Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Simulizi: Mimi na Boss Wangu

mara nyingi story za jamiiforum haziwahi kufika mwisho , hivyo tukeshe tukiomba maana lolote linaweza kutokea .
 
SEHEMU INAYOFUATA...................

Tunahitaji uhuru zaidi pengine kuliko amani, amani kila sehemu ipo, hata jela na magereza katili duniani Kuna amani.

Ndiyo, amani ipo si wafungwa wanalindwa? Tena na mitutu ya bunduki kuhakikisha mfungwa anatumikia kifungo Chake Hadi muda wake utakapofikia Lakini hawana uhuru kwani hawawezi kujiamulia chochote kwao kila kitu ni amri

Lakini pia uhuru ukizidi huwa Kuna madhara yanayoweza kusababisha kuvurugika kwa amani.

Sasa endelea..................

Nilitoka ofisini siku hiyo nikiwa na furaha isiyoelezeka nikiwaza zaidi kuhusu safari ya kwenda USA, nimeshafika nchi jirani zilizo kwenye maziwa makuu nyingi tu, lakini bado huwa sijihesabu kama nilitoka nje ya nchi lakini muda huo nilikuwa naenda kuandika historia nyingine.

Tukiwa na Rose tumekaa huku tukitaniana mambo mbalimbali, nilijikuta naropoka kile nilichokisikia ofisini, laiti ningelijua kuwa neno tetesi mtu unapaswa ulisikilize kwa sikio la tatu............

Mmmh honey, nitakumisi sana kwa siku ambazo hatutaonana, yaani nashindwa hata nitaishije maana tatizo si kukupenda Bali mazoea, Kila mwanadamu ana upekee hapa Duniani ambao haufanani na yeyote yule , hivyo nikiri kuwa amani , na furaha nayoipata nikiwa na wewe sijui nisemeje,

Una fahamu kama nimevunja ratiba wiki hii nikajikuta nabadili ratiba ya kuingia kazini kwasababu yako.
Haya yalikuwa maneno toka kwenye kinywa Cha Mrembo Rose huku akionesha hajiwezi kabisa kwangu.

Mimi naona nikuache my, kwani Kuna ratiba nyingi bado sijakamilisha hivyo naomba tu niwahi, nilimuaga Rose.

My naomba nikwambie kitu, kwanza hujaniambia unasafiri lini, lakini pia Nina shida my,maana Sina namna lazima nikwambie. aliongea kwa unyonge.

Hakuna shida,sikia hupaswi kunificha kitu , kama Kuna mahali panasumbua weka mada mezani tuichambue, kuwa huru Mimi ni wako. nikiongea huku nikirudi kukaa kwenye kiti.

Kuhusu safari ni siku kumi mbele kuanzia leo,Anza kuhesabu. niliongea kwa mbwembwe sana.

Nadhani itakuwa tarehe 20 siyo? aliuliza Rose.

Yes, Kila kitu kipo sawa. nilijibu

Ok Mimi shida yangu naomba uniazime kiasi fulani cha pesa, maana kuna mahali nimekwama sana,nitakulipa mwisho wa mwezi huu, Sina mwingine wa kumwambia shida yangu, kama unavyojua si Kila mtu utamwambia shida yako,wapo wafanyakazi wenzangu wanaweza kabisa kunitatulia hii shida lakini naogopa kutangaziana maana mtu mwingine akisha kukopesha basi utaanikwa mji mzima utajua unadaiwa.aliweka kituo.

(Nikiwa na hofu) ulikuwa unataka kiasi gani baby. niliuliza

Ni milioni moja, na kama hauna hiyo,hata laki tano ingenitosha ningekuwa nimepata kianzio. aliongea akiwa hanitazami usoni maana Kuna kitu tayari alijua kashalipua.

Sawa, ni kweli Mimi mwenyewe Sina kitu kabisaaaa hata kiakiba nilichokuwa nacho Kuna ujenzi ulikuwa unaendelea pale home hivyo, Sasa hivi nimebaki mtupu, kama unavyosema unasubiri mwisho wa mwezi hata Mimi ni hivyo hivyo.

Sema Nini hakuna shida, nyumbani Nina laki tatu, kama laki tatu, sijui inaweza kukusaidia? niliuliza huku mapigo ya moyo yakinienda mbio maana hata hiyo kilo tatu haikuwa ndogo.

My kwanza nikushukuru kwa kunijali lakini pia hicho kiasi si kidogo natambua kuwa una familia tofauti na Mimi bado utakuwa umenisaidia sana.aliongea huku tukikumbatiana na kuagana. akaingia kwenye gari lake huyoooo akapotea.

Rose ni mwanamke ambaye nilimpenda sana , Nina sababu tatu kuu zilifanya nimpende....

Kwanza,
ni mwanamke mzuri na mrembo sana ambapo mwanaume asiyekuwa na matatizo ya kiafya lazima, ajikute anadata.

Pili
Ana kazi yake, ni Daktari mkubwa tu, pia ana duka lake la madawa, hivyo naamini masuala madogo madogo hayampigi chenga yule mwanamama , alikuwa vizuri. na aliwahi kunihakikishia kuwa penzi letu halitonigeshwa na pesa hivyo nikaamini ni moja ya wanawake ambao sitotumia gharama sana.

Tatu na mwisho
Rose alikuwa ananiheshimu familia yangu, ni ngumu sana kukuta anakupigiapigia au kutuma sms.Rose alikuwa mchepuko 3D,kila mkikutana lazima aulizie dada hajambo (akimaanisha mke wangu) tena akiwa hatanii.

Hakika nilimpenda ila mzinga alionipiga siku Ile sikumpatia maana.
Nilifika nyumbani na kuikuta familia ikiwa safi nikamwita mke wangu nikamweleza kuhusu taarifa mpya ya safari, mke wangu alishangaa huku akishindwa afurahi au ahuzunike lakini yote kwa yote alinitakia safari njema na yenye mafanikio.

Asubuhi kulikucha nikachukua kiasi Cha pesa kwaajili ya kukamilisha Ahadi ya Rose. huku moyo wangu ukiwa haujaridhika kabisa

Nilifika ofisini nikatulia huku nikiwaza na kuwazua,

Mtu mwenyewe sijamfaidi kivile, Kila tunapokutana tunatumia mipira, kwa siku ya kwanza nilijua labda kwakuwa hatufahamiani, lakini bado Kuna kitu kwangu hakijaa Kaa sawa, wakati nikiwa nimemtengenezea gari wakati tukitest tulijikuta tupo logde ni Mimi nilimuamrisha aelekee huko nikatimize azma yangu.

Lakini baada ya kufika kule, alikuwa na condoms kwenye mkoba wake, tukazitumia tatu, sikumuuliza kwanini anatembea na vitu vile, pia siku kadhaa tulipima afya zetu tukajikuta tuko poa wote, lakini bado Kila mkikutana anahimiza mipira kwanini?

Ukiuliza utasikia ooh ujue Kuna magonjwa mengi yanayoambukiza tatizo watu tumekariri zinaa na ukimwi tu. nilifikiria sana nikajikuta naanza kumfikiria vibaya,.

Nikatoka huku nikimwendea wakala mmoja aliye karibu kwaajili ya kukamilisha muamala.

Baada ya kupokea kile kiasi Rose alinishukuru sana. Lakini tayari kitendo Cha kutuma miatatu asubuhi asubuhi kilinifikirisha sana hasa kwa mtu ambaye simuelewi elewi.

Nilipiga kazi siku hiyo huku niliongeza uaminifu ili dili la kwenda ughaibuni lisiyeyuke, lakini Kuna kitu sikukielewa toka kwa mfanyakazi mwenzangu ambaye ni mdogo wake Rose, tofauti na siku zote leo alikuwa mnyonge sana huku akiniuliza maswali ambayo sikuyaelewa .

Hivi Mr Daniel, una watoto wangapi vile? aliuliza.

Ndiyo kwanza wawili, vipi mdogo wangu mbona umeuliza hivyo.

Hamna ni kutaka kujua tu, lakini pia una biashara au mradi gani tofauti na kazi yako hii?aliuliza tena huku safari hii nikishindwa kujua ana maana gani.

Mmmh kiukweli niwe muwazi, Sina biashara bado japo Nina huo mpango , nitafanya hivyo. nilimjibu.

Mdogo wangu mbona Leo unaniuliza haya maswali imekuwaje? huku nikimwangalia kwa umakini

Mr Daniel bwana, kwani nimekosea, na kama nimekukwaza nisamehe? alijitetea

Walaaa! Hujanikwaza mbona kawaida tu aulizae anataka kujua. Niliongea huku nikijichangamsha,tukaendelea na kazi huku nikiwa namsoma yule Binti na kukuta bado anaonekana hayuko sawa.

Siku ziliisha, huku siku za kusafiri zikiwa zimebaki tano kwa mujibu wa mahesabu yangu, nakumbuka siku hiyo Rose alinipigia simu kutaka tuonane, ni kweli baada ya kuonana mazungumzo yalikuwa hivi....

Mbona juujuu hivyo baby vipi, niliuliza huku nikishangaa ameniita sehemu siyo kabisa tunawezaje kuongea.

Usijali baby kutokana na pilika za watu kuwa nyingi hebu ingia kwenye gari Nina mazungumzo na wewe. Alisema Rose siyo kwa kudeka kama nilivyomzoea ile ilikuwa sauti asilia.

Nina maswali kadhaa juu yako baby, ujue kadri siku zinavyokwenda ndivyo watu wanavyofahamiana kiurahisi. alizungumza rose Mara tu baada ya kuingia kwenye gari lake.

Ndugu msomaji,
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, wahenga hawakukosea.

Sasa endelea.......
Ujue baby kwa Elimu yako uliyo nayo, kama ni kweli, maana nasema kama ni kweli kwakuwa sijaona vyeti vyako,

Sasa kwa Elimu yako, kwanini usitafute kazi serikalini, yaani mwenzio nilivyo sijui nipoje yaani najikuta mtumwa siwezi kufanya kazi kwenye kituo Cha afya au hospital ya ambayo ni ya mtu binafsi sijui kwanini, ila ni mtazamo wangu tu,

(Nilidakia)
Bado sijajua una maana gani mpenzi wangu. Niliuliza

Namaanisha jaribu kutafuta kazi serikalini. alijibu kwa kifupi.

Lakini pia baby una uhakika hiyo safari yako ipo kweli? alizidisha maswali

Hapa kiukweli moyo uliniuma sana nikawa naunganisha matukio baada ya kugundua Kuna jambo Mimi nafichwa, maana mdogo wake na Rose ni kama Kuna kitu anakijua Leo hii dada mtu anauliza na kutoa ushauri wa kusema eti nitafute kazi, kwani kazi si kazi tu, kwani ni lazima niwe serikalini, mbona hata hizi kampuni binafsi zinafanya kazi chini ya miongozo ya serikali, yaani hakuna utofauti wowote,.

Daniel, alinishtua Rose huku akiniita kwa jina langu na si baby,

Naam, hebu nambie kwanini umeuliza uhakika wa safari yangu unahisi nimekuongopea? nilihoji

Hapana nilitaka kujua tu, maana Kuna barua mnapewa kwa wale selectors yaani mliokusudiwa, lakini Kuna email mtu unatumiwa ili upewe vigezo na masharti. Sasa sijui wewe taarifa umepewa kwa namna Gani? aliuliza

Nikagundua Kuna vitu Rose anavijua kuliko Mimi, lakini pia ni kweli mbona hii taarifa haina nguvu yaani haizagai kama ambavyo taarifa kama hii huenea na kukua hadi pale siku rasmi itakapofika? Nilishanote kitu hakika niliwaza sana.

Asubuhi nilikuja ofisini huku nikiikuta kuwa nahitajika kwa general manager ambaye kwanza alisafiri na sijui atarudi lini. Ikabidi nipandishe ngazi kuelekea ofisini kwake , nikakuta anaongea na simu ya mezani.

Aliniashiria nikae huku wasaidizi wake wakiwa bize kwenye computer zao hata salamu hawakujibu,.

Enhee nani vile wewe unaitwa (nikataja full name)

Sasa bwana Daniel kampuni ilikupenda, ilikuamini na ikakupa nafasi nzuri, ila nasikitika kuwa mzee ambaye ndiye mkurugenzi wa kampuni hii ametoa maagizo kuwa anakusimamisha kazi kwa muda usiojulikana. aliongea yule meneja huku akiwa serious

Yaani kiufupi umefukuzwa kazi, na barua yako ni hii, alidakia Binti mmoja ambaye alikuwa kwenye kona, huku meneja akitingisha kichwa kuonesha kukubaliana naye.

Jamani mimi sipingi kufukuzwa kazi, ila naomba kujua Nina kosa gani?
Niliuliza

Wewe hiyo barua niliyokupa nenda kaisome kila jibu la swali lako lipo humo. au njoo usijesema sisi tumekufanyia majungu bure.

Nilisogea huku akinionesha email fulani kutoka kwa Taita yaani mkurugenzi anayeishi SA nikasoma nikaridhika huku nikiwa nimeshapata majibu kuwa Madam kaniponza. Nilirudi ofisini kwangu nilitulia huku nikisomasoma na kuirudia ile barua ambapo sababu kuu ilikuwa ni kuonekana nikiwa na MADAM sehemu tofauti tofauti jambo lililotafsiriwa vibaya.

Nilijikuta nadondosha machozi, maana nawezaje kuishi bila kazi, akasimama yule Binti aliniangalia Kisha akatoka nje, hakika nililia hasa baada ya kugundua kuwa baadhi ya watu wanajua akiwemo yule Binti ambaye tupo ofisi moja na ndiye ambaye atakuwa kamwambia dada yake Rose. Sikuwa na namna licha ya barua kueleza kuwa stahiki zako zote utalipwa lakini nikajiuliza itakuwa
ni bei gani wakati hata mwaka sijamaliza maskini.
Kweli ng'ombe wa masikini hazai na hata akizaa huzaa dume, safari ya kuelekea kwenye taifa lenye nguvu la USA likiongozwa na Obama ilibaki ndoto tu.

Nilijikuta najihurumia kwani Kuna ndoto nyingi sijazitimiza bado.

Nilishika njia ya kurudi nyumbani huku nikitafuta daladala ambazo kwa muda ule hakukuwa na foleni hali iliyopelekea kufika nyumbani mapema, nilipokelewa na mke wangu ambaye alikuwa anafua pale nje, huku dada wa kazi akiwa kampakata mwanangu.huku nikijitahidi kuficha hali yangu isijulikane

Hee mume wangu, mbona Leo mapema Kuna nini, au mmepewa nafasi kujiandaa kwaajili ya safari nini
Maana ninavyojua, hata siamini siku utarudi Ukiwa na surprise gani, maana ninavyokujua mume wangu, aliongea mke wangu Huku akichukua vibanio vya nguo ili kuzibana nguo zisianguke.

Maneno yake yalinichoma nikajikuta nataka kulia, ikabidi niingie ndani.

Itaendelea......................

Ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa mkasa huu, naomba niwaombe radhi kwa kuwacheleweshea stori isije kwa wakati lakini pia msichoke kwani ipo ukingoni.

Lakini pia hii haihitaji malipo Wala haitahamishiwa Telegram ila nimeamua kushare na wanajamvi ili tuburudike, tujifunze.

Mchana mwema.
 
Siku iliisha, huku siku za kusafiri zikiwa zimebaki tano kwa mujibu wa mahesabu yangu, nakumbuka siku hiyo Rose alinipigia simu kutaka tuonane, ni kweli baada ya kuonana mazungumzo yalikuwa hivi....

Asubuhi nilikuja ofisini huku nikiikuta barua kuwa nahitajika kwa general manager ambaye kwanza alisafiri na sijui atarudi lini. Ikabidi nipandishe ngazi kuelekea ofisini kwake , nikakuta anaaongea na simu ya mezani.

Aliniashiria nikae huku wasaidizi wake wakiwa bize kwenye computer zao hata salamu hawakujibu,.

Enhee nani vile wewe unaitwa (nikataja full name)

Sasa bwana Daniel kampuni ilikupenda, ilikuamini na ikakupa nafasi nzuri, ila nasikitika kuwa mzee ambaye ndiye mkurugenzi wa kampuni hii ametoa maagizo kuwa anakusimamisha kazi kwa muda usiojulikana. aliongea yule meneja huku akiwa serious

Yaani kiufupi umefukuzwa kazi, na barua yako ni hii, alidakia Binti mmoja ambaye alikuwa kwenye kona, huku meneja akitingisha kichwa kuonesha kukubaliana naye.

Jamani mimi sipingi kufukuzwa kazi, ila naomba kujua Nina kosa gani?
Niliuliza

Wewe hiyo barua niliyokupa nenda kaisome kila jibu la swali lako lipo humo. au njoo usijesema sisi tumekufanyia majungu bure.

Nilisogea huku akinionesha email fulani kutoka kwa Taita yaani mkurugenzi anayeishi SA nikasoma nikaridhika huku nikiwa nimeshapata majibu kuwa Madam kaniponza. Nilirudi ofisini kwangu nilitulia huku nikisomasoma na kuirudia ile barua ambapo sababu kuu ilikuwa ni kuonekana nikiwa na MADAM sehemu tofauti tofauti jambo lililotafsiriwa vibaya.

Nilijikuta nadondosha machozi, maana nawezaje kuishi bila kazi, akasimama yule Binti aliniangalia Kisha akatoka nje, hakika nililia hasa baada ya kugundua kuwa baadhi ya watu wanajua akiwemo yule Binti ambaye tupo ofisi moja na ndiye ambaye atakuwa kamwambia dada yake Rose. Sikuwa na namna licha ya barua kueleza kuwa stahiki zako zote utalipwa lakini nikajiuliza itakuwa
ni bei gani wakati hata mwaka sijamaliza maskini.
Kweli ng'ombe wa masikini hazai na hata akizaa huzaa dume, safari ya kuelekea kwenye taifa lenye nguvu la USA likiongozwa na Obama ilibaki ndoto tu.

Nilijikuta najihurumia kwani Kuna ndoto nyingi sijazitimiza bado.

Nilishika njia ya kurudi nyumbani huku nikitafuta daladala ambazo kwa muda ule hakukuwa na foleni hali iliyopelekea kufika nyumbani mapema, nilipokelewa na mke wangu ambaye alikuwa anafua pale nje, huku dada wa kazi akiwa kampakata mwanangu.huku nikijitahidi kuficha hali yangu isijulikane

Hee mume wangu, mbona Leo mapema Kuna nini, au mmepewa nafasi kujiandaa kwaajili ya safari nini
Maana ninavyojua, hata siamini siku utarudi Ukiwa na surprise gani, maana ninavyokujua mume wangu, aliongea mke wangu Huku akichukua vibanio vya nguo ili kuzibana nguo zisianguke.

Maneno yake yalinichoma nikajikuta nataka kulia, ikabidi niingie ndani.

Itaendelea......................

Ndugu wasomaji na wafuatiliaji wa mkasa huu, naomba niwaombe radhi kwa kuwacheleweshea stori isije kwa wakati lakini pia msichoke kwani ipo ukingoni.

Lakini pia hii haihitaji malipo Wala haitahamishiwa Telegram ila nimeamua kushare na wanajamvi ili tuburudike, tujifunze.

Mchana mwema.
Kwanza kusoma tolu hapa
 
Nimevaa uhusika, nimefeel maumivu, pole Tolu
 
Rose ashakua fala tu kwangu.
Sema nini Tolu kwenye hiyo tabia ya kubana pesa nimekukubali sana...Bigup.

Tukio la kufukuzwa kazi limegusa sana moyo wangu na nimerudisha kumbukumbu miaka michache nyuma nilipoamua kutema kazi baada ya kuona nimeshategwa kona zote na ilikua suala la muda tu wananitemeshe nikawawahi...

Niliteseka sana lakin leo hii nikiangalia nyuma naishiaga kusema Mungu si Athuman abadani....

Hakuna mwanamke anakupenda usipokua na pesa.Hayupooo

Pole sana sana
 
Daaaah aseeee cyo poa
 
tolu hiyo ndo dunia ungemkatalia mama kufanya kazi yake ungefukuzwa kazi umefanya kazi ya mama mzee amekumaind kwa kuwa karibu na mkewe kweli cha mtu ni mavi yote kwa yote ndivyo ilivyo nimekuhurumia sana
 
Mkuu inawezekana Rose alijilipa mapema baada ya kudokezewa na mdogo mtu.
Mademu achana nao kabisa yaani.
Yes! Inawezakana Ni Kama unao huambiwi. Kuna mshkaji tulikuwa tunasapua naye sapu Sasa bana si akashindwa kusapua na kusoma Ile gpa ili aendelee na mwana Sasa kiongozi akawa anagwaya kumwambia mtu Yuko udsm CoET ndoto zake zinatimia ghafula unaachishwa chuo,unadata na kuzimia ama kufa Kama unayo BP ,ilibidi niuvae ujasiri nimwambie Mana muda wa cafeteria tulikuwa pamoja. Tukinunua tikiti tunakata pasu tunalipiga na kijiko kwa pamoja, baadaye inabakia Kama sahani
 
tolu hiyo ndo dunia ungemkatalia mama kufanya kazi yake ungefukuzwa kazi umefanya kazi ya mama mzee amekumaind kwa kuwa karibu na mkewe kweli cha mtu ni mavi yote kwa yote ndivyo ilivyo nimekuhurumia sana
Yule msomali alifurahi mno nadhani. Sema baada ya hapo ukiwa mwanaume kichwa kinafanya kazi kinakuwa active kuliko chochote nadhani baadaye unaweza enda mahala pazuri mno. Sijui na Easter atafurahi kinouma.ujue ukitaka kumjua mtu tank yake ama Kama anakupenda awe na hela na wewe uwe alostk ndipo utajua ukweli wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom