Simulizi: Milango ya mafanikio

Simulizi: Milango ya mafanikio

Wacha na mm nianze kuingia kwenye arosto rasmi...,

moneytalk ulisema huku hupataki tena ety eeh[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Episode Mbili Mbona Ndio Makubaliano Saivi Imekua Moja
 
Mkuu Clkey napenda sana tuburudike pamoja kuhusu mwendelezo wa simulizi hii, lakini nawajibika sehemu nyingi, hivyo kujikuta nachoka sana na kukosa muda , ila kesho panapo majaliwa tutaamka na vipande viwili.
Kumbuka inahitaji utulivu kuandika ili angalau kuleta ladha kwa msomaji
Sawa Mkuu
Tusamehe tu ni vile utam unazidi
Na utuvumilie tu
Pole pia
 
Episode Mbili Mbona Ndio Makubaliano Saivi Imekua Moja
Hata zingekuja tatu bado tu Nina imani ungetafuta kitu ukakosoa ama kulalamika ,yaani bana Ni nature of our mind to seek negative according how/where we evolved from.
Anapenda Sasa unajua anayopitia
 
Ungefanya mipango Mkuu leooo
Mimi ni shabiki na mwanachama wa Young African hivyo nipo busy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji169][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172][emoji172]
 
Kiruuuuu eheee basi leo kapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom