latino chopa
Member
- Oct 19, 2016
- 60
- 32
Mm natumia euro truck simulator 2 v1.3.1 nmetafuta sana ynUmatuma version gani mkuu.. Mbona ipo.. Ukienda kwenye settings then chagua gameplay scrow hadi kwenye truck settings kuna sehem imeandikwa truck speed limiter uncheck hiyo..
Volvo inaenda mpaka 750Ukienda kwenye settings then gameplay kama skosei kuna sehem ya ku uncheck automatic speed limit something like that.. Hii huwa inalimit gari automatic kwenye speed limit ya eneo husika.. Yaani kama limit ni 30mph gari automatic linarudi kwenye speed hiyo hata ukanyage vipi sanasana itaongezeka kidogo sana na gari inakuwa nzito.. Ukitoa hiyo gari inakuwa free kutembea speed kulingana na uwezo wa gari lenyewe.. Ila nakushauri pia tumia gari zenye horse power kubwa kama volvo..kuna volvo moja ukiupgrade inaenda mpka hp 700 nadhani.. So linakuwa na nguvu balaa na kwenye tambarare ni control yako tu..
Daah pw ase hyo latest version maximum ina gb ngpDuh.. V 1.3 ni ya zamani sana.. Kuna vingi sana vimebadilika hito hata mi skumbuki settings zake zinakuaje.. Tafuta latest kidogo kuanzia v1. 22. Hivi na kuendelea ndo utafaidi... Hiyo iko nyuma sana manake saiz tupo v1. 25 mkuu..
Sasa mm nikipata kama hlo volvo si ntauwa maana mm huwa sipunguz speed mzee hata niki overtakeVolvo inaenda mpaka 750
American truck simulator sjaitumia sana ila kwenye euro truck simulator kuna map nyingi sana.. Mi naipenda moja tu yenye part of african countries (north africa) humo kuna barabara kama za bongo tu.. Kuna sehem nyingine ukiwa na gari haina nguvu hupandishi na mzigo wako..kwenye American truck simulator 2, map ipi ipo powaaa maana mi natumia ile map ya kawaida na viva Mexican v1.9 ila nimezicheza hadi zinachosha nataka map mpya, garage nyingi
Euro truck simulator, ilinishinda safari zake zinachukua muda sana kuisha hata uende speed vip, mfano km 1800 unaeza utumie hata dakika 45 tofaut na American truck speed ndo inadetermine finishing timeAmerican truck simulator sjaitumia sana ila kwenye euro truck simulator kuna map nyingi sana.. Mi naipenda moja tu yenye part of african countries (north africa) humo kuna barabara kama za bongo tu.. Kuna sehem nyingine ukiwa na gari haina nguvu hupandishi na mzigo wako..
Duh.. Kweli tunatofautiana.. Mi naona kawaida tu..sanasana inategemea na speed yako pia.. Na mimi huwa napenda haswa safari ndefu sanasana from casablanca hadi miji ya libya huko..Euro truck simulator, ilinishinda safari zake zinachukua muda sana kuisha hata uende speed vip, mfano km 1800 unaeza utumie hata dakika 45 tofaut na American truck speed ndo inadetermine finishing time
yaaan mkuu ungekuwa umecheza na American truck kwa muda mrefu ungenielewa ninachosema yaan mfano, mi nikiwa na job ya 2500kms kwa American truck na wewe ukawa na 2500kms Euro truck let say mi niende maximum 150km/h wewe hata uende 168km/hr mi ntawahi kufika kabla yako, American truck inacount kms kama seconds hvDuh.. Kweli tunatofautiana.. Mi naona kawaida tu..sanasana inategemea na speed yako pia.. Na mimi huwa napenda haswa safari ndefu sanasana from casablanca hadi miji ya libya huko..
Mimi ninayo ina gb2.63 ambayo ni latest kabisa. Version 1.25.2.6sDaah pw ase hyo latest version maximum ina gb ngp
Upo wp ndugu ase nna shida nayo hyoMimi ninayo ina gb2.63 ambayo ni latest kabisa. Version 1.25.2.6s
Nipo dar.. kimaraUpo wp ndugu ase nna shida nayo hyo
Dah ok pw ntakutafuta sku nikija saiv npo ifakara moroNipo dar.. kimara
Pes 17 kama unabando ingia kwa torrent mkuu.. Site ya skidrowreloaded wanayo huko..Natafuta pes17 wakuuu
Safi sana lkn inge adapt barabara za kwetu badala ya kutumia LHD.