051
- 6,486
Inabidi uende ukathibitishe.Mnaofuatilia Fasihinet, tupeni Mrejesho je Mimi alifufuka au ndo ilikua kwa heri kafariki
Inabidi uende ukathibitishe.Mnaofuatilia Fasihinet, tupeni Mrejesho je Mimi alifufuka au ndo ilikua kwa heri kafariki
Story yako tunapokuwa porini inatusogezea siku ila episodes zinazofuata zinachelewa sana kule ulikoweka kwa kulipia. Week moja hadi mbili ni muda mrefu. Nilifikiri kule ndio utaweka zote kila mtu alipie iwa wakati wake. Au ndio mnataka tutumie coins kusoma story zingine?Asante sana ndugu yangu. Umeongea mengi muhimu ambayo hata sikuweza kuelezea. Hali ndiyo iko hivyo. Natumaini JF wataboresha upande huo kweny posting ili nasi watunzi tufaidike inavyostahili kwa kazi ngumu tunayofanya.
Ni kutingwa tu na mmb mengi ndugu yangu. But ntajitahidi nionheze kasi kidgStory yako tunapokuwa porini inatusogezea siku ila episodes zinazofuata zinachelewa sana kule ulikoweka kwa kulipia. Week moja hadi mbili ni muda mrefu. Nilifikiri kule ndio utaweka zote kila mtu alipie iwa wakati wake. Au ndio mnataka tutumie coins kusoma story zingine?
It's weekend pandisha mambo kule kijana tuburudikeNi kutingwa tu na mmb mengi ndugu yangu. But ntajitahidi nionheze kasi kidg
Tuko epsode 4 sehemu ya 34Huku mbona kimya sanaaaaaa
Huko sipawez maokoto sinaTuko epsode 4 sehemu ya 34
Kwa kinachoendelea kule hii story haiji tena hukuHuko sipawez maokoto sina
Tunataka tujue hio site ni ipi ili tuaccess hio storyNi kutingwa tu na mmb mengi ndugu yangu. But ntajitahidi nionheze kasi kidg
Pendekezo zuri sana. Wengine huko fasihi.net hatuendagi. Uwekwe utaratibu tulipie humuhumu.Angalau huko fasihi.com panawalipa hawa watunzi.Wasomaji wanaachiwa kusoma free mpaka chapter fulani ila utamu ukikolea tu inajilock inakutaka ununue coins ili uendelee kusoma...Ukilipia inafunguka unaendelea kusoma.Coin moja unaweza soma chapter moja.Coin moja ni sh.100.Hivyo kama ulikuwa unafuatilia stori yenye chapter 78 utaachiwa labda mpaka ya 8.Kuanzia ya 9 hadi ya mwishoni kila chapter utasoma kwa sh.100.So kumaliza itahitaji kulipa 7000.
Kwahiyo mtunzi wa kazi naye analipwa asilimia fulani na wenye hiyo platform.Jamiiforums wangeweza pia kufanya hivi ili hawa ndugu zetu wafaidike na kazi zao hapa Jamiiforums, huku JF nayo ikifaidika kwa kuwa platform.Uongozi wa Jamiiforums unaweza ukaliona hilo hitaji la wasomaji wa hadithi kuzisomea hapa ikaweka utaratibu utakaohakikisha pande zote tatu JF,msanii na msomaji zinafaidika.Mkuu Maxence Melo liangaliwe hili
Mfano stories za Elton Tonny ambazo ndizo nzuri kupita za wote humu JF (kwa mtazamo wangu) huwa chapter moja ni ndefu sana kwa hiyo kuilipia sh.100 hiyo chapter ni sawa kabisa.Changamoto ni kwa wale watunzi ambao chapter yao moja ni fupi sana so kumaliza kitabu zinaweza kwenda hata 200 wakati volume ni ileile ya mwenye chapter 78.Moja ulipie 7000 na nyingine 19,000!Watu hawataimudu hiyo ya vichapter vifupi vifupi na hivyo kufuatilia zile ambazo wanazimudu.Mfano ile hadithi nzuri ya Shamba la hela,mtunzi anaweka visura vifupi fupi sana ikitokea akiweka kule inabidi aongeze ukubwa wa chapter zake ili watu wengi waweze kuinunulia coins na kuisoma kwa unafuu!Ikiwa ndefu hawatanunua kwakuwa itahitaji fedha nyingi zaidi kuliko zenye chapter ndefu kama za Elton.
Nimpongeze Elton Tony kwa kuandika kazi nzuri sana.Nimesoma Dylan,Change,Mimi na mimi na Invisible.Huyu jamaa ni level nyingine kabisa katika utunzi wa stori tamu,Uandishi wenye mguso na mpangilio mzuri wa maneno ya kiswahili fasaha.
Acha uwongo we jinga!Angalau huko fasihi.com panawalipa hawa watunzi.Wasomaji wanaachiwa kusoma free mpaka chapter fulani ila utamu ukikolea tu inajilock inakutaka ununue coins ili uendelee kusoma...Ukilipia inafunguka unaendelea kusoma.Coin moja unaweza soma chapter moja.Coin moja ni sh.100.Hivyo kama ulikuwa unafuatilia stori yenye chapter 78 utaachiwa labda mpaka ya 8.Kuanzia ya 9 hadi ya mwishoni kila chapter utasoma kwa sh.100.So kumaliza itahitaji kulipa 7000.
Kwahiyo mtunzi wa kazi naye analipwa asilimia fulani na wenye hiyo platform.Jamiiforums wangeweza pia kufanya hivi ili hawa ndugu zetu wafaidike na kazi zao hapa Jamiiforums, huku JF nayo ikifaidika kwa kuwa platform.
Mfano stories za Elton Tonny ambazo ndizo nzuri kupita za wote humu JF
Sijui ulikua umekaa staili gani unavoandika hivi. Mtoto wa Shule Au ukikuwa chooni?Pendekezo zuri sana. Wengine huko fasihi.net hatuendagi. Uwekwe utaratibu tulipie humuhumu.
😂😂😂😂🙌🙌Sijui ulikua umekaa staili gani unavoandika hivi. Mtoto wa Shule Au ukikuwa chooni?