MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,073
mwambie ampe haki yake
whaaaaat??? kwamba unakubaliana na hili
mwambie ampe haki yake
whaaaaat??? kwamba unakubaliana na hili
weh weh weh weh weh weh!!!!!!! khe eee!!!!!!
Kwan lina ubaya?
utazeeka naww yanaweza kukutokea haya
Excuse me!!!! kwamba nikizeeka ndio nifanye hivyo???? mungu kaa upande wangu huyo bibi nanyooka nae mbona akaaa.... kwaio na wew unataka kunambia ungemtifua???
Bibi majanga bibi nuksi bibi sijampenda kabisaaaa maneno machafu kabisa hapo nahama nyumba kabisaaaa maana anaweza kumuwekea hata dawa mchumba wangu akaaaa nani anataka kushea na wabibi mmxiuu kanikera mchafuzi kabisa huyo........
Ningetatua mpk marinda.
Daaah....ivi ni kweli au matani???utani mwingine sio jama
Nataka tu kumsitiri bibi wa watu..si unajua..Mmmh...ni genye au????hadi vibib?
whaat!!!!