babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,076
- 20,439
Huyu .wamba hana mfanoš¤£š¤£š¤£š¤£"Mwana nimesugua meno na huu ulimi mpaka cheche zimetoka, lakini nahisi harufu ya pombe haijakata. Sa' itakuwaje?" akaniambia hivyo.
Ahahahahahahaha!
Huyu Tesha ni mwehu sana.