Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

Nilikuwa na mtt hapo akitoka shule tunapiga stori akikaribia home kwao namuacha. Mpaka Ile asubuhi smt naamka kumsindikiza. Nilimpenda awe mke wangu kabisa sema Nature haikutaka
Nature kweli ina mambo yake, kuna binti nimefanana nae mpaka ile siku ya kuzaliwa na tarehe ya kuzaliwa japo nimemzidi miaka mitano na miezi mitano na siku tano, kapata mchumba last year nilidhani angekuwa wife lakini natura nayo ikakataa. Kila nikifikiria huwa nabaki naugua moyoni tu. Imagine mwaka wangu wa kuzaliwa ukiujumlisha na kuwa single number inakuwa ni tarehe yake aliyozaliwa... Na mwaka wake wa kuzaliwa ukiujumlisha na kuwa single number unapata mwezi wake aliozaliwa 😂😂😂😂😂
 
Ujue nature or universe Ina namna inavyofanya Mambo yake. Sema tukifanikisha Jambo fulani tunakuja kuvimba kuwa Ni uwezo wetu umefanya hayo yatokee
 
SEHEMU YA THEMANINI NA TANO

Kwenye maisha ni kawaida kupitia nyakati ngumu kwa muda fulani iwe masaa, siku, wiki na kadhalika.

Basi wiki ile ambayo Sarah alikuwepo kama msaidizi wa kazi mpya kwenye familia ya mzee Mgaya, ni kipindi Samson alikosa amani sana, alitamani Sarah hata angeondoka lakini haikuwezekana kwasababu kwanza familia ilimpata mtu sahihi,mtu anayefanya kazi pasipo kutumwa wala kuamrishwa ,mlezi wa mjamzito Rahma kama mama Kulwa alivyolenga.

Dah nimewamiss sana wanangu {wale mapacha} yaani nilitamani likizo hii tungekuwa wote , lakini ndiyo hivyo haiwezekani ya Glory katumia ujanja wake kawaita kwake. alilalamika mama Kulwa mbele ya mumewe akionesha amewamiss wanae.

Kwanza muhula wa kwanza walikuwepo hapa, si miezi kadhaa tu iliyopita? na saizi kwanza nimependa na kufurahi vile my daughter alivyowachukua huko, nadhani ni vizuri zaidi kubadili mazingira, wanajifunza vingi siyo Kila likizo waitumie hapa mjini. aliongea Mzee Mgaya huku akipekua bahasha fulani mpya.

Huwa unaongea kirahisi sana baba Jose lakini tambua wale ni wanangu nawapenda sana lazima niwakumbuke, ila tuachane na hayo vipi tena barua hiyo ni ya nini , maana barua zenye faida kwako huwa unazisomea chumbani, huku zenye matatizo Ukiwa unashirikisha watu.
mama Kulwa aliuliza.

Hii ni barua ya uhamisho wa Samson, wiki nzima hii nawasiliana Binti yangu Glory na tayari kwa asilimia nyingi tumefanikisha japo Kuna shida moja, ni kwamba inawezekana mahali anapoenda akarudia darasa, yaani hatoingia kidato cha nne kwasababu zilizo nje ya uwezo wetu, lakini pia hiyo shule Mkoa aliotoka yaani nyumbani kwetu hivyo nadhani shule zikikaribia kufungua Nina safari ya kumpeleka nyumbani kwao kwanza yaani kijijini, halafu tutarudi mahali ilipo shule yao ili aendelee na masomo. aliweka kituo mzee Mgaya.

Yaani huyu mtoto ni miongoni mwa watu waliotutia hasara sana kwenye hii nyumba, licha ya tabia zake mbaya lakini bado mnahangaika naaaaye, loh sijui ana bahati gani huyu mtoto, pia licha ya Glory kumueleza yote yenye kumuhusu huyu lakini masikini hata hajanielewa, ndiyo kwanza mmefanya mipango kimya kimya mumuhamishe shule, ila ipo siku mtu mmoja mmoja mtanielewa tu, najua kwasasa naonekana kama mwenye majungu nisiyependa maendeleo ya Samson lakini atakapowatia hasara mtaelewa tu. Halafu mume wangu kesho naomba uje dukani kwangu kule Kuna mtu simuelewi, nimekuwa nikiwasikia wafanyakazi wangu wakidai Kuna mtu huwa anakuja Kila siku ya MUNGU na kuniulizia ila huwa tunapishana, Sasa Leo kanikuta lakini amesema ana shida na wewe na si Mimi , amesema kuwa anakudai. Mama Kulwa aliweka kituo.

**************************************

Usiku wa manane usingizi ulimpotea Samson, taarifa aliyoisikia kutoka kwa mzee Mgaya kuwa anahamishwa shule hakuamini hata kidogo........

Kwanini wanihamishe shule, mbona kipindi kile nilikuwa naziona hekaheka iweje leo wafanye mambo yao kimyakimya, hapa hakuna shule tena ni kwamba narudishwa nyumbani kijijini, alijiwazia Samson.

Ina maana kweli Mzee Mgaya kashindwa kunipigania ?

Ina maana ndoto zangu zinaishia njiani? Kweli ng'ombe wa masikini hazai, Sasa miaka yote mitatu hapa mjini nimefanya nini?

Lakini Mzee Mgaya kwanini asingeniacha nimalize hata form four tu huenda ingenisaidia baadaye,. Samson aliwaza mbali sana huku akionesha kujuta sana kwa yanayoendelea kwake maana mawazo yake yalimtuma kuwa shule kwake hakuna tena. alilala saa ngapi hakujua, ila alisikia mlango ukigongwa kwa nguvu sana......

Weweee hebu amka, alaaaah!!
Naona likizo hii unaitumia vizuri sana unalala utakavyo siyo? sauti nzito ya mzee Mgaya yenye kuamrisha ilisikika nje , Samson akakurupuka kuvaa na kutoka nje akishangaa jua lilivyotoka. Na baadhi ya watu hawapo.

Kwani shangazi Sarah na mama wako wapi? aliuliza Samson .

Mtoto wa kiume unalaaaala, siku zote nilikuwa nakutegemea sana lakini ulichoonesha hii leo, umenikatisha tamaa mno,
Ni hivi saa kumi usiku Rahma kaanza kuugua huko chumbani kwake, ikabidi tutoke tukamsikilize Kuna nini hata hivyo akawa hawezi kuongea kwahiyo mama yako, na Sarah wamempeleka hospital.
Na hapa nenda kanawe maana Kuna mizunguko chungu mzima, kwanza naanzia ofisi ya Afisa Elimu naenda kugonga muhulu karatasi zako za uhamisho na pia naenda ofisi ya mkuu wa wilaya naye tunahitaji signature yake. aliweka kituo mzee Mgaya.

Moyo wa Samson ulilipuka kwa furaha, maana yeye aliwaza tofauti sana,

Kumbe bado nitaendelea na shule, MUNGU nisaidie, nipe uvumilivu huenda nikafikia malengo yangu. alijiwazia Samson kisha wakapanda kwenye gari na kuingia barabara kubwa huku wakiwa kimya.

Juzi nilienda shuleni kwenu kwaajili ya kusaini hizi karatasi zako za uhamisho, ila kuna hali nimeiona toka kwa walimu wako, mmmmh mwanangu chunga sana.
Yaani walimu wako wanafurahi wewe kuhama? imenisikitisha sana, hii inaonesha mwanangu umechokwa, Sasa kama hutobadili tabia, yote tunayofanya ni bure tu. Nijuavyo Mimi walimu huwa wanasikitika kuhama kwa mwanafunzi wanayemkubali na anayewabeba kwa kuwapa sifa nzuri lakini kwako imekuwa tofauti sana kwanini kumbe matatizo yako hadi shuleni. Mzee Mgaya alitikisa kichwa huku akimwangalia Sam na kutoa tabasamu la kumsikitikia mwanaye.

Baada ya kumaliza mizunguko yao yote walirudi nyumbani na kumkuta mama Kulwa akiwa na unyonge fulani,

Vipi mke wangu mgonjwa anaendeleaje, na mbona uko hivyo? aliuliza Mzee Mgaya.

Yaani acha tu, yule mtoto anaumwa mume wangu, tena anaumwa haswa sema yote haya kayataka mwanao huyu baradhuli halafu bado unahangaika naye sijui kwanini. mama Kulwa alizidisha ukali na manyanyaso kwa Samson.

Halafu mke wangu iwe mara ya kwanza na ya mwisho kumsimanga huyu mtoto, ni jambo gani lisiloisha, kwanini Samson akose Raha, kama kosa lilishafanyika na alishaonywa Sasa iweje Kila siku awe mdomoni, Ina maana Kila mabadiliko yatakayojitokeza kwa Rahma basi Samson akae roho juu kwanini,
Najua hela za wanao zinakuuma Sasa nipo tayari kuwazuia wasitoe msaada wowote kwa Samson, Mimi nitahakikisha anasoma kwa vyovyote. aliongea kwa ukali Mzee Mgaya kiasi cha kumshangaza Samson, na mama Kulwa mwenyewe.

Haya ila tambua kuwa hapa nimemrudisha tu Sarah na naomba uwasiliane na Tausi naye aje hospital maana wao wanamjua Rahma vizuri, Kuna maswali naulizwa nashindwa kujibu najua wao wanaweza kutusaidia. aliongea mama Kulwa na kuweka vifaa fulani kwenye gari na kuondoka.
Na Mzee Mgaya akawasha gari na kuondoka , isijulikane wapi anaenda.

Wewee Samson njoo kwanza, Sarah aliita.

Hebu niambie mdogo wangu, ni kweli ujauzito wa Rahma ni wa kwako.

Samson alijibu Kwa kutikisa kichwa,kuwa ni kweli hakukuwa na sababu ya kuficha tena maana watu wote walijua hivyo.

Wewe hapo siyo mtoto mdogo tena, Hadi mlifikia kupeana ujauzito basi ni wakubwa na mnapendana, Sasa nakushangaa upo bize na madaftari tu, huoneshi hata kuwa na mawazo kwa Rahma. Mwenzio anaumwa, tena anaumia mno, ni vyema umuombee, chukua hata muda wa dakika moja, muombee Rahma ni mama wa mtoto wako, Tena ikiwezekana nenda hata hospital omba kumuona, hata yeye Kuna muda alikuulizia uko wapi, tulimdanganya kuwa upo nje, inaonesha anakupenda. aliongea kwa hisia kali Sarah.

Samson alishangaa huruma za Sarah, ni mtu ambaye tangu afike huwa yupo bize sana lakini siku hiyo alitoa ushauri, Samson aliwaza mbali huku tayari hofu ikimwingia , why Kila mtu aseme kuwa Rahma kazidiwa, akaona Bora aende hospital kwani haikuwa mbali sana, lakini kitendo cha kufungua geti aliona gari la Mzee Mgaya likiwa speed likija kwake, na kufunga breki.

Mwanangu hebu ingia ndani kwa Rahma lete begi lake la nguo , fanya haraka sana, Mzee Mgaya aliamrisha.
Samson hakuona begi Bali alikusanya nguo na kuzifunga kwenye kanga na kutoka nazo, Kisha akampa Mzee Mgaya ambaye aliziweka kwenye siti za nyuma na kutokomea huku Samson akiliangalia gari Hadi lilipopotea kwenye upeo wa macho yake, hofu ilizidi huku akigundua hali si nzuri kwa Rahma.

Itaendelea..................
 
Maskin Rahma Dahhh
 
SEHEMU YA THEMANINI NA SITA

Sasa atakuwa anaumwa nini, maana ............. , na kwanini huyu aunty Sarah anasema nimuombee kwani Kuna kitu gani, au Kuna kitu nafichwa? Mmmmh MUNGU nisaidie mambo yasiwe makubwa maana Kwa mdomo wa mama sijui kama nyumba itakalika na pia huenda nikakosa msaada ikiwa zitatumika gharama kubwa maana Mzee Mgaya naye ni kama kinyonga anaweza kukwambia hivi Leo na baadaye anabadilika. alijiwazia Samson.

Baadaye alisikia kama anaitwa jikoni na sarah akainuka akaenda......

Samson hili jiko lenu ipo siku tutalala njaa tena mida yake ndiyo hiihii , lazima liharibike , na pia ni la kizamani sana duh, jiko gani hili Ina maana dada mama Kulwa yeye wa kushindwa kununua jiko jipya kweli loh, hii nyumba watu wamezidi ubahili, hebu nenda kamuite fundi si yupo nyuma tu hapo. alishauri Sarah.

Hapana yule huwa linamshinda, yupo fundi anapatikana mtaa wa tatu toka hapa, ila mara ya mwisho alinielekeza kuwa likizima Kuna waya utakuwa umeungua akanielekeza namna ya kubadilisha, aliweka kituo Sam

Weeeeee usije kuumia wewe kazi ya ufundi umeme umeanza lini, hebu kamuite fundi bwana. Sarah alimwambia Samson lakini Samson aliweza fanya utundu wake hatimaye mambo yakawa sawa.

Duh hongera mwaya, lilikuwa tatizo kubwa kwangu na hata hivyo nitamshauri anunue lingine maana hili tubasumbuka nalo mno. Aliongea Sarah huku akiendelea na upishi.

Yaani mama abadilishe hilo jiko, hivi unamjua au unamsikia, siku zote huwa analisifia anasema alinunua nchi gani sijui Norway sijui Sweden, anasema watoto wake mapacha walikuwa hawajazaliwa, na pia Kuna jiko lipo stoo alinunua baba hilo limeharibika hata halifai. Samson alifafanua.

Jioni Mzee Mgaya na mkewe walirudi wakiwa kwenye gari moja wakiwa na nyuso za furaha tu na wakiwa kwenye gari moja .
Samson alifungua geti Kisha akafunga huku akiwa na shauku ya kutaka kujua Rahma yuko wapi lakini hakumuona, lakini kwakuwa nyuso za wazazi wake zikionesha ishara ya amani hakutaka kujipa Presha.

Haya baba mtu shika huu mfuko na pia kwenye buti Kuna mizigo yangu toa yote, naona huyu ataitwa Babu mapema sana, maana aliyepatikana ni mtoto wa kike, Sasa vuta picha yule mtoto anarithi tabia za baba yake, kuanza tabia mbaya mapema , si ndiyo kupata mjukuu mapema. Mama Kulwa alimwambia Sarah. wakati huo Samson alijificha nyuma ya gari akisikiliza maongezi.

Heeeeh dada nambie imekuwaje, maana Mimi mwenyewe nilikosa Raha ujue. Sarah aliuliza.

MUNGU ni mwema maana watu wote tulichanganyikiwa, nimeshangaa Mzee Mgaya analeta nguo zooote hata sijui za nini, Lakini yote najua ni kuchanganyikiwa tu na hapa kidogo kashusha Presha ndiyo maana unamuona kakimbilia ndani,
Rahma amejifungua mtoto wa kike, japokuwa muda ulikuwa haujafika ila kuumwa sana kumepelekea hali hiyo. aliongea mama Kulwa.

Wewe Nini mke wanguuu ,
kuumwa? Kuumwa gani?
Yule Rahma hata kama angekufa ungemuua wewe, umesahau daktari kasemaje,

Kasema yule kajifungua mapema kabla ya muda kwasababu huenda alikuwa anaishi kwa hofu na wasiwasi, na ni kweli kwasababu Kila muda fimbo ni hiyo, kosa lolote fimbo ni hiyo sasa angewezaje kuuvumilia, wote Rahma na Samson walitotukosea lakini Kila jambo huwa lina muda lakini weweee unaongea weeeee... Hebu nipe funguo nataka nikapunguze mawazo maana leo nilikuwa kwenye zone mbaya sana. aliongea Mzee Mgaya huku akitoa gari nje.

Huyooooo anaenda kulewa yaani yeye kutwa nzima ananilalamikia kuhusu Rahma, hivi ni mzazi na mlezi gani anaweza kuwachekea watoto pindi wakifanya mambo kinyume na maadili? Mzee Mgaya anazeeka vibaya, ila tuachane na hayo yule mtoto ni mzuri jamani, yaani kazuri , Tena na walivyonisumbua yule nitalea mwenyewe, nimeshangaa Tausi anasema eti mgonjwa akiruhusiwa yeye atamchukua yaani mimba walee wengine mtoto achukue yeye, haiwezekani hata siku moja kwanza hawezi thubutu.
Yeye Rahma alishamshindwa hata kupelekea kuja kwangu sasa asiniletee ujinga. mama Kulwa aliweka kituo.

Sasa huyo Tausi umemwachia mgonjwa wewe umekuja huku, je vipi akitotoka naye? aliuliza Sarah huku anacheka.

Wewee Mimi ni Daktari, na mahali alipo Rahma ni sehemu ninayoheshimika Sana, kwahiyo Tausi hakuna anayemtambua zaidi yangu, na atakachojaribu kufanya lazima nitapewa taarifa japo nimerudi kuja kuchukua baadhi ya vifaa tu ila naenda hukohuko na nitalala. aliongea mama Kulwa Kisha akaingia zake ndani na kutoka na mkoba fulani mkubwa na kwenda nao huku Safari hii akiita Taxi.

Samson alifurahi sana alitamani kumuona huyo mtoto huku , akiwa na baadhi ya majina ambayo alipenda ampe yule mtoto lakini alifikiria Kisha akatambua kuwa anajisumbua tu, kwani mama Kulwa ndiye atakayependekeza jina la mtoto. Ikabidi akae kimya huku akiwa na furaha isiyofichika.

Samuuuu naona tayari unaitwa baba, na nakuona jinsi unavyochekacheka peke yako hii inaonesha umefurahi sana.aliongea kwa utani Sarah.

**************************************

Mzee Mgaya alirudi akiwa tungi kidogo inaonesha aliipiga pombe wimawima hivyo ilikuwa haijaingia kichwani sawasawa.

Samson hebu Kaa hapa nataka niitumie nafasi hii kuongea mambo yangu haswa tukiwa wawili tu,
Ni kwamba kama ulivyosikia Rahma kajifungua, habari ndiyo hiyo . lakini Mimi kama Mzee wako niliyekutoa kijijini ili uje usome, sijafurahishwa na ujio wa kiumbe kipya ndani mwangu, na jua kuwa sijapendezwa hata kidogo hata hivyo kwakuwa Kila kiumbe kina haki ya kuishi basi huyo mtoto atalelewa kwa misingi na huduma zote na jambo zuri namfahamu mama yako licha ya mdomo wake ila anapenda sana watoto naamini mtoto atalelewa kwa misingi mizuri tu, na kingine nikukanye na kukuasa kule ambako utaanza masomo yako kwenye shule mpya na tambua kuwa tumemdanganya mama yako kuwa unaenda kusoma mkoani kwenu lakini si kweli wewe unaenda kusoma na akina Kulwa ambao kwasasa wapo kwa dada yao Mwanza hivyo jiandae, shule unayoenda ni ya bweni hivyo zingatia kubadili tabia kama ambavyo wenzio wanasoma
Sihitaji kusikia ujinga wowote toka kwako tena, hapa ni kwangu siyo wodi ya watoto hivyo sitapenda nisikie ujinga au ujio wa mtoto tena, tafuta pa kumpeleka.unadhani hata wazazi wako wakipata taarifa hii watafurahi? Si ndiyo kwanza watanilaumu kuwa nilikuacha kama mbwakoko asiye na mmiliki

Hivi wewe tangu ukae hapa ulishawahi kusikia akina Kulwa Wana matatizo kama yako, au unafikiri wale siyo wanaume, chunga sana tabia zako mbaya acha hapa hapa kule utatia aibu mwenzangu hata baadhi ya wanafunzi wenzako watakushangaa maana kila mwenye akili timamu huzingatia kile kilichompeleka shule.
Ila yote kwa yote hongereni nasikia mna mtoto mzuri sana wewe na Rahma japo sijamuona lakini kwa maelezo ya walimuona ni mzuri. Mzee Mgaya aliingiza maneno ya kumpoza Samson ila ukweli hakupenda ujio wa kiumbe kile ndani mwake.

Samson aliingia chumbani kwake alipiga magoti na kumshukuru MUNGU, kwanza akiwa na uhakika wa kuendelea na masomo Tena kwenye shule ya maana kabisa (jina kapuni)
Pili ule unafuu wa Rahma hakika alifurahi sana.

Itaendelea...................
 
Asante na pole na majukumu it's not easy
 
SEHEMU YA THEMANINI NA SABA

Siku chache mara baada ya Rahma kuruhusiwa, wanawake kadhaa walikuwa nyumbani kwa mama Kulwa wakiwa wanapokezana mtoto kwa zamu, furaha zilitawala ndani mule huku Rahma akiwa anasifiwa kama kwamba hakuna mwanamke aliwahi zaa zaidi ya yeye.

Tausi na ndugu yake Latifa walikuwa wakiongea na kumshawishi Rahma kila mara kwamba ahamie kwao kwani wao hawana majukumu zaidi kama mama Kulwa hivyo wangempa uangalizi lakini pia mama Kulwa naye alisimama kidete kuwa Rahma haendi sehemu na ndiyo maana kaja msaidizi mwingine Tena mtu mzima (Sarah)yote ni kwaajili ya kuhakikisha Rahma anaendelea vizuri.

Hata Cathy mwanamke ambaye alikuwa hampendi Rahma kabla naye alimshika mtoto huku akitokwa na machozi ambayo watu wote hawakujua kwanini amshike mtoto Kisha machozi yamtoke, lakini baadaye eti naye alimuomba mama Kulwa kuwa akakae na Rahma hata wiki moja tu Kisha atamrudisha.

Mmmmh Cathy , wewe unaweza kuuguza mgonjwa gani, eti ukae naye wiki , hizo siku tatu utaweza na safari zako za mara kwa Mara mara South Africa mara Dubai, weeee tunaomba utuletee nguo za mtoto tu itatosha. aliongea mama Kulwa Kisha wakatazamana na Cathy na kucheka.

Mama ni mwanao nazeeka ujue,
Natamani kuitwa mama saizi.sema Nini mtu wa kuzaa naye maana si Kila mwanaume wa kuzaa naye.alitania Cathy.

Wewe si unasemaga bado unatafuta maisha kwanza, ukidai muda ukifika utafanya hivyo endelea kusubiri tu, watoto wadogo wanazaa nyie mnasubiri mpaka muwe mabibi. Kwanini usimwambie huyo uliyenaye akuzalishe.Mama Kulwa na Cathy walikuwa marafiki walioshibana sana kiasi cha kutaniana.

Mama Mimi nataka watoto warembo/handsome nataka kuzaa na mtu kama huyu aliyezaa na Rahma, yaani katoto ni very beautiful jamani na najitolea mtampa jina langu. aliweka kituo Cathy.

Kitendo Cha Cathy kusema anapenda azae na mwanaume kama aliyezaa na Rahma kiliwashangaza wote mle ndani huku wakikosa majibu, Lakini Samson alimwelewa vizuri sana Cathy.

Wewee
huyu aitwe Cathy? huyu atapewa jina langu Mimi, au la mama yake Samson, nadhani itakuwa ni kumbukumbu nzuri haswa akipewa jina langu, alijisifu mama Kulwa.

Kwanini msimuite Sarah, eeh nimekuja na neema unakumbuka wakati unaongea na Mimi ulisema lengo nije kumuuguza mgonjwa? Hivyo ni vizuri aitwe jina langu mtoto ni white kama Mimi hamuoni tunaendana? alitania Sarah

Huyu mtoto ni afadhali aitwe jina langu ,mimi ndiye ninayemfahamu vyema Rahma wamekulia nyumbani kwetu yeye na mama yake, Hadi pale nilipomzika mama yangu nikaamua kuja naye huku nikamlea Rahma kama mwanangu hivyo Kwa kunienzi Mimi ni afadhali huyu mtoto aitwe jina langu Mimi ni bibi yake halali kabisa.halafu pia Mimi hadi sasa sina mtoto hata wa kusingiziwa, hivyo ningefarijika ikiwa mtoto ataitwa kwa jina langu. Tausi aliongea kwa hisia kali.

Hapana , mbona mnataka mtoto apewe majina yenu tu vipi, kwanini nisimpe jina la mama yangu?
Mama yangu aliitwa Madina, niliwahi kumuuliza enzi za uhai wake kuwa kwanini aliitwa hivyo, akanijibu kuwa ni sababu ni mkimbizi toka Somalia
alijifananisha na kisa chamtume kinachoonesha aliwahi kuwakimbia watesi wake kutoka Makka hadi Madina hivyo, mama yangu akaitwa Madina. Je hamuoni itakuwa vizuri nami nikamuenzi mama yangu kwa kumpa jina lake huyu mtoto? Rahma aliweka kituo kwa mfumo wa swali. Watu wote waliokuwa mle ndani waliangaliana huku kila mmoja akiwa radhi mtoto apewe jina lile.

Samson alikuwa kimya akiwasikiliza wanawake wote lakini kwa kujikaza alivunja ukimya,

Samahani mama yangu, (mama Kulwa)

Pia samahani mamdogo {Tausi}

Stori ya mtoto aliyezaliwa ipo upande mmoja na kwa asilimia nyingi mtoto ni wa kwangu, hivyo napendekeza Mzee Mgaya akirudi ndiye atapendekeza jina la mtoto kwaniaba yangu. Samahani kwa kuingilia mazungumzo yenu. aliweka kituo Samson.

***************************************

Jioni wakati huo wageni wote waliondoka na pia Rahma alijipumzisha. Sebuleni alikuwepo Samson na Sarah tu.

Mzee Mgaya alirudi akionesha ni mwenye haraka sana, akawasalimia

Vipi mama yenu yuko wapi? aliuliza Mzee Mgaya.
Kabla hawajajibu mama Kulwa alitoka akionesha alijipumzisha kidogo, vipi mke wangu Kuna documents zangu zipo pale kwenye mkoba naziomba maana kesho nataka kwenda nazo porini. aliongea Mzee Mgaya akiwa hataki hata kukaa eti anachelewa.

Wewe Samson si ulisema unataka Mzee Mgaya ndiye apendekeze jina la mwanao, mwambie Sasa. alianza uchokozi Sarah.

Alisemaje? Jina gani?
ahaaa huyu aliyezaliwa?
Halafu Samson ni mjinga na mpumbavu sana, yaani badala ya kuwaza shule na masomo wewe unawaza ujinga tu, sijui nikuchape fimbo ili akili ikukae sawa, jina jina kitu gani, unadhani jina ndiyo huwa lina msaada gani , huyo apewe jina lolote tu si tutamuita ili mradi lisifanane na mtu mwingine, yaani hukomi tu, Mimi nawaza namna utakavyo jikomboa , wewe unawaza mtoto hii Ina maana yote nayoyaongea unanipuuza. Unadhani hii takataka uliyoniletea naifurahia sana eeeh , ada na pesa zangu zinateketea lakini wewe hata hujui naumia vipi mbaya zaidi huoneshi hata matumaini ya kumtia moyo anayekusaidia. aliongea kwa jazba Mzee Mgaya.

Mume wangu si vizuri kutukana hivyo huyu mtoto Rahma akikusikia atajisikia vibaya sana, Mimi nilikuwa nawasema Samson na Rahma pindi mtoto hajapatikana , unawezaje kuita takataka kiumbe kisicho na hatia, halafu huujui uchungu wa kuzaa baba Jose, usiseme hivyo Rahma atajisikia vibaya mume wangu. Umenikera sana na sijapenda. Mama Kulwa aliweka kituo.

Hebu nipe hizo karatasi na punguza unafiki siku zote si wewe ulikuwa unawasema Hawa, huruma umetoa wapi Leo. acha habari zako. Mzee Mgaya aliongea kwa hasira huku akitoka nje na kuondoka.

Yaani Mzee Mgaya huwa simuelewi kabisa yaani , Sasa kosa gani limefanyika yeye juzikati pindi Rahma ana uchungu, alinikataza kumsema Samson, na Mimi nilisema vile kwa uchungu kwakuwa nilichangia damu yangu kwa Rahma baada ya kuwa kapungukiwa, lakini ngoja anajifanya ana haraka nitapambana naye akirudi aache habari zake.

Mama Kulwa huongea na kuropoka haswa akiwa na hasira hali hii iliwafanya watu wamuone ana roho mbaya,

Mzee Mgaya hudhamiria lolote kutoka moyoni , akikwambia neno jua kadhamiria.

Jina la mtoto wa Rahma na Samson bado ni kizungumkuti , je ataitwa nani? Jina gani litamfaa, la mama Kulwa, la Tausi au la Nani?au msomaji ungependa nani aenziwe kwa kutoa jina lake.
endelea kuifuatilia simulizi hii mpaka mwisho.liko jina

Itaendelea.....................
 
Dah, story imekuwa tamu balaa, mtoto aitwe ram tu inatosha 😂 😂 😂 😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom