Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,056
- 16,907
- Thread starter
- #581
Tangu mwaka 2013 hadi sasaPole mkuu,komaa usiharibu tena huko

Safi sana,maana hiyo mikasa mi mwenyewe huwa nikifkiria hapa nilipo aisee ni Mungu tu.Tangu mwaka 2013 hadi sasa
Ukajiita babu kijanaSafi sana,maana hiyo mikasa mi mwenyewe huwa nikifkiria hapa nilipo aisee ni Mungu tu.
Maana nikisimulia ni matukio bandika bandua toka Baba amefariki niko 11 mpaka leo.
Duuuh umri wangu na matukio haviendani.nafukuzia 50 ila ni km nimeishi miaka 90+ kwa matukio.
Nashkuru Mungu aisee Uhai haninyanganyi.
Ni km wewe tu napigwa matukio mwisho baada ya kulia na kusota sana napata upenyo natoboa.
Naam,nishazeeka sana kiakili ingawa kimwili bado nadai sana tu.Ndio Mana
Ukajiita babu kijana
mmmhh....labda cubaArmed robbery kumbe ina dhamana? Sema ina mafunzo tupo pamoja mwamba Tolonino
Weeee, ukaisambaze wapi na ili iweje......Simulizi hii nzuri sana nimejifunza mengi naomba unipe ruhusa kuishea na wengine mkuu!!
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Nasoma mkuu Ila safari hi ujarudi kwa mganga ckuona popote ulikkotaja kuwa unaendakulogaSoma simulizi hadi mwisho
SEHEMU YA MWISHO......(FINAL)
Kwa wenye kuamini Dini na madhehebu yao, au hata wanaoamini sehemu wanazozijua, wote kwa pamoja tuweke IMANI kwa MUNGU mmoja maana yupo na anatenda.
Maisha yaliendelea, familia zilifurahi huku Kila kitu kikiwa kwenye mpango sahihi kabisa
Mume wangu, unajua kama tarehe 17 mwezi huu, ndiyo siku yako muhimu wewe kuripoti kazini?
(akimaanisha tarehe 17 ya mwezi wa kwanza mwaka 2013).
Usijali mke wangu, najua sana, najua hilo, ila bado wiki nzima ujue. nilimjibu.
Sawa, ningekuwa na uwezo ningekufungia ndani usitoke kabisa, maana najua huko kuzurura kwako unaweza kuyazua huko ukaja kukatisha ndoto zako, nimechoka masuala yasiyokuwa na maana.
alilalamika.
(Nikicheka)
Ajali haina kinga mke wangu, hata nikikaa hapahapa lolote linaweza kutokea bado nikakatisha ndoto zangu, kikubwa ni kumuomba MUNGU ili atufatufanyie wepesi na kunyoosha mapito yetu. Nilimjibu.
Amina, basi piga magoti nikuombee maana hiyo kazi ni ya muhimu kwangu kuliko hata wewe,. aliniomba nifanye hivyo.
Kwa kumridhisha kutokana na Imani yake niliweza kufanya hivyo ili tu nisilete mgongano Kati yetu.
Baada ya kumaliza yale maombi mafupi , nilimpigia Rose ili tukutane maana alikuwa ananyanyasa sana moyo wangu.
Ndugu msomaji, kazi niliyopata kwa sasa hakujua mtu yeyote zaidi ya mke wangu na Rose.
Rose anajua kwakuwa ni mmoja wa wahusika walionipigania kule, ila yeye hakuwa na Imani juu ya Mimi kufanya kazi pale, maana Mara nyingi alikuwa akiniuliza akitaka kuhakikisha, kama taratibu zimekamilika.
Na Mimi sikutaka kumwambia na kutapika yote, kuhusu ile kazi kwani, licha ya kuwa nilishakamilisha vitu vingi lakini bado niliamini kwa asilimia tisini tu, hivyo kumwambia mtu na kujimaliza Kisha mpango wako ukakwama, sijui utaeleza nini.
Lakini nilichogundua ni kwamba penzi letu na Rose, Lilianza kufifia yaani lile penzi moto moto sikuliona tena yote haya yalisababishwa na Mimi kutokuwa na uhakika na kazi.
Nakumbuka tulikutana kwenye mgahawa mmoja Mimi na yeye nikaagiza Chakula ili wakati maongezi yakiendelea tupate kuburudika naye.
Hivi my, kwanini unapenda kuharibu pesa hivyo, Mimi naona Bora hata uagize soft drinks tu inatosha, hakuna haja ya sisi kutumia gharama kubwa, alisema huku akimaanisha.
Nilimtazama nikimshangaa maana hawezi sema yale na hajawahi kusema jambo lile, hela hatoi mfukoni mwake kwanini zimuume?
Kwani baby Kuna tatizo, sioni kama ni vitu vya gharama kiasi hicho. niliuliza.
Ujue lazima tu nikwambie ukweli, Daniel (akinitaja kwa jina mithili ya shambaboy)
Wewe huna uhakika wa kazi, na kama ujuavyo hii ni January huwa Kuna ugumu fulani ambao unasumbua hivyo kuheshimu pesa ni suala muhimu sana,. aliweka kituo.
Kwanini unasema sina uhakika wa kazi, Ina maana huwa huniamini ninayokwambia? nishakwambia nimeambiwa niliripoti tarehe fulani, Cha ajabu nini my, au kama Kuna jambo unalijua nambie maana hata wakati naachishwa kazi kule, wewe na mdogo wako mlikuwa mnajua na msiniambie, Sasa basi hamna kuficha nambie Nini umekisikia. niliongea kiume huku nikikaza uso mtoto wa kike hawezi niletea dharau.
Akuuuh, sijasikia lolote toka kwa mtu yeyote, hata Yale ya tetesi za wewe kufukuzwa kazi, aliniambia mdogo wangu, ila zilisikika kama tetesi hatukuwa na uhakika Hadi pale ilipotokea kweli. kama nimekukwaza nisamehe, aliongea huku akiwa anavuta mkoba wake uliokuwa mezani na kuuweka mapajani ili kama ikitokea lolote iwe rahisi kuondoka.
Vyakula vililetwa muda mwingi sana nikaanza kula kwa kujilazimisha huku hasira nazo hazikuwa nyuma kutokana na demu anavyonichukulia poa.
Alipoona nakula naye akaanza kula nadhani alikuwa ananisindikiza tu ila hakuwa tayari kula na mimi,
Rose alibadilika sana.
Siyo Rose yule ambaye huwa haoni aibu kufanya chochote akiwa na Mimi, tulikuwa tukilishana mithili ya mapenzi ya under 23 age. alikuwa anafumua nywele zake Kisha ananiambia nimsuke basi kwakuwa siwezi tunajikuta tunafurahishana huku akinirudisha kwenye utoto,
Lodge zingekuwa zinaongea zina mengi zinashuhudia huku vyumba vikikosa ya kuongea kama samaki
Ndani ya maji.
Leo hii Rose hataki nimsogelee wala kumgusa, nikiuliza kwanini, anasema lazima tujiheshimu. Kweli hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho, lakini mbona huu mwisho kwangu umekuja mapema? nilijiuliza huku Chakula nacho kikipungua ladha sababu ya mawazo.
My tumekaa hapa, naona husemi umeniitia nini, maana nina haraka ujue sisi madaktari shughuli zetu huwa zina mabadiliko hivyo usishangae nikapigiwa simu muda wowote. aliongea huku akiwa busy na simu.
Nachojua Mimi na yeye tukiitana huwa hakuna sababu, yaani ukimwita njoo atakuja wala haulizi ulichomwitia, lakini Leo hii anataja niseme shida yangu! Ama kweli kanichoka.
Sina sababu maalum, ila furaha yangu nikukuona tu , we mwenyewe unatambua hilo. nilijibu huku nikimtazama kwa makini nikiusoma uso wake,.
Ahaaa ok, kama ni hivyo sawa, bila shaka umeshaniona, unaweza kuniruhusu niende? aliuliza
Mbona mapema hivyo my, kwanini tusikaekae kidogo, na tukitoka twende (nikitaja jina la lodge fulani)
Samahani yaani leo wala sijisikii vizuri sana, nashangaa mwenzangu mawazo hayo unayapata wapi, mwaka mpya umeingia huu, kule kwenye duka langu la dawa mkataba mpya wa kulipia lile eneo unatakiwa .
Hela zinazotakiwa pale, si haba pia hapa sijaja na gari kwasababu nimeliacha kwa fundi ili afanye marekebisho hela aliyonitajia ni MUNGU tu anajua yaani Sina msaada wowote ule, aliongea kwa kulalamika .
Akaendelea.....
Hivyo usione kama nakudharau ni kwamba navurugwa na vitu hivyo hapo. akaweka kituo.
Nilimwangalia Kisha nikacheka kidogo, maana mtu ambaye hakupendi ana Kila sababu ya kutaka muachane.huku nikijiuliza Kodi anayodaiwa huko dukani kwanini imsumbue, kwani duka au biashara yake haina faida, kusema huwa hapigi hesabu kuhusu TRA, Mtaji aliowekeza, faida zinazopatika, gharama za pango na makorokoro kibao kwani huwa hajui. Nilijiwazia moyoni.
Basi kwa maana hiyo , Mimi nimeridhika nashukuru kwa kutenga muda na nafasi ya kuonana na wewe, MUNGU akupe moyo huo huo. niliongea kimtego.
Usijali, nakupenda sana my, usinifikirie vibaya. alijibu shortcut huku akiondoka.
Si kawaida kuagana ndani ya mgahawa huwa ni lazima tusindikizane kidogo Kisha tunaachania mbele ila kwa siku hiyo ikawa tofauti.
Nilitoka nikichanja mbuga , huku moyo uliniuma kwani nilikuwa najua Rose anataka tuachane na Mimi sikuwa tayari kwani nilimpenda ile kumpenda sana, beautiful girl, English figure, na nywele nyingi Peruvian hair, ningemwachaje,
Achilia hayo kubwa zaidi ni Binti msomi, mwenye Elimu yake, mwenye kazi yake, nani anamrubuni my love Rose, mtu anayeongea kisomi huwa anapangilia maneno, kapata malezi Bora ya pande mbili, namuachaje jamaniiii.
Ni mshauri mzuri, ananiheshimu na kuiheshimu familia yangu. ana moyo wa huruma Kila unachomweleza huwa anakipokea na kutoa ushauri usioumiza, Sasa namwachaje Rose .
Ni Ms***e gani anataka kuniovertake achukue hii Mali. Aaaaaa weweee sitakubali.
Au ni masuala ya Kodi na gari lake yanamuumiza, ukute ni vitu hivyo kweli vitafanya nimkose Kisha akachukuliwa na mafioso wa hapa mjini.
Ngoja nitafanya kitu nauza shamba langu la huko kisemvule ili najua sikosi hela ndefu, nitahakikisha Rose hachomoki mikononi mwangu.
Ila shamba hapana, ekari kumi na kitu nauzaje kizembe? Ule ni urithi wa wanangu.
Au nikamsaundishe wife nimwambie nahitaji kama milioni moja Kuna jambo nakamilisha halafu, si nitarudisha ? halafu nimpe Rose naamini atalipa kupunguza matatizo yake. Kisha penzi litarudi upya .
Mmmh ila usawa huu kutoa jiwe moja uongo, wanawake huwa hawaridhiki hawa.
Nilijiuliza na kujijibu mwenyewe.
Nilifika nyumbani huku nikipokelewa na wife vikorokoro nilivyonunua na Mimi nikimpokea mtoto huku nikicheka cheka naye.
Mke wangu ujue siku zinavyosogea huyu mtoto anazidi kuchukua sura yangu, yaani huyu simuiti mwanangu Bali pacha wangu. sipati picha miaka hiyo tukikwaruzana Mimi na wewe , atavyokuja kunikoromea huku akinitisha.nilitania
Unapenda sana kusema mmefanana ila namuomba MUNGU mfanane sura siyo akili na maamuzi yako. Maana mume wangu kama ingekuwa siyo Elimu yako, napata picha ya maisha ambayo tungeishi. aliongea kwa kumaanisha.
Kila kitu hupangwa na MUNGU ukute ningekuwa Sina Elimu ningekuwa na good life zaidi , yaani circle of life ione hivyo hivyo mke wangu.nilijibu huku tukitaniana mambo mbalimbali, nilifurahi kwani ilinipunguzia machungu ya Rose.
Siku zilikimbia na kukatika huku tarehe husika ya Mimi kuripoti kazini ikifika, nakumbuka siku hiyo ya jumatatu nilifika kazini na kukabidhiwa ofisi yangu huku taratibu zingine zikiendelea kukamilika. hatimaye nikawa mfanyakazi rasmi wa taasisi yenye heshima nchini. Huku nikipewa na gari kwaajili ya kurahisisha mizunguko yangu maana kazi niliyopata huku neno kwenda mkoani lilikuwa ni jambo la kujiandaa kwani ni muda wowote na saa yeyote.
Penzi la kulazimisha Kati yangu Mimi lilirudi japo siyo kama zamani , maana penzi hili watu kukaa wiki nzima bila kutafutana ilikuwa kawaida tu.
Tuliachana vipi na Rose......
Nakumbuka Kuna siku moja , Rose Rose nilimpigia simu kuwa kesho ijumaa weekend inavyoingia tuonane, alikubali kuwa hakuna shida.
Kweli baada ya kesho kufika nilitegemea kuwa hii leo tutaonana ili tukamwagilie moyo, mimi na yeye, chaajabu Kuna muda kama saa kumi na moja alinipigia simu akidai tuahirishe tu lile zoezi, maana Kuna dharula mama yake anaumwa sana.
Nikamwambia kama ni hivyo basi nifike tu nije nimuone mama, alikataa kwa kusema si jambo jema , maana haitaleta picha nzuri.
(Na hili nililileta humu Kuna Uzi unasema hivi
"UJINGA NILIOWAHI KUUFANYA KULILIA PENZI LA MCHEPUKO "
Sasa endelea.....
Basi baada ya kunikatalia nisifike, niliamua kumrushia kiasi cha laki moja na nusu kama mwanaume uliyepokea taarifa ya ugonjwa lazima ujiongeze, alishukuru huku, Mimi Ahadi yangu ya kwenda viwanja ikiwa pale pale.
nilimchukua jamaa mmoja ambaye huwa tunaongoza sehemu nyingi tukachagua kiwanja kizuri tukaenda kufika pale, nilichokiona kilinishangaza sana kwani nilimuona Rose akiwa kimahaba na kijamaa fulani huku wakiwa kwenye mahaba mazito sana.
Aisee baada ya macho kugongana nilipata hasira sana, tena mno nikataka kuanzisha ugomvi lakini mchizi wangu alinisihi.
Dani braza, utaharibu ujue kwanza wewe una mke , vipi shemeji akija kusikia umeanzisha ugomvi sababu ya mchepuko utajidharaulisha bro acha, aliongea yule jamaa yangu huku akinishika mkono na kuondoka eneo lile.
Tulibadilisha kiwanja, huku tayari nikiwa nimevurugwa maana nilimpenda kupitiliza hivyo niliumia sana kwa aliyonifanyia.
Naam baada ya hapo hakuna aliyemtafuta mwenzake , na penzi likafika mwisho.
Nikarudisha UPENDO kwa familia yangu huku matukio ya mikosi kwa upande wangu yakipungua , nikizidi kupiga kazi huku wigo wa kujuana na watu wakubwa, wazito na kujua mambo mengi vikizidi kupanuka.
Kweli watu ni mtaji.
Hii ni tamati kwenye simulizi hii, nimeamua kushare na wanajamvi simulizi hii ili ,
Tuburudike na tujifunze mambo mbalimbali, kwa waliokata TAMAA wakae wakijua siku yao ipo kwani hakuna maisha magumu.
Bali Kuna mapito magumu.
Jack Daniel member wa jamiiforum.
Mkuu mm nikushukuru Zaid kwa muda wako ingawa story yako wengi humu hawaijui ndio maana ilikuwa inawachangiaji wachache ila ilikuwa Ni story nzuri Sana na yenye mafunzo I wish wengi wangepitia wajifunze JamboSEHEMU YA MWISHO......(FINAL)

VIP kuhusu madam Bado Yuko katk ofc ile je kapata mtoto kama alivyo tarajiaSidhani kama ingependeza kutumia nguvu ili mtu ajue kuwa umefanikiwa kwakuwa huwezi shindana na walimwengu mkuu.
Kuhusu Shedy alifungwa hadi leo hii.
Wee jamaaa utakuwa unafanya Kaz tanroad tu hkn namnaMadam,
Alinionya nisije mpigia Simu.
ESTA
Niligombana naye, japokuwa huwa naonana naye kwani kajenga jirani na nilipo, na sijawahi kuwa karibu naye.
Shedy
Ni mfungwa baada ya kukutwa na hatia, hata hivyo mkewe yupo anapambana na maisha.japo Sina ukaribu nao
Mywife,
Ni mjasiamali mkubwa kwa sasa.
Rose,
Anaishi nje ya nchi, alikoenda baada ya kuolewa, japo nikiwa kwenye msafara wa kampeni ya urais 2020,nilionana naye mkoani Dodoma aliwa sehemu yetu.
Esta ana kibanda/nyumba yakeVIP kuhusu madam Bado Yuko katk ofc ile je kapata mtoto kama alivyo tarajia
Ni ukweli usiopingikaWee jamaaa utakuwa unafanya Kaz tanroad tu hkn namna
daaah imeisha cjui tutaamia wap sasahii simulizi inadeserve mil+ views...asante mkuu na hongera pia.