Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

Yaani Samson atawapa watt wa kichotara
Rahma ana asili ya kisomali, Samson handsome kafanana na mama yake....unategemea mtoto atakuwaje 😄 😄 😄 😄Cathy kaniacha hoi, anataka azae na aliyemzalisha rahma
 
Wakati alimfukuza toka kwake asimzoee
 
Sam ningekuwa naishi nae angechezea mabanzi sana, uzuri mama kulwa anaongea anakusimanga lkn hapigi
Duu wew mkorofi huwezi jizuia hasira.
Mie huwa nagombeza tu nikishatoa sumu Basi. Yaani ndani ya dakika tano tunacheka
 
ila Mzee mgaya huyu Mzee dah.

nitakuwa kama yeye siku moja
 
SEHEMU YA THEMANINI NA NANE

Ilikuwa ni siku ya mnada ambao ulikuwa unafanyika kila weekend, ni mtaa wa tatu toka nyumbani kwa Mzee Mgaya, Samson alikuwa akizunguka sehemu mbalimbali akiwa anatupia macho huku na huko akiziangalia bidhaa mbalimbali.

Sare za shule hususan za shule ya msingi zilikuwa nyingi sana, na hata wateja walionekana kuwa wengi mwezi ule wa kumi na mbili, wakichagua nguo za shule kwaajili ya watoto wao, lakini pia sikukuu ya kuzaliwa masihi au Yesu Kristo ilikaribia, hivyo watu wengi hususan wa kipato cha chini, walipendelea kununua nguo mnadani kwaajili ya kupata unafuu na punguzo la bei.

Samson yeye hakuwa na shida ya nguo yeyote,bali alikuwa anapoteza muda tu, ghafla akaifikia meza moja panapouzwa nguo za watoto wachanga kabisa, alipigwa na butwaa huku moyo ukimlipuka kwa furaha, alijikuta zile nguo za kitoto anazipenda ghafla ila hakujua anafanya nini akabaki kakodoa macho huku akijisahau kabisa.

Karibu tukuhudumie, chagua mwanangu naona nguo umezipenda maana umefika muda, sioni ukiulizia muuzaji unashangaa huku ukitabasamu peke yako.
ni maneno ya mama mmoja mnene akiwa anamkaribisha Samson kwenye ile meza yake huku akiinuka pale kwenye mwamvuli na kuja alipo Samson.

Samson alishtuka huku akiona aibu kwa mbali, na alivyogeuka akagundua watu wengi wanamtazama na wengine wanasogea kutaka kujua kwanini kijana yule asogelee meza mahali panapouzwa nguo za watoto wachanga, na Kwa umri wake na mwili wake mwembamba hakufanana na mtu anayeweza kuwa na mtoto. Kwa aibu aliondoka taratibu huku akiacha matusi na lawama huku nyuma.

Jamani, mitoto mingine kama imetumwa vile, Sasa kilichomfanya asimame kwenye biashara yangu kitu gani kama siyo uchawi ni nini, ndiyo maana mtu unakaa kutwa nzima huuzi kumbe Kuna watu wanakuja kukuletea mkosi , wewe mtoto wa umri ule aanze kutaka nguo za watoto wachanga ili apeleke wapi mwanga huyu? alilalamika yule mama muuzaji akiwa hajapenda tabia ya Samson.

Samson alitoka haraka eneo lile na kutokea upande wa pili huku akiwa na hofu maana watu wa minadani hawachelewi mtu kukuita mwizi,
Akashika njia ya kwenda kwao mpaka nyumbani kwa Mzee Mgaya.
Aliingia ndani na kumkuta mzee Mgaya akiwa anaongea na mkewe.

Aisee mbona mwanangu hutulii tena ulikuwa wapi, muda wote nakutafuta nataka twende kwenye shule yako mpya ukaripoti kwani nimewasiliana na mwalimu mkuu anasema tayari amerudi maana alisafiri, aliweka kituo mzee Mgaya.

Lakini baba Jose naona muda umeenda kweli , saa nane kasoro hii hata kama alikuita mwenyewe uende, lakini muda umeisha ujue. alishauri Mama Kulwa.

Yaani yote kasababisha huyu mpuuzi, Mimi tangu saa nne nilikuwa hapa lakini yeye hata hawazi, badala ya kutumia likizo hii ajisomee, yeye yupo mtaani, na tangu shule zifungwe sijaona akihangaika hata na tuition sijui anawaza nini huyu, mjue ananikatisha tamaa, Kuna muda naona kama itapotea hela yangu buuuure kabisa. aliongea kwa ukali kidogo Mzee Mgaya huku akimwangalia mkewe.

(Mama Kulwa akacheka)
Si wewe na wanao ndiyo mpo nguvuni kwenye jambo hili, dalili zote za mtu ambaye shule imemshinda zinaonekana, au unataka siku Samson akwambie kuwa sitaki shule ndiyo ujue si ndiyo? Mimi nimeamua kukaa pembeni wala siwazuii mmeshakuwa wengi sasa Mimi mmojaaaa siwezi kuishinda hii battle ila endeleeni kusomesha hadi wazazi matokeo mtapata. aliongea mama Kulwa huku akizidisha kicheko chake cha kejeli.

Samson na Mzee Mgaya waliangaliana kwa muda huku sura ya Mzee Mgaya ikizungumza jambo kwa Samson ingawaje hakutoa maneno mdomoni.

***************************************

Siku iliyofuata Samson na Mzee Mgaya walikuwa kwenye uzio mkubwa na mrefu ambako ndani humo kulikuwa na majengo pamoja na madarasa mazuri sana, lakini pia mpangilia wa mazingira,miti mizuri pamoja na maua vilivutia sana.

Watu walikuwa wengi mle huku kukiwa na Kila mzazi na mwanae hususani wale kidato Cha kwanza, Samson aliendelea kuangaza macho huku na huko akagundua shule ile kwa mazingira ya nje tu ina utofauti mkubwa mno na shule aliyosoma mwanzo.

Hebu tushuke kwenye gari maana mwalimu mkuu yule pale, ngoja tumalizane naye mapema maana Mimi Nina mambo mengi sana. Mzee Mgaya aliongea huku wakipiga hatua kuelekea jengo fulani la ghorofa lililoonekana ni jipya na la kisasa.

Hey sorry teacher, naitwa James Mgaya wiki iliyopita nilikuja nikakukosa lakini assistant wako aliniambia nije Jana , bahati mbaya nikapata dharula, aliongea bila hata salamu Mzee Mgaya.

Ooooh sawa Mr James, lakini nimesikia kuwa uliambiwa uje Jana Ina maana masuala yako yangefanyika jana Sasa kuja leo huoni kama upo nje ya ratiba? alijibu yule mwalimu mkuu yule huku akipandisha ngazi kuelekea juu.ni mwalimu ambaye alimshangaza sana Samson.
Mwalimu alivaa T shirt na Pensi huku miguuni akivaa viatu vya wazi , Sasa kwa mavazi yale yalimfanya Samson ashangae kidogo.

Tafadhali mwalimu tunaomba utusaidie ni dharula tu ilitokea na hata taarifa zote zimekamilika bado vipengele vichache tu ili tuweze kukamilisha taratibu zote. aliomba sana Mzee Mgaya

Yule mwalimu aligeuka akawaangalia Kisha kwa ishara akawaambia wamfuate,
Kisha wakakaribishwa kwenye ofisi fulani classic ambayo Kila kilichomo kilikuwa ni cha kisasa pamoja na mpangilio mzuri wa makabati hakika ilistahili kuitwa ofisi.

Mzee Mgaya alikabidhi bahasha yenye karatasi fulani , Kisha mwalimu akaanza kuzisoma huku akitingisha kichwa kuonesha amekubali, yaani mzee Mgaya kapitia sehemu zote zinazotakiwa,

Hizi form alikupa msaidizi wangu si ndiyo, aliuliza yule mwalimu huku akizipekua.

Mzee Mgaya aliitikia kukubaliana

haya masuala ya kuwapokea hakukuwa na haja ya kunisubiri angeweza kumaliza mwenyewe
Mbona taarifa zimekaa vizuri tu, ila kwakuwa katoka shule hii hapa hawezi kuingia kidati cha nne Bali atarudia kidato cha tatu, tuna maana yetu kufanya hivyo ni kwa kumsaidia mwenyewe na kutengeneza jina la shule yetu vizuri (hapa hakuwa na Imani na uwezo wa Samson kutokana na aina ya shule alitoka)

Halafu hili jina la Mgaya si geni sana kwani tuna twins hapa nao wanatumia last name kama hili, unawaitaje wale, au ni mfanano wa majina tu, aliuliza yule mwalimu mkuu.

Hao ni wanangu, ni kweli wanaosoma shule hii, na nashangaa tu mwalimu unanisahau, wewe pia si ulimfundisha Binti yangu chuoni, ulikuwa lecture wewe, na nashangaa upo hapa kwani ilikuwaje. aliuliza Mzee Mgaya.

Dah kweli nimekukumbuka aisee Binti yako Glory nilimfundisha japo chuoni pale alisoma mwaka mmoja tu, na pia kuhusu Mimi kuacha ulecture na kuangukia huku ni stori ndefu na sihitaji kuikumbuka hivyo tuongee mengine, na nipende kuwakaribisha kwenye shule yetu mpya ambayo ni changa kwani ndiyo kwanza inatimiza miaka sita tangu isajiliwe lakini pia kwa muda mfupi imefanya vizuri kitaaluma kiasi cha kuwashawishi watu wengi kuhamia hapa, na unavyoniona hapa nipo busy sana kutokana na kupokea wanafunzi wengi wanaohamia hapa, lakini pia wale wa kidato cha kwanza ndiyo wanatuweka bize zaidi.
alifafanua yule mwalimu mkuu.

Mwalimu aliweza kuwazungusha maeneo mengi hasa baada ya kuwa mwalimu mkuu kamkubuka Mzee Mgaya, akawaonesha makablasha kibao huku Mzee Mgaya akiridhika kuwa shule ile inatisha kitaaluma hivyo akazidi kuwa na Imani nayo. Walirudi ofisini kwaajili ya kukamilisha taratibu zote Kisha wakaagana huku Samson alikaribishwa kwenye ile shule ya viwango kwa kiasi chake.

Samson na baba yake walirudi nyumbani huku wakiwa na furaha ya kutimiza mambo yao, huku Samson akiwa na furaha zaidi, walishuka kwenye gari na kukuta ugeni ambao Mzee Mgaya hakufahamu, ila Samson alihisi kitu kwani alimfahamu mwanafunzi mwenzie,
Si mwingine bali alikuwa ni Zena classmate wa Samson.
Samson moyo ulilipuka pah, huko kijasho chembamba kikianza kutoka kwani ujio wa Zena alihisi siyo salama .

Itaendelea..................
 
Zena tenaaaaaaaa
 
Ila Samson ana take high risks ambazo mie siziwezi, wengine Wana risk even their life just to make money,sex,etc. It's all about what's your real fakin deep desire in your heart
 
Maskini Sam, Zena tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom