Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Mzee wa COET....full kupiga RB!! Hahaaa umenikumbusha kitambo sana bro
 
Jamani Kuna michepuko una faida mno mjue yaani mno. Ila sio Hawa hàwaeleweki hawajasoma,mpaka vocha ya buku wanaomba. Kutana na mtu ambaye anakuomba milioni kwenda juu jamani.
Mapovu ruksa
Nakazia hapo..hata ukikwama anaweza kukubusti kwa pesa ndefu.Date na mwanamke mwenye akili na kazi yake. Utafurahi maisha
 
Nakazia hapo..hata ukikwama anaweza kukubusti kwa pesa ndefu.Date na mwanamke mwenye akili na kazi yake. Utafurahi maisha
Sure mkuu sio Hawa hata buku ama nauli tu ya Kuja kukufuata ama kulana utamu anataka atumiwe ,yaani yeye anachomiliki Ni mbususu na huku hata mbuzi mbususu anayo
 
Tumtafute JB au Lamata producer wa Jua Kali
 
Hongera Daniel Jack,,,nimejifunza mengi kupitia story ,,,,nimesoma hii story kuanzia saa 9.00 Am, hadi muda huu saa 11:36ndo namaliza,,,Asante sana
 
Yaani nimejikuta nataka kutoa chozi as if ni mhusika mwenyewe. If it's a true story I can't imagine how the situation became after receiving a letter from mtu mbaya manager wake.
Hii story nilianza kuisoma few days ago!! Sasa hapo alipoandika kuhusu kufukuzwa kazi huwezi amini niliweka simu chini butwaa imetamalaki as if mimi ndiye niliyekutwa na huo msala. [emoji28][emoji28]

Kingine huyu aliyempa taarifa ya kufukuzwa ni GM sio yule manager aliyepigana nae.
 

Ntaendelea [emoji42]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…