Simuelewi huyu baba ana maana gani

Simuelewi huyu baba ana maana gani

Yaan anaanza kukusalimia na anaulizia mambo kibao, mara chuo na anaweza hata akakuuliza swali linaloendana na faculty yangu cos kazi anayofanya inaendana na mchepuo wangu pia, so nashndwaga kum reject katika salam that's why inakuwa ya muda mrefu

Kwahiyo anapoanza salamu zake, we unaelekeza macho yako kwenye saa kunote muda?

how old are you my girl/boy??
 
Habari zenu wana JF, let me go straight to the point..huyu baba ni mtu mzima ambae sikatai alikuwa ananisaidia usafiri kipindi nikiwa naelekea chuo ambako nae ofisi zake zipo huko, ukiwa ndan ya gari yake anapenda sana kugusia kuhusu masomo, maisha, na kujichunga ukiwa kama kijana kuhusiana na mahusiano.
Sasa cha kushangaza hapendi kuniona hata nikiwa nasalimiana na vijana wenzangu ambao tumekuwa nao tangu utotoni, I mean tuliochezea nao vifuu na kidali poo since we were young..tukikutana njiani bahati mbaya au nzuri nikiwa peke yangu au nikiwa na wa jinsia yangu anasimamisha gari ananisalimia kwa bashasha hata kwa dakika 30.
Ila kama kawaida akiniona na jinsia tofauti atanipita kama hanijui na atanikasirikia hata siku nyingine akiniona niko peke yangu!..ila baada ya muda anakuwa tu kama kawaida..mi naamua tu kumchunia vipi uamuzi huu uko sahihi au ntakuwa nakosea wana JF?
Nisaidieni Nawasilisha.

Kama unaona anaendelea kuchelewa kuelezea dhamira yake kwako... Wewe mfungukie kuwa umemzimia.. Soon utashangaa maoffer mengi yanavyokudondokea mpaka utawaona marioo hawana deal
 
una tatizo gani? Chuo gani hicho wasoma,kina mwanafunzi kama wewe ambaye hujui una nini hapo kati ya mapaja.?
atakuwa kilaza wa kule kwa wag..go
 
unakuwa kama toto dogo na wewe, hujui kuwa huyo mbaba anakutaka
 
hivi mafataki wamerudi tenaaaa kwa lift sasa
 
Usiseme hivyo, ingekuwa hivyo wala nisingeleta huu uzi hapa na kuwapotezea muda wenu kuusoma, am comfused that's why
Confused kwani huyo baba yako? Au ndo unataka kutuambia wewe huwezi kufanya maamuzi yenye busara? Emu kuwa na uache kuomba lift.At your age bado unaomba lift....dogo chunga ridhika na hicho ulicho nachoooo oohh haya hicho unacho soma angalia usije kukisikia kwenye bombaaa
 
Back
Top Bottom