Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

SEHEMU YA THEMANINI

Siku inayofuata Samson aliamka mapema sana akijiandaa kwenda shule huku akiwa na shauku ya kutaka kujua dada yake Glory atampa feedback gani kwenye mitihani yake.

Alitoka nje akaangaza macho yake lakini hakuona mtu tofauti na Rahma. Ikabidi aulize,

Vipi Da Glory yuko wapi?
Samson alimuuliza Rahma.

Haaaaah hiyo ndiyo salaam Sam, salimia basi wewe vipi? alilaumu Rahma.

Kutokana na majibu Yale Samson hakutaka kusubiri alifungua geti na kutoka nje akielekea shuleni kwao, ambapo alikuwa mmoja wa wanafunzi waliowahi sana siku hiyo huku baadhi ya wanafunzi wenzake wakishangaa Samson kuwahi shule haikuwa kawaida yake, alikuwa mchelewaji licha ya kuishi karibu kabisa na shule.

Masomo yaliendelea kama kawaida huku baadhi ya wanafunzi wakiongeza bidii zaidi haswa kipindi kile ambacho mitihani ya muhula wa pili ilikuwa ikikaribia, hata wale wanafunzi watoro walianza kuwa watiifu bila kushurutishwa, jambo la kufurahisha zaidi ni pale wanafunzi walipojikeep bize hata kama walimu hawapo tofauti na shule nyingi za kayumba zilivyo.

Kundi la Samson lilionekana kama mfano wa kuigwa kwani lilikuwa na wale Smarter tu, huku Kila mwanafunzi akitamani angekuwa nao kwani lilikuwa ni serious group na pia likiongoza kwa ubabe wa kupiga wenzao.

Samson alikuwa kimya akimsikiliza mwanafunzi mwenzao aliyekuwa alifafanua Topic fulani huku wanafunzi wote wakiwa kimya wakimsikiliza kwa umakini.Samson aliguswa mgongoni, akageuka akashangaa kumuona mwanafunzi mwenzao aitwaye Zena.

Vipi wewe mbona unakuja kimya kimya unataka nini, aliuliza Samson.

Zena akatoa kikaratasi fulani kilichokuwa na swali ambalo Zena alihitaji kusaidiwa,

Naomba utusaidie hili swali maana pale kwenye kundi letu wote tumechemka, alijibu Zena.

Samson aliliangalia lile swali likawa gumu kwake, ila akavunga kama Hana muda vile ikabidi arudishe lile karatasi.

Sorry tupo busy kidogo nitakusaidia baadaye niache kwanza basi. alijibu Kwa mikato Samson huku akigeukia kuendelea na discussion.

Wewe Samson mbona unajifanya una akili sana hapa darasani, yaani kunisaidia jambo dogo tu, eti mpaka baadaye kwanza sijui unajionaje wewe
si umetoka kwenu kijijini miaka mitatu tu iliyopita ulikuwa mshamba Sweta halikutoki hata nyakati za mchana unalo tu ujanja wenyewe tumekufundisha wenyewe hapa mjini kwanza sihitaji tena msaada wako.
aliongea Zena msichana mkorofi wa darasa lile ambaye alikuwa mjanja kupitiliza huku akiwa haogopi chochote wala yeyote.

Samson aliumia sana kuona anasemwa na yule msichana huku akiwa hana kosa, kilichompa hasira zaidi ni pale wanafunzi walipocheka jinsi Zena anavyomuita Samson mshamba, akainuka na kwenda kumchapa zena huku wanafunzi wote wakiogopa kumshika Samson kwani hata umri wake ulikuwa mkubwa tofauti na wenzake.

Zena aliinuka na kukimbilia ofisi ya walimu, ambapo alikaa zaidi ya dakika kumi huku Samson akiwa na mawazo kiasi akiwa anaanza kujutia maamuzi aliyoyafanya akiona huu ni msala. sauti za chinichini kwa baadhi ya wanafunzi zilisikika,
Wapo waliomlaumu Samson kwa maamuzi yake, na wapo waliomlaumu Zena kwa kitendo cha kwenda kwenye meza ya mtu mwingine na kuanza uchokozi.

Baadaye Samson alishuhudia walimu kama watano akiwemo mwalimu Sadick wakiwa na Zena wakija darasani kwake, mapigo ya moyo yaliongezeka akijua hali ya hewa imeshachafuka.

Eenhee Samson Elias Mgaya njoo mbele, wewe ni mmoja wa wanafunzi wachache wenye maadili mabaya na tabia zisizovumilika, kwanini Kila siku uwe wewe?
Ni malezi gani unayopewa na wazazi wako, au uliambiwa hii shule ndugu zako Wana hisa nayo?
mwalimu Sadick ambaye alikuwa na bifu na familia ya Samson aliongea maneno yale huku Samson alianza kushushiwa kipigo mithili ya mwizi au kibaka, Kila mwalimu aliweza kumaliza hasira zake kwa Samson huku akiwa hapewi hata nafasi ya kujitetea huku Kila mwalimu akihisi si rahisi Zena kumchokoza Samson kwa vyovyote vile Samson ndiye mwenye matatizo. alipigwa , akapigika na kupigwa tena, huku kukiwa hakuna yeyote aliyejitokeza kumtetea Samson, wala kundi la Samson hakuna aliyethubutu kumjali Samson.
Alipigwa na kugaragazwa huku akichaniwa na Shati lake na mwalimu Sadick ambaye alionesha kuchoshwa
na tabia za Samson .

Walimu walitukana matusi ya nguoni,
Na kumkatisha zaidi Samson kuwa kwa tabia zake asitegemee kupata alama na daraja la juu, huku mwalimu Sadick akipigilia msumari kuwa atahakikisha Samson anafelishwa kwa makusudi.
Samson akiwa kavimba mwili wake alirudi mwisho kabisa, back bencher akajiinamia na kulia sana tena kilio cha kwikwi siyo kwa kipigo alichopewa, bali alijiona hana kosa alilolifanya na hapa ndipo palipomuumiza zaidi.
Sauti za wanafunzi zikionesha kumlaumu zaidi Zena ziliendelea kutawala huku Zena akiwa hajibu chochote.

Madam Silvia aliingia huku akiwa na vitabu vyake vya somo la Jiografia, huku msimu ule majaribio yakiwa mengi, labda kila mwalimu akiwa anawapima wanafunzi kwenye somo lake.

Huyo ni nani mimi naingia yeye kainama tena analala, ni adabu gani hiyo, aliongea madam S akiwa anamsogelea Samson ambaye macho yake yalikuwa mekundu kwa kilio.

Hey jamani huyu kapatwa na nini tena, huyu naye sijui ana matatizo gani, au ndiyo huyu niliyemsikia ofisini walimu wakimsemaaaa, eti umekosea jambo lipi tena mdogo wangu. aliuliza Madam Silvia

Samson alijieleza mwanzo hadi mwisho, huku akiwa analia bado. Madam hakusema jambo lolote akaenda kwenye meza alipo Zena akimtaka naye ajieleze.
Lakini Zena hakuweza kuongea chochote badala yake akaanza kulia tu huku akimtaka Samson amsamehe.

Jamani, Ina maana ni kweli huyu Zena alimchokoza Samson siyo. aliuliza Madam Silvia.
Wanafunzi wote wakajibu kuwa ni kweli.

Madam hakusema neno aliendelea na Somo lake na mwisho kabisa akaacha test huku akimpa pole Samson.

Samson mdogo wangu, kumbuka kumuomba MUNGU Kila mara , Kuna vitu huwa havitokei kwa bahati mbaya, ukiona hivyo Kuna sehemu unadaiwa, kumbuka imeandikwa kumcha MUNGU ni chanzo cha maarifa ,sijaona sababu ya kumpiga mtu licha ya yeye kuwa mchokozi, usipende kuruhusu udhaifu wa hasira zako hadharani, na hii ni kwa wanafunzi wote , haya Leo yamempata Samson kesho yatampata mwingine.
Lakini pia mnapaswa kutambua kuwa mmekuja shuleni hapa ,huku jukumu la kuwafundusheni likiwa ni la sisi walimu, Sasa kwanini mtu uanze kumsumbua mwanafunzi mwenzie Tena ukimtukana kisa tu hajataka kukusaidia si jambo zuri mjue.
Tukiachana na hayo test yangu naitaka leo leo kwaajili ya masahihisho. Baada ya kusema yale madam S aliondoka.

**************************************
Samson alirudi nyumbani na kumkuta mzee Mgaya pekee, akasalimia.

Vipi wewe mbona Shati lipo hivyo imekuwaje aliuliza Mzee Mgaya kwa mshangao.

Samson alijibu Kwa kuficha akadai kapata ajali tu ya kawaida , aliamua kuficha kwa kuogopa matatizo kwani kwa kueleza ukweli familia yake ingeanza kumshambulia kwani alitambua namna walivyokosa Imani naye.

Haya sawa ila kuwa na tahadhari huko barabarani maana unaweza kupata kilema kikubwa au hata kupoteza maisha, alishauri Mzee Mgaya akiwa Kaamini uongo wa Samson.

Halafu pia mama yako na wengine wote hawapo hapa, wameekelea mjini, si unamjua tena mama yako alivyo na sifa nadhani anaenda kumuonesha Binti yake miradi aliyoianzisha.tangu asubuhi hawapo hapa na wewe inabidi upike Chakula sihitaji kuona unanunua mgahawani sijui wapi haipendezi kununua chakula ikiwa vitu vya kupika vipo. na Mimi natoka kidogo naelekea saiti hivyo usitoke. mzee Mgaya alisisitiza Kisha akaondoka.

Samson alijiandalia Chakula chake Kisha kikiwa kinanuka Moshi, akala hivyohivyo huku kilichobaki akimwaga kwani alijua kwa pishi lile baya akiliona mama Kulwa atamsimanga mpaka basi. akiwa anaosha sufuria aliyounguza kwa kutojua kupika, alisikia geti likigongwa akawa anajiuliza ni nani kwani angekuwa mama Kulwa au Mzee Mgaya wangepiga honi.

Akafungua geti, uso kwa uso akakutana na mwanafunzi mwenzake Zena, classmate aliyetoka kukwaruzana siku ile huku akimsababishia maumivu.

Unataka nini wewe hapa? aliuliza Samson.

Samahani, tena samahani sana Samson, nimekukosea nimejisikia vibaya namna walimu walivyochangia kukuadhibu , moyo wangu umeniuma sana , najikuta mwenye hatia kwako Sam, tafadhali nisamehe sitarudia tena. aliongea Kwa upole Zena akiwa kainamia chini kwa aibu.

Samson alimwangalia Zena akagundua Zena akiwa kwenye mavazi ya nyumbani anavutia zaidi, gauni lake na viatu vyake vya wazi na sura yake ya chocolate isiyokuwa na chembe ya chunusi ikimvutia Samson , akaona hapa hapa kwasababu hivihivi asingemuweza Zena. Ambaye alikuwa na sura nzuri sana na yeye akijijua na ndiyo maana alikuwa na maringo na dharau kwa wengine.

Basi karibu ndani tuongee vizuri, Samson alimkaribisha mgeni wake, huku Zena akisita,
Kaka Sam jamani si tuongee hapa hapa ndani tena! Lakini hakuwa na namna aliingia ndani bila kupenda.

Wakawa wanatazamana tu hakuna aliyemuongelesha mwenzake, huku Samson akisahau maumivu yote na joto la ngono zembe likipanda.

Sasa sijajua kama umenielewa au lah, ninahitaji jibu lako maana nyumbani sikuaga na wazazi wangu ni wakali sana, hivyo naomba nijibu halafu niruhusu niende. aliongea Zena huku akiinuka.

Samson akaona nikifanya mchezo siwezi kulipa maumivu yangu, akamshika mkono Zena na kuingia naye chumbani kwake.

Licha ya Zena kupiga kelele lakini Samson alimtisha kuwa akifanya vile yeye atamfungia ndani na kuwasubiri wazazi wake kuwa yule aliyemsababishia kipigo ndiye yeye.
Zena hakuwa na namna akawa kama vile mbwa mbele ya chatu.
Akavuliwa nguo zote na kubaki mtupu huku Samson licha ya kufanya majaribio kadhaa , hakufanikiwa kwani Zena alibana mapaja vilivyo.

Lakini baadaye aligundua kuwa giza linaingia akakubali kuwa liwalo na liwe, akakubali kuletwa kwenye Dunia ya watu wazima, huku Samson akishindwa kutambua kuwa ni New product ambayo haikutumika popote kabla ,kilio cha kweli, machozi na matone ya damu vilimtisha Samson huku akihisi kama kafanya kitendo Cha kikatili akihisi kamchana mtoto wa watu,ikabidi asitishe zoezi lake akijutia kitendo kile.maana hakuenjoy kama kwa wengine.
hofu ilitanda huku akisikia honi kwa mbali ambapo alijua ni gari la mama yake,na alipochungulia nje kulikuwa na giza tayari kuashiria kunakuchwa.

Mama Kulwa na familia yake wanarudi, na Samson ana mgeni wake ambaye kaja kwaajili ya kuomba msamaha, itakuwaje? Usikose sehemu ijayo.

Itaendelea...........................
 
Huyu dogo mikosi kinyama,Bora angekuwa mpiga soap maisha yangesogea. Hata sijui msala atautatua vipi hapo. Halafu yeye hata haogopi kufanyia uchafu home. Ila Ni Kama baba yake mkubwa kumbuka alivyomalizana na headteacher kule kule kijijini wakati wa uhamisho wa samson
 
Alitakiwa amwambie waende ofisini akiri kuwa yeye ndiye akamchokoza Samson na sio kuwa Samson ndiye akamchokoza Zena.
Duu yaani haya majanga. Yaani ubongo wa kupenda anasa unazidi concious brain,yaani unakuwa overwhelmed by limbic brain
 
Samson jamani, sikio la kufa khaa
 
jaman huyu mtoto ptuuu
 
SEHEMU YA THEMANINI NA MOJA

Vaa harakaharaka wazazi wangu wanakuja husikii hiyo horn mfululizo?
aliongea Kwa sauti ya chini Samson.

Zena alivaa huku ile nguo ya ndani ikigeuka kama kitambaa cha kujifutia , wakatoka haraka haraka akimzungusha nyuma kabisa kwenye geti dogo ambalo huwa halifunguliwi, na tangu miaka yote aliyokaa hapo hajawahi kuona mtu akitokea wala kuingilia mlango ule, alivuta komeo kwa nguvu huku kutu ya muda mrefu ikimpa shida kidogo, lakini hatimaye Zena alitoka huku giza likisaidia asionekane na yeyote.

Samson alikuja kufungua geti kubwa huku gari likiingia, Kisha akafunga na kurudi.

Habari za muda huu mdogo wangu, upo sawa? Tumepata wasiwasi ujue. aliongea Glory Kwa lugha rafiki.

Wasiwasi gani mwanangu, huyu ni jeuri yaani ipo siku tutalala nje hapa ndani, loooh hebu sogea wee Sam, eenhee kwamba muda wote huo hukusikia honi ya gari? Jamani (huku akimgeukia mwanaye Glory)
Nisaidie mwanangu jaribu kumchukua huyu ukae naye kwanza huenda nikapumua, nyumba yangu , Kila kitu changu lakini nasibirishwa, kama nipo foleni kwenye huduma za umma kisa Nini? Mama Kulwa alilalamika huku akiacha gari likiunguruma na kuingia ndani.

Rahma hebu tuingie jikoni kama tulivyopanga si unajua tena mida imeenda , tusije kuchelewa tukatia aibu na wewe Samson njoo utusaidie kusogeza vitu vidogovidogo. aliongea Glory huku akionesha si mwenye hasira kama mama yake.

**************************************
Samson mdogo wangu, matokeo ya mitihani yako nimeiona, japo usiku wa Jana sikuweza kupitia kwani usingizi ulinichukua, hivyo asubuhi nikaicheki, kwanza nikupongeze kwa kujitahidi najua upo kwenye mazingira yasiyo rafiki sana, lakini bado unajifahidi sana, matokeo yako si mabaya, japo pia si mazuri baadhi ya masomo, halafu naona upo kwenye PCB my friend, aliongea Glory huku akigonga mkono na Samson. alifanya vile ili kumpa uhuru Samson asiwe anamuogopa sana.

Ni kweli nasoma hayo masomo na nayapenda sana, japo nilishawishiwa na wenzangu tu kuwa kwakuwa nayamudu basi naweza kuchukua masomo hayo, japo na mengine nayapenda. alifafanua Samson.

Kwani wewe Samson, umepanga kuwa nani baadaye, yaani ipi kazi ya ndoto yako. aliuliza Glory.

Kwakweli sijajua bado Dada, nadhani kadri ninavyosogea ndipo nitajua, ipi itakuwa kazi yenye kunifaa. alijibu Samson huku akifurahi namna Glory alivyo na ushauri mzuri.

Aiseee dogo usinichekeshe, hivi unawezaje kusafiri na kuifurahia safari huku Ukiwa hujui unapoenda?
Wakati wa kupanga kazi ya ndoto zako ni Sasa, hata kama mambo yatabadilika baadaye, lakini tayari una kitu ambacho unafocus nacho, yaani unasoma Ukiwa hujui utakuwa nani, mbona ni hatari sana, na ndiyo maana nimesikia una mambo ya kijinga kijinga, unajua kwanini, ni kwasababu huna unachokisimamia, kwa mfano ukiwa unavua baharini, unatosa na kutega nyavu, huku Ukiwa hujui ni samaki wa aina gani watanasa, lakini hapo hapo Kuna samaki ambao umewalenga kuwa kwa namna yeyote watakuja na kunasa , huku ukiongeza juhudi ya kutupa jarife, lakini unaweza Kuta ananasa samaki mkubwa na mwenye bei nzuri tofauti na ulivyodhani, kwahiyo na masomo ni hivyo hivyo, binafsi niliupenda udaktari tangu nikiwa na miaka nane tu, siyo kwakuwa mama alikuwa Daktari hapana, nilivutiwa kivingine kabisa.
Na aliyeni inspire ni mtu mwingine.
Je, wewe unataka kuwa nani?
Glory alimuuliza Samson.

Nataka kuwa mwanajeshi, kama baba mkubwa. alijibu shortcut Samson.

(Glory alicheka sana, akacheka kiasi cha kumshtua Samson)

Pole sana, inawezekana unamuiga Mzee wangu, lakini jua kabisa baba hakuwa na cheo kikubwa jeshini kwakuwa hakuwa msomi, nadhani Kuna mengi inabidi uyafanye ili kupanda rank, ila tuachane na habari za jeshi Sina utaalamu nazo, japo nahisi ni kazi ya kitumwa zaidi hasa kama huna Elimu wala ujuzi wowote.

So nakushauri Anza kutamani Engineering, kwasababu huko parts nyingi sana, maana hata Mimi ni engineer, si ni Daktari? Aliongea Glory huku akimwangalia Samson na kutabasamu.
Ningependa uwe mkemia, sijui kwanini, na sijui utakuwa mkemia wa nini, napenda uwe daktari, si lazima uwe wa binadamu kama Mimi, unaweza kuwa Daktari wa mimea au wanyama, nadhani hizo sehemu bado Zina wataalam wachache.
aliweka kituo Glory.

Walipiga stori kule jikoni huku Presha ya Samson ikishuka japo aliwaza kidogo maana ikiwa Zena atabanwa kwao kuwa alikuwa wapi anaweza kutaja na ikaleta matatizo Samson aliwaza kiasi.

Wakiwa mezani bado Glory aliendelea kucheka kutokana na kazi aliyoichagua Samson.

Mama leo naweza kuwa nimemaliza siku yangu vizuri, nimemuuliza Samson angependa kuwa nani baadaye, eti anapenda kuwa mwanajeshi hakika kanifurahisha sana. aliongea Glory huku akicheka zaidi.

Nani awe mwanajeshi, au anafikiri Kila mpumbavu anaweza kujiunga na jeshi, unajua rule namba moja Ukiwa huko, kule anahitajika mtu mwenye nidhamu,Sasa huyu mpuuzi na mambo yake si ataishia kufukuzwa tu, huyu amalize huu mwaka arudi nyumbani kwake kijijini akalime hakuna atakachokiweza huyu.
Mbona kilimo kinalipa sana tu, nasikia baadhi ya vijana Wana maisha mazuri tu kwasababu ya kilimo. Tena Sam kwakuwa kapitia shule kidogo, anaweza kulima ili morden agriculture na akafikia malengo. aliongea Kwa kejeli na kukatisha tamaa mama Kulwa.

Mamaa usiseme hivyo huyu tumpe moyo tu aweze kufikia malengo, mbona ana maendeleo mazuri tu my mom, hebu tumpe nafasi amalize O level then advance unaweza Kuta anabadilika huyu , anayoyafanya ni utoto na ujana tu, na mazingira yenyewe umeyaona Bora angesoma shule za gharama Zina malezi mazuri. Gloria aliongeza.

Wewe humjui Samson Mimi ndiye nakaa naye, na hakuna kipindi kaniudhi kama kumpa huyu Binti ujauzito hakika Kila nikimuona Sam nasikia kichefuchefu. mama Kulwa alizidi kupigilia msumari wa moto kwa Samson.

Ok sawa, ila Mimi Samson nakushauri zingatia masomo yako, au hutaki siku uje uitaarifu Dunia kuwa wachukue tahadhari, au hutaki kuja kudesign mipango miji na majengo?
au hutaki kutambua kina cha bahari na kutambua ni meli ipi inaweza kutia nanga? Glory aliongea huku akimwangalia Sam,
Dogo Engineering ni uwanja mpana sana, jitahidi kuchagua kile kitakachokufaa mapema.
mi nadhani ngoja nikaoge na pia sitarudi huku nitalala maana nimechoka sana. aliaga Glory.

Yaani Binti yangu ile wine uliyokunywa naona imekuchukua tayari maana unaongea sana leo si kawaida yako. Eti Samson awe injinia kivipi? Huyu huyu asiyejua nini kimemleta mjini, lakini nisiseme Sana maana kaniweza huyu mtoto, kuniletea ujauzito ndani mwangu kashinda tayari. aliongea mama Kulwa na kumfanya Samson ajisikie vibaya.

Samson akiwa chumbani aliwaza yale aliyoyaongea dada yake, akajikuta anahamasika fulani.
Mmmmh ngoja nitafanya kitu dada kasema huwezi kusafiri Ukiwa hujui wapi unaenda, ni kweli maana nasoma tu halafu sijui nasomea Nini sijui nimelenga nini, ngoja ni muda wa kuchagua kile nachopenda japo napenda sana kuwa mwanajeshi.lazima nitimize ndoto zangu
Alijisemea Samson.

Itaendelea.....................
 
Sam kanichosha kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom