Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,807
- 17,358
Hii Hadithi ikiisha na ya bm ndio mwisho wa kusoma Hadithi za jf Mana unakuwa mtumwa fulani
BM ni too much aisee na kinachovutia hizi simulizi za BM na Jack Daniel ni za ukweli. 😄 😄 😄Hii Hadithi ikiisha na ya bm ndio mwisho wa kusoma Hadithi za jf Mana unakuwa mtumwa fulani
Ni utumwa kbsa aseeeeeHii Hadithi ikiisha na ya bm ndio mwisho wa kusoma Hadithi za jf Mana unakuwa mtumwa fulani
Katafute kimoro ule mkuu ujipoozee machunguHii Hadithi ikiisha na ya bm ndio mwisho wa kusoma Hadithi za jf Mana unakuwa mtumwa fulani

ya bm ni ipi mkuuHii Hadithi ikiisha na ya bm ndio mwisho wa kusoma Hadithi za jf Mana unakuwa mtumwa fulani
Asubuhi nimeamka na togwaKatafute kimoro ule mkuu ujipoozee machungu![]()
Oyaa mwanangu hebu nialike hiyo NYANGI ya busaraAsubuhi nimeamka na togwa

SawaKwa wale wote mnaofuatilia simulizi hii nawaombeni mniwie radhi ni majukumu yananibana kwani nipo huku JNHP mradini. ila kwa Sasa nitaimalizia kwa ipo mwishoni bado vipande vichache. Msikose kuchungulia
Lakini pia Mimi siuzi hadithi na yule aliyekuja PM na kunitukana, naomba ajue kuwa nimejisikia vibaya sana, na Mimi siishi kwa kuuza stori, Bali nimeshare nanyi kwaajili ya kiburudisho na kujifunza.
keisangora Manyanza ram Boogman makorere Numbisa Mkushi w jani moneytalk hewizet MR KUO na wengine wote niliowasahau.
😂😂😂😂Kwa wale wote mnaofuatilia simulizi hii nawaombeni mniwie radhi ni majukumu yananibana kwani nipo huku JNHP mradini. ila kwa Sasa nitaimalizia kwa ipo mwishoni bado vipande vichache. Msikose kuchungulia
Lakini pia Mimi siuzi hadithi na yule aliyekuja PM na kunitukana, naomba ajue kuwa nimejisikia vibaya sana, na Mimi siishi kwa kuuza stori, Bali nimeshare nanyi kwaajili ya kiburudisho na kujifunza.
keisangora Manyanza ram Boogman makorere Numbisa Mkushi w jani moneytalk hewizet MR KUO na wengine wote niliowasahau.
Kwa wale wote mnaofuatilia simulizi hii nawaombeni mniwie radhi ni majukumu yananibana kwani nipo huku JNHP mradini. ila kwa Sasa nitaimalizia kwa ipo mwishoni bado vipande vichache. Msikose kuchungulia
Lakini pia Mimi siuzi hadithi na yule aliyekuja PM na kunitukana, naomba ajue kuwa nimejisikia vibaya sana, na Mimi siishi kwa kuuza stori, Bali nimeshare nanyi kwaajili ya kiburudisho na kujifunza.
keisangora Manyanza ram Boogman makorere Numbisa Mkushi w jani moneytalk hewizet MR KUO na wengine wote niliowasahau.
Alikuwa mzigoni huyoo sasa Pole ya nini? Wape pole wanaougua arosto humu. Alafu na wewe pole naona timu mbili zimekuchangia na kukupasua. Brighton and Hove 😬Pole mkuu
Kuna Engineers upo nao hapo nafahamiana nao namie Niko she hapa fela mwanza lot 5 section 4. Karibu pm tupeane madini ya fani yetu hata cv3D Kama hutojali mie Ni somasoma. Naamini kuwa " a man will fly strength of his mental power and not physical power"JNHP mradini
asante sana.Kwa wale wote mnaofuatilia simulizi hii nawaombeni mniwie radhi ni majukumu yananibana kwani nipo huku JNHP mradini. ila kwa Sasa nitaimalizia kwa ipo mwishoni bado vipande vichache. Msikose kuchungulia
Lakini pia Mimi siuzi hadithi na yule aliyekuja PM na kunitukana, naomba ajue kuwa nimejisikia vibaya sana, na Mimi siishi kwa kuuza stori, Bali nimeshare nanyi kwaajili ya kiburudisho na kujifunza.
keisangora Manyanza ram Boogman makorere Numbisa Mkushi w jani moneytalk hewizet MR KUO na wengine wote niliowasahau.
Shukrani mkuu tuendelee ivo ivo tu mdgo mdgo mpka mwshoKwa wale wote mnaofuatilia simulizi hii nawaombeni mniwie radhi ni majukumu yananibana kwani nipo huku JNHP mradini. ila kwa Sasa nitaimalizia kwa ipo mwishoni bado vipande vichache. Msikose kuchungulia
Lakini pia Mimi siuzi hadithi na yule aliyekuja PM na kunitukana, naomba ajue kuwa nimejisikia vibaya sana, na Mimi siishi kwa kuuza stori, Bali nimeshare nanyi kwaajili ya kiburudisho na kujifunza.
keisangora Manyanza ram Boogman makorere Numbisa Mkushi w jani moneytalk hewizet MR KUO na wengine wote niliowasahau.
khee makubwa yani mtu mzima mwenye meno 32 kabisaaa kakufata pm kukutukana,haki kuna watu hawana akili kabisaKwa wale wote mnaofuatilia simulizi hii nawaombeni mniwie radhi ni majukumu yananibana kwani nipo huku JNHP mradini. ila kwa Sasa nitaimalizia kwa ipo mwishoni bado vipande vichache. Msikose kuchungulia
Lakini pia Mimi siuzi hadithi na yule aliyekuja PM na kunitukana, naomba ajue kuwa nimejisikia vibaya sana, na Mimi siishi kwa kuuza stori, Bali nimeshare nanyi kwaajili ya kiburudisho na kujifunza.
keisangora Manyanza ram Boogman makorere Numbisa Mkushi w jani moneytalk hewizet MR KUO na wengine wote niliowasahau.
Tena na matusi juu, Kuna watu sijui huwa wanawaza ninikhee makubwa yani mtu mzima mwenye meno 32 kabisaaa kakufata pm kukutukana,haki kuna watu hawana akili kabisa
Shushaa mzgooo mkuuTena na matusi juu, Kuna watu sijui huwa wanawaza nini