Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

Hakuna Mafanikio yasiyokuwa na changamoto za hapa na pale yaani kwa kifupi hakuna mafanikio yasiyokuwa na historia haijalishi hiyo historia ina ukubwa gani. Naamini Kijana Samson atatoboa tu na kuwa Mtaalamu katika nyanja fulani yenye hadhi yake.
 
Samsoni alivotahiriwa kuna kipande kidoogo hapa kwenye mshono kilisahaulika watu wa hivo wanakuaga mda wote na ashki majinun huwaelez kitu asee kuna mchiz mmoja ilibidi akakatwe ndo ponna yake
 
SEHEMU YA THEMANINI NA TATU

Siku zilikatika huku maisha kwenye familia ya mzee Mgaya yakiwa poa kabisa, uhusiano Kati ya mama Kulwa na Samson ulizidi kwenda vizuri hasa baada ya Samson kuonesha mabadiliko fulani kinidhamu.

Siku moja wakati wanakaribia kufunga shule mara baada ya kuwa wamemaliza mitihani yao, wanafunzi wote shule nzima walikuwa makundi makundi wakifanya shughuli za usafi kuizunguka shule yao, huku kundi la Samson likiwa nyuma kabisa wakipiga stori tu bila kuwa kwenye majukumu na wenzao.

Zena alikuja mahali walipo kina Samson huku akiwa mbali kidogo akamwita Sam kwa ishara ya kufumba na kufumbua kiganja.

Oyaaaa Sam, mbona huyu demu kama anakuita wewe?
Halafuuu dah kweli wagombanao ndiyo wapatanao, nenda basi kaka , zali Hilo huenda ukaishi naye kwenye likizo hii. aliongea mwanafunzi mwenzie huku Samson akizugazuga kama hajaitwa yeye vile. Lakini hakuwa na namna alizunguka na Zena na kujificha kwenye miti ya maua marefu ambapo hakukuwa na watu kupitapita.

Vipi tena unataka kunichoresha, wewe unaona jinsi walimu wanavyoniandama hapa shuleni yaani muda wote wananitafutia vijisababu tu ili watimize azma yao, aliweka kituo Sam.

Hapana Sam bila shaka una hofu juu ya hilo, lakini Kuna kosa mwanafunzi wa kiume kusimama na mwanafunzi wa kike? mbona darasani tunakaa mchanganyiko?
Halafu nikwambie kitu Sam, huku ulikonileta ndiko tunaweza kufanya watu wahisi vibaya nikwambie .
alishauri Zena.

Sema nini unahitaji achana na Mambo mengine. Samson alimtaka Zena aweke wazi shida yake.

Zena hakuwa na la maana Kwa Samson zaidi ya kujing'atang'ata tu na kucheka hata pasipochekesha,

Samson likizo ndiyo hii nadhani Mimi na wewe kuonana ni hadi mwezi wa kwanza, so nitakumisi sana kwenye kipindi ambacho hatutaonana, yaani sijui itakuwaje dah. aliongea Zena huku akiinamia chini kwa aibu.

(Huyu Sina mazoea naye kivile Sasa huku kunimiss kunakujaje?
halafu tofauti na siku niliyojaribu kufanya naye mambo fulani, na tangu hapo sijawahi kuongea naye chochote na alikuwa kimya sana,
Halafu leo anadai atanimiss kwani Mimi mpenzi wake?
Haya ndiyo mambo yanayotokeaga na kuniweka matatizoni, lengo ashike ujauzito halafu nianze kukonda kwa mawazo,
Tena Sasahivi mama yupo vizuri huenda taratibu za uhamisho zikaanza, so nikivuruga si nitawakatisha tamaa ndugu wanaonipa msaada) Samson alijiwazia.

Vipi Sam unawaza nini mbona hunijibu? basi Mimi naondoka Sam naona mtu mwenyewe hueleweki. alilaumu Zena.

Samson kama kawaida yake alikuwa nusu nusu ashikilie msimamo wake au amkubalie Zena kuwa kipindi cha likizo watakuwa wanatembeleana licha ya Zena kukaa mbali kidogo, au amkatalie kuwa hataki mazoea,
Samson alikuwa njiapanda.

Kumuacha msichana mbichi kama Zena kwa kuogopa familia ya mzee Mgaya, Samson aliona kama ni uoga uliopitiliza na anapaswa kupata Division zero kwenye hiyo hali akamshika Zena kwa nguvu huku tayari bastola ya Samson ikiwa tayari kuua muda wowote.

Niachie, unanishika nini, mtoto wa kiume hunijibu unalambalamba tu midomo unataka nikueleweje niache niende bwaaana. Zena alilalamika.

Samson aliangalia kulia na kushoto hakuona mtu huku ile miti ya maua ikitengeneza giza fulani , akaona ni sehemu sahihi ya kumalizana na Zena, si kajileta mwenyewe? Lakini ile anataka kumvua nguo mtoto wa watu, kengele ilisikika ikiashiria wanafunzi wote wanatakiwa waende mistarini, hivyo zoezi la Sam likakwamia pale pale.

************************************

Mume wangu huyu mtoto hali yake inaendelea vizuri, lakini nataka nimpunguzie majukumu, hapa anahitajika dada wa kazi mwingine, Rahma atapumzika na Mimi mwezi huu wa kumi na mbili nitakuwa busy sana si unajua tena lazima tukimbizane na biashara na hapa napokwambia mzigo wangu umeshafika nilioagiza nje. Hivyo ni kipindi nitakuwa bize sana.
aliweka kituo mama Kulwa.

(Mzee Mgaya akacheka kidogo)
Sasa mke wangu masuala ya kuleta mgeni mpya sijui mfanyakazi mwingine sidhani kama yananihusu sana ila kila la kheri na namkaribisha huyo mtu japokuwa sijamuona naamini umezingatia vigezo maana wale wakukaa siku kadhaa na kutoroka huwa ni mtihani mke wangu. alijibu mzee Mgaya.

Siku inayofuata mama Kulwa alirudi jioni akiwa na mdada ambaye ni mtu mzima pengine alitakiwa awe kwenye ndoa yake, lakini ndiyo hivyo alikuwa housemaid mpya kwenye familia ya Mzee Mgaya.

Mwanamke mwenye sura nzuri na mwenye shepu yake huku urefu wake ukimpagawisha na kumshangaza Samson, aliingia jikoni huku Sam akishangaa tu.

Duh kweli mwanamke hana ugeni kwenye nyumba ya mtu hajataka hata kusubiri, hajataka kupumzikaaaa..... alijiuliza Samson ikabidi amfuate.

Habari za saizi Dada, alisalimia Samson.

Nzuri tu hujambo, alijibu yule dada.

Samahani naitwa Samson ni mwanafamilia wa hapa, mwenzangu unaitwa nani? aliuliza.

Yule dada alimwangalia Samson kwa muda kisha akatabasamu,
Achana na jina langu kwanza , ila naomba uniletee fagio na kitambaa naona vitu vimekaa ovyo . alijibu yule dada Kisha Samson akaleta vinavyohitajika na kwenda zake sebuleni maana aligundua yule dada hataki mazoea na yeye.

Wewe Samson hebu sogea hapa kwanza, Mzee Mgaya alimuita Sam Kisha kwa sauti ya chini akwambia kuwa katika kipindi kile awe makini kwani dada yake Glory huko aliko kazini kwake mipango imepamba moto akiteleza mipango ya uhamisho wake hivyo awe makini asije akaleta maudhi yeyote na kuwafanya watu wakarudi nyuma.

Sasa mke wangu mbona mmemleta dada ambaye umri wake ni mkubwa sana vipi imekuwaje tena hawa wanakuwaga wasumbufu kwenye maslahi maisha yenyewe unayaona atataka shida zake zote amalizie hapa mwisho wa siku ugomvi usiokuwa wa lazima utatokea.
aliweka kituo mzee Mgaya.

Ni kweli nimefanya hivyo kwasababu mbili, kwanza ni mtu mzima anaweza kumuhudumia Rahma kwa usahihi, na pili tuna mtoto mtukutu humu ndani hivyo itakuwa ngumu yeye kumrubuni huyu mtu mzima. Kuhusu maslahi tumeshakubaliana. Hivyo ondoa shaka mume wangu.
alifafanua mama Kulwa.

Samson alitoka nje na kumuona yule dada alivyobusy na kazi utasema ana muda mrefu kumbe ndiyo kwanza kafika siku ile, alijikuta anavutiwa sana na umbo la yule mwanamke

Itaendelea.........................
 
SEHEMU YA THEMANINI NA TATU

Siku zilikatika huku maisha kwenye familia ya mzee Mgaya yakiwa poa kabisa, uhusiano Kati ya mama Kulwa na Samson ulizidi kwenda vizuri hasa baada ya Samson kuonesha mabadiliko fulani kinidhamu.

Siku moja wakati wanakaribia kufunga shule mara baada ya kuwa wamemaliza mitihani yao, wanafunzi wote shule nzima walikuwa makundi makundi wakifanya shughuli za usafi kuizunguka shule yao, huku kundi la Samson likiwa nyuma kabisa wakipiga stori tu bila kuwa kwenye majukumu na wenzao.

Zena alikuja mahali walipo kina Samson huku akiwa mbali kidogo akamwita Sam kwa ishara ya kufumba na kufumbua kiganja.

Oyaaaa Sam, mbona huyu demu kama anakuita wewe?
Halafuuu dah kweli wagombanao ndiyo wapatanao, nenda basi kaka , zali Hilo huenda ukaishi naye kwenye likizo hii. aliongea mwanafunzi mwenzie huku Samson akizugazuga kama hajaitwa yeye vile. Lakini hakuwa na namna alizunguka na Zena na kujificha kwenye miti ya maua marefu ambapo hakukuwa na watu kupitapita.

Vipi tena unataka kunichoresha, wewe unaona jinsi walimu wanavyoniandama hapa shuleni yaani muda wote wananitafutia vijisababu tu ili watimize azma yao, aliweka kituo Sam.

Hapana Sam bila shaka una hofu juu ya hilo, lakini Kuna kosa mwanafunzi wa kiume kusimama na mwanafunzi wa kike? mbona darasani tunakaa mchanganyiko?
Halafu nikwambie kitu Sam, huku ulikonileta ndiko tunaweza kufanya watu wahisi vibaya nikwambie .
alishauri Zena.

Sema nini unahitaji achana na Mambo mengine. Samson alimtaka Zena aweke wazi shida yake.

Zena hakuwa na la maana Kwa Samson zaidi ya kujing'atang'ata tu na kucheka hata pasipochekesha,

Samson likizo ndiyo hii nadhani Mimi na wewe kuonana ni hadi mwezi wa kwanza, so nitakumisi sana kwenye kipindi ambacho hatutaonana, yaani sijui itakuwaje dah. aliongea Zena huku akiinamia chini kwa aibu.

(Huyu Sina mazoea naye kivile Sasa huku kunimiss kunakujaje?
halafu tofauti na siku niliyojaribu kufanya naye mambo fulani, na tangu hapo sijawahi kuongea naye chochote na alikuwa kimya sana,
Halafu leo anadai atanimiss kwani Mimi mpenzi wake?
Haya ndiyo mambo yanayotokeaga na kuniweka matatizoni, lengo ashike ujauzito halafu nianze kukonda kwa mawazo,
Tena Sasahivi mama yupo vizuri huenda taratibu za uhamisho zikaanza, so nikivuruga si nitawakatisha tamaa ndugu wanaonipa msaada) Samson alijiwazia.

Vipi Sam unawaza nini mbona hunijibu? basi Mimi naondoka Sam naona mtu mwenyewe hueleweki. alilaumu Zena.

Samson kama kawaida yake alikuwa nusu nusu ashikilie msimamo wake au amkubalie Zena kuwa kipindi cha likizo watakuwa wanatembeleana licha ya Zena kukaa mbali kidogo, au amkatalie kuwa hataki mazoea,
Samson alikuwa njiapanda.

Kumuacha msichana mbichi kama Zena kwa kuogopa familia ya mzee Mgaya, Samson aliona kama ni uoga uliopitiliza na anapaswa kupata Division zero kwenye hiyo hali akamshika Zena kwa nguvu huku tayari Samson bastola ya Samson ikiwa tayari kuua muda wowote.

Niachie, unanishika nini, mtoto wa kiume hunijibu unalambalamba tu midomo unataka nikueleweje niache niende bwaaana. Zena alilalamika.

Samson aliangalia kulia na kushoto hakuona mtu huku ile miti ya maua ikitengeneza giza fulani , akaona ni sehemu sahihi ya kumalizana na Zena, si kajileta mwenyewe? Lakini ile anataka kumvua nguo mtoto wa watu, kengele ilisikika ikiashiria wanafunzi wote wanatakiwa waende mistarini, hivyo zoezi la Sam likakwamia pale pale.

************************************

Mume wangu huyu mtoto hali yake inaendelea vizuri, lakini nataka nimpunguzie majukumu, hapa anahitajika dada wa kazi mwingine, Rahma atapumzika na Mimi mwezi huu wa kumi na mbili nitakuwa busy sana si unajua tena lazima tukimbizane na biashara na hapa napokwambia mzigo wangu umeshafika nilioagiza nje. Hivyo ni kipindi nitakuwa bize sana.
aliweka kituo mama Kulwa.

(Mzee Mgaya akacheka kidogo)
Sasa mke wangu masuala ya kuleta mgeni mpya sijui mfanyakazi mwingine sidhani kama yananihusu sana ila kila la kheri na namkaribisha huyo mtu japokuwa sijamuona naamini umezingatia vigezo maana wale wakukaa siku kadhaa na kutoroka huwa ni mtihani mke wangu. alijibu mzee Mgaya.

Siku inayofuata mama Kulwa alirudi jioni akiwa na mdada ambaye ni mtu mzima pengine alitakiwa awe kwenye ndoa yake, lakini ndiyo hivyo alikuwa housemaid mpya kwenye familia ya Mzee Mgaya.

Mwanamke mwenye sura nzuri na mwenye shepu yake huku urefu wake ukimpagawisha na kumshangaza Samson, aliingia jikoni huku Sam akishangaa tu.

Duh kweli mwanamke hana ugeni kwenye nyumba ya mtu hajataka hata kusubiri, hajataka kupumzikaaaa..... alijiuliza Samson ikabidi amfuate.

Habari za saizi Dada, alisalimia Samson.

Nzuri tu hujambo, alijibu yule dada.

Samahani naitwa Samson ni mwanafamilia wa hapa, mwenzangu unaitwa nani? aliuliza.

Yule dada alimwangalia Samson kwa muda kisha akatabasamu,
Achana na jina langu kwanza , ila naomba uniletee fagio na kitambaa naona vitu vimekaa ovyo . alijibu yule dada Kisha Samson akaleta vinavyohitajika na kwenda zake sebuleni maana aligundua yule dada hataki mazoea na yeye.

Wewe Samson hebu sogea hapa kwanza, Mzee Mgaya alimuita Sam Kisha kwa sauti ya chini akwambia kuwa katika kipindi kile awe makini kwani dada yake Glory huko aliko kazini kwake mipango imepamba moto akiteleza mipango ya uhamisho wake hivyo awe makini asije akaleta maudhi yeyote na kuwafanya watu wakarudi nyuma.

Sasa mke wangu mbona mmemleta dada ambaye umri wake ni mkubwa sana vipi imekuwaje tena hawk wanakuwaga wasumbufu kwenye maslahi maisha yenyewe unayaona atataka shida zake zote amalizie hapa mwisho wa siku ugomvi usiokuwa wa lazima utatokea.
aliweka kituo mzee Mgaya.

Ni kweli nimefanya hivyo kwasababu mbili, kwanza ni mtu mzima anaweza kumuhudumia Rahma kwa usahihi, na pili tuna mtoto mtukutu humu ndani hivyo itakuwa ngumu yeye kumrubuni huyu mtu mzima. Kuhusu maslahi tumeshakubaliana. Hivyo ondoa shaka mume wangu.
alifafanua mama Kulwa.

Samson alitoka nje na kumuona yule dada alivyobusy na kazi utasema ana muda mrefu kumbe ndiyo kwanza kafika siku ile, alijikuta anavutiwa sana na umbo la yule mwanamke

Itaendelea.........................
Sam sasahv anataka kula li shangazi...
 
Haya mambo nishapitiaga mabeki tatu watamu kimtindo. Ila Sam is too much
 
Sexual drive are very strong followed by greed ya pesa.

Yaani hii Ni asili so huwezi pingana na uumbaji Ni sawa maji yapande mpando,sumaku ivute jiwe badala ya Chuma ama mti kukua kwenda chini hata ukiugeza utarudi. Ni sawa dunia inavyozungukq from east to west.
No question no reason labda Ni wewe umeki sababu zako ili ulishe ego yako kuwa you know your surroundings.
Just follow the nature as how it's.

Mfano watu wanapenda Raha kuliko maumivu.
So ukiwekeza kwenye Raha za watu utapiga pesa mno.

Majuzi hapa Beyonce akatumbuiza Dubai dakika 90 akalipwa 56tzs huku unamuamsha mwanao akiwa mdogo 3yrs awahi school bus. Unaanza kumpa habit mbaya na huku bado alistahili alale mpaka aamke mwenyewe,ale,acheze ili neurons zake zikue poa Ni sawa unaanza kubebesha punda mzigo ndama wa miezi mmoja ama miwili.

Find how to make people happy utapiga hela mno.
Video za ngono zinaongozwa kutazamwa ama games.

Mayweather Floyd amepiga 2014 pambano moja na Mann Pacquiao ndani ya lisaa you Ila akapata around 376bn tzs ,wewe mwambie mwanao asome badala ya kuwaza how to make money and control financial literacy
 
Huwa naelewa sana comments zako
Barikiwa mkuu
 
Halafu Sam akihamishwa atapandisha value kwa rahma and tausi plus Zena ,
 
SEHEMU YA THEMANINI NA NNE

Likizo ya Samson ilikuwa na mambo mengi, Kwanza ilikuwa ndicho kipindi cha yeye kubadili tabia kama ambavyo wazazi wake waitaka,lakini yeye alikuwa mmoja wa watu wasahaulifu na wasiokuwa na upembuzi wa mambo. Sasa endelea........

Jumamosi moja kama ilivyokuwa kawaida kwa mzee Mgaya kutembelea miradi yake, asubuhi na mapema Samson aliamka ili asaidie kazi za pale ndani kisha waondoke na mzee Mgaya,

Unajua dada kukaa humu ndani pasipo kufahamiana majina wala si sawa,kwa mara nyingine ningeomba nikufahamu, si kwa ubaya dada na pia samahani kama nitakuwa nakukosea. alijiongelesha Samson

Weeee mtotooooo dah umenishinda tabia, naitwa Sarah , japo sikupenda ujue jina langu ila ndiyo hivyo, na nikupe angalizo , sitaki uniite Dada Wala Sarah niite aunty inatosha kwani mwenzio Rahma si ananiita hivyo? lakini wewe umeona huridhiki hadi ujue jina langu. haya naomba nisaidie kupeleka hivi vitu kwenye meza ya chakula. aliongea Kwa sauti ya ukali kidogo yule aunt akionesha hajapenda usumbufu wa Samson.

Baada ya kupata breakfast watu wote waliagana huku kila mmoja akielekea kwenye mihangaiko yake, mama Kulwa kipindi kile hakuwa akikaa nyumbani kwasababu kwanza alimpata msimamizi wa kazi ambaye ni mtu mzima hivyo Kila kitu kilikaa sawa kabisa na kumfanya awe huru kufanya mambo mengi.
Mzee Mgaya na Samson wao walielekea pembeni ya mji zilipo Karakana

**************************************

Mzee Mgaya alibaini hasara fulani pale Karakana ikabidi aitishe kikao cha dharula, huku akiwa mkali kwa kulikuwa na upotevu wa kiasi kikubwa cha pesa kwa mujibu wa hesabu zake, mhasibu wake licha ya kujaribu kukataa lakini bado Mzee Mgaya alidai pesa zake zipatikane.

Mimi Kwa umri huu sidhani kama napaswa kupigizana kelele na nyinyi tena, na niseme tu ukweli hii Karakana ni kama ipo kwaajili yenu Mimi Sina njaa ya kutegemea hapa Sasa kuanzia leo Mimi nasitisha kazi hapa hadi pale ambapo pesa zangu nitazipata , najua Nina kazi na oda za watu wengi lakini nipo tayari kuwarudishia pesa zao, na Mimi nikaendelea na habari zangu si lazima nihangaike na mambo ya mbao.mimi nilianzisha mradi huu ili utusaidie wote Mimi na nyinyi Sasa kama tunaibiana mimi nawezaje kuendesha project isiyo na faida.aliweka kituo mzee Mgaya.

Kwanza nikushukuru Mzee mwenzangu kwa kututembelea na niseme tu kuwa upo sahihi kwa madai yako, lakini tunakuomba sana boss wetu usifunge kiwanda chako hii ni sehemu ambayo vijana wote wanapata riziki zao hivyo Kwa kufanya hivyo ikiwa watu hawana kazi wala namna nyingine, itaweza kuathiri maisha yetu, pendekezo letu ni kwamba ungedili na mtunza hazina wako tu huku sisi wengine tukiendelea na kazi. alisema mmoja wa mafundi wa mzee Mgaya huku akishangiliwa na vijana wote kwa kauli yake kuwa angeshughulika na yule anayemtunzia pesa zake.

Kwanza hiki siyo kiwanda ni SIDO,hivyo ukidhulumu kiasi kidogo tu tayari Karakana inakufa hii na ifahamike kuwa wote tunaganga njaa tu, nawategemeeni
Ninyi kuweza kusonga mbele bila nyinyi sifiki kokote nitazidi kufilisika na hatimaye wote tukakosa sehemu za kufanya kazi , Kuna takribani vijana ishirini na tano hapa, hamko wengi sana ila tambueni kuwa mkikosa kufanya kazi hapa mtahangaika Hadi kufikia kupata kibarua sehemu nyingine tayari mmehangaika sana hivyo heshimuni kazi. Mzee Mgaya aliwashauri vijana wake.

Baadaye alitoka huku akiacha maagizo kwa muhasibu wake kuwa ahakikishe anaweka hesabu sawa Kisha aje nyumbani kwake baadaye.

Wakiwa kwenye gari Mzee Mgaya alimuongelesha Samson,
Mwanangu sitoacha kuku kumbusha na kukweleza ukweli, bila shaka umewaona baadhi ya watoto pale kwenye Karakana yetu, wengine ni umri wako kabisa. Na huwa unaona namna kazi zinavyoendeshwa huku wale watoto muda mwingine wakielemewa, Sasa si kwamba wale ni wazembe kwa kushindwa kusoma, Bali ni familia nyingi kukosa uwezo wa kuwaendeleza watoto wao, na matokeo yake kuangukia kwenye utumwa wa vibarua.

Lakini wapo waliochezea shule wenyewe, si lazima wawe kwangu pale hapa nazungumzia sehemu nyingine, utoro, nidhamu mbovu shuleni hupelekea mwanafunzi kufukuzwa shule, je kwa mfano wewe unafukuzwa shule utafanya kazi gani? mzee Mgaya aliuliza swali huku akikanyaga brake kupunguza mwendo akimwangalia Samson.

Samson hakuwa na jibu zaidi ya kutazama chini tu.

Najua huwezi kuwa na majibu, tena umepata bahati sana kusaidiwa na Mimi angekuwa mtu mwingine ameshashindwa zamani sana, mtu anamshindwa mwanaye wa kumzaa nini mtu baki kuwa makini mwanangu. alishauri Mzee Mgaya.

Aliingia kwenye highway na kuongeza speed akielekea kwa Tausi, ambako waliwakuta Tausi na dada yake aitwaye Latifa wamejaa tele, kabla ya kushuka Mzee Mgaya alimgeukia Samson Kisha akacheka kidogo.

Unamuona huyu mgeni nadhani uliwahi kumuona kule nyumbani, huyu anaitwa Latifa ni wanawake ambao ndoa zimewashinda na hawana cha kufanya mjini, mwisho wa siku kuja kuongeza bajeti kama hivi,hawana kazi mama yako mdogo Tausi naye biashara zimemshinda Kila jambo ukilianzisha yeye ni mtu wa kufeli tu. mwanangu hakuna mwanaume anayesifiwa kwa ushababi wa kupigana, au uzuri wake kwa Dunia ya Sasa hivi, watu wanataka sehemu yenye nuru, ulipo mzoga ndipo hukusanyika Tai, pesa kwanza. Kisha utapendwa na watu wote, Mimi na uzee huu Kuna sehemu nikipita siitwi Mzee, hata nikiwaelekeza kuwa Mimi ni sawa na baba zenu, wanabisha wakidai niliwahi kuzaa hivyo isiwe sababu. Zingatia masomo, zingatia future yako mengine yapo tu najua unalewaga sana ukiambiwa wewe handsome hayo Yana mwisho. aliongea Mzee Mgaya Kisha wakashuka.

Halafu Mzee Mgaya huwa sikuelewi kabisa , nimefungua geti umeingia ndani lakini takribani dakika tano hushuki huwa unamchora nani, na hii tabia unayo siku nyingi sana, huwa nakushangaa sana. alilaumu Tausi huku wakikumbatiana na mumewe na kuingia ndani.

Latifa au dada yake Tausi walibaki na Samson nje wakipiga stori huku yule Latifa akionesha ni mnyonge hata akicheka alikuwa akijilazimisha tu, Mzee Mgaya alitoka nje akiwa na begi fulani akaweka kwenye siti za nyuma ya gari Kisha akamgeukia latifa.

Shemeji usione kimya Mimi mumeo nimeongea naye na Kila kitu kitakaa sawa, alikuwa mgumu lakini kanielewa Mimi ni kama mzazi wake hivyo hakubisha ninachomwambia.kuna mambo ambayo yanaweza kupelekea kumpa talaka mke ,kama mtu kuzaa nje ya ndoa,fumanizi na mengine lakini kosa lako wewe dogo na ulishakiri Sasa sioni sababu ya yeye kutokukuelewa.
aliongea Mzee Mgaya huku Samson asijue kinachoongelewa

Sawa shemeji kwanza nashukuru kunipigania naamini muda wowote atakuja kunichukua. alijibu Latifa akionesha kafurahi na kuchangamka sana tofauti na mwanzo.

Mzee Mgaya na Samson walipanda gari na kuondoka huku Mzee Mgaya akimuaga mkewe Tausi kuwa anaingia mjini ila atarudi.

Wakiwa kwenye gari Samson aliuliza..

Baba kwani yule mamdogo Latifa ana matatizo gani?

Mmmmh mwanangu najua vitu vingine kukwambia nitakuwa kama nakutukana lakini haina jinsi lazima nikwambie kwani ni njia ya kujifunza kupitia kwa wengine pia,

Yule Latifa ana mumewe ambaye yupo nje ya mji huu japo si mbali kwani hata kazi anafanyia huku na anarudi nyumbani, inavyoonesha Hawa Wana asili ya kiburi sana kama ilivyo kwa mama yako mdogo Tausi, Sasa kwa Dini ya Hawa wenzetu, huwa ni rahisi mume kutoa talaka pale anapohisi anafanyiwa vitu ambavyo hawapaswi kufanyiana wenye ndoa, yapo mengi ambayo hayaelezeki.
Ila kwasasa nadhani mke wake kajifunza anahitaji kurudi kwa mumewe na na jamaa hataki lakini Mimi nimeshaongea naye kanielewa nadhani atakuja kumchukua siku ya jumatatu. alijibu Kwa kifupi mzee Mgaya huku akimshusha Samson na yeye kuendelea na mishe zake.

Samson aliingia ndani akakuta lunch ipo tayari akapiga , kisha akaanza uchokozi wake kwa aunt ambaye alikuwa akifumua nywele zake pale barazani.

Kwani Rahma yuko wapi, aliuliza Samson.

Amelala,
alijibu Kwa kifupi yule Aunt au Sarah kwa jina lingine.

Sawa ila Sarah wewe ni mwanamke unayevutia sana , juu ya kunionya nisikuite hivyo ila sina namna nyingine ya kufanya, tafadhali naomba kwa moyo wa kibinadamu na wenye huruma, unielewe juu ya maumivu nayopitia , ni siku nyingi zimepita tangu ufike umekuwa unaninyima raha huku nikijuta kufahamiana na wewe, ni Bora hata usingekuja kwani unazidi kuniongezea mateso tu moyoni mwangu. Na pia samahani sana kama nitakuwa nimekukwaza . najikuta sijiwezi kabisa kwako.aliweka kituo Sam.

(Sarah akacheka sana tu)
Kwanza huna haja ya kuniomba msamaha kwakuwa hujakosea kitu chochote, wewe kiufupi unanipenda sana si ndiyo. aliuliza Sarah.

Samson akatingisha kichwa kukubaliana huku akitabasamu kwa furaha mno.

Sawa, hata Mimi nakupenda sana,kwanza wewe ni mzuri na sura yako ya kike hiyo, hakika ni mzuri lakini pia nawezaje kuthibitisha kama unanipenda? , familia nzima nawapenda na ndiyo maana Niko hapa, lakini kubwa zaidi ni wewe kuwa hujiwezi kwangu yaani unanipenda kuliko wote kwenye hii familia hii Sasa unaonaje ukaandika kwenye karatasi kuthibitisha kama unanipenda, alishauri Sarah

Samson akakurupuka kuingia ndani kwake na kuleta kikaratasi chenye sentensi mbili huku maandishi yake yakisomeka vizuri sana, Kisha akamkabidhi Sarah.kisha wakakumbatiana, Samson asijue ule ni mtego

Nadhani dada mama Kulwa akirudi nitamweleza kuwa unanipenda sana. aliongea Sarah kisha akainuka na kwenda usawa wa jikoni kuangalia vitu vyake.

Sasa Aunt sikiliza unamwambiaje mama mambo yetu? Eeeh Mimi nimekwambia wewe tuongee wawili..
Samson aliingia jikoni akimfuata yule Sarah.

Sasa huku unafuata nini Samson {huku akionesha anacheka kwa dharau}unajua mtu akikupenda kupitiliza na hajiwezi anaweza kukusababishia kesi ya mauaji?
(murder case)unaweza kunywa sumu, kujinyonga na sababu zozote zitakazopelekea kuondoa uhai wake Sasa ni vyema familia ijue ili siku ukifa Mimi niwe mikono salama. Sarah alikuwa jeuri haswa.

Tafadhali kama hutaki kuwa na Mimi usimwambie mama wala yeyote mambo haya , yaani tuachane na hizi habari. aliongea Kwa uoga Sam.

Sawa kama hutaki nimwambie mama, utafanya kazi zangu nitakazokwambia, kwanza Yale maua kule nyuma si huwa unayamwagilia kwa kufunga mpira kwenye bomba, Sasa nataka usifunge mpira nataka uwe unachota na ndoo Kisha unamwagilia. aliongeza Sarah.

Sasa aunty mbali kote kule nitarudia mara ngapi unadhani hadi maua yalioane tafadhali usinifanyie hivyo bwana, alilalamika Samson.

Mimi sijui Tena ni Bora kazi uianze mapema maana wakikukuta unamwagilia kwa kutumia ndoo wakati mpira upo utawaeleza sababu ni nini?na Mimi sitaki ufunge mpira Kwa kufanya hivyo nakuja kumwambia mama Kulwa uliyoniambia, na kama unahidi utanikataa karatasi yako ninayo.
Sarah alipigilia msumari

Samson hakuwa na namna, kumwagilia maua jioni ile huwa ni kazi yake lakini huwa ni rahisi tofauti na njia ya siku hiyo, aliianza kazi huku akimwangalia Aunt Kwa huruma lakini hakukuwa na unafuu.

Itaendelea............
 
Duu sex emotions sure huwa zinaendesha watu. Yaani mie Niko primary nikipita hapo watt wa mwanza seko chuchu zimesimama jua Kali mie dikson anasimama wima na Niko na kazi za kuvuja jasho. Nikifika home nasali niende boarding single sex na Mungu alikubali ombi langu.

Yaani Ni mbaya mno Tena ukiwa unawaoana tamaa inawaka zaidi yaani Bora uwe na njaa halafu usione chakula.

Mwanaume mfano Kama upo serious kwenye your craft mastery like Mayweather,Michael Jordan,elon musk,Jeff Benzos,yaani during designing stage,kabla hujaumba kitu huwezi ukawa karibu na mwanamke ukafanikisha labda awe anakupenda upendo Kama wa mama yako kwako ili utumike Kama driving force Ila otherwise you can't reach stages za akina Anord Shwaznegger.

Control your Dickson you control your future.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom