Wanajuana hawa
hata mi nlitaka kuuliza hapa
Yaan anaanza kukusalimia na anaulizia mambo kibao, mara chuo na anaweza hata akakuuliza swali linaloendana na faculty yangu cos kazi anayofanya inaendana na mchepuo wangu pia, so nashndwaga kum reject katika salam that's why inakuwa ya muda mrefuHiyo salamu ya dakika 30 ni salamu ya aina gani!
Wala hakuna cha ziada zaidi ya huo uzi nilioweka, Sina uhusiano nae wa kimapenzi Zaidi ya lift tu na namuheshim sana..ila tatzo ndio hilo anakuwa anamind anavyoniona naongea hivi njian au nasalimiana na wanaume wa mtaani ndio hapo nahitaji ushauri nami nimpotezee tu au VIPHapa kuna kitu wewe na huyo mzee, ila unashindwa kumwaga mambo yote hadharani unatuwekea nusu nusu, ila watu wa kuelewa tushajua kinachoendelea
Usiseme hivyo, ingekuwa hivyo wala nisingeleta huu uzi hapa na kuwapotezea muda wenu kuusoma, am comfused that's whyWanajuana hawa
Pale kwenye uzi nimeuliza kama ni sawa kumchunia tu au vipiWhy na wewe unajiuliza uliza if its right kumchumia kama issue ni lift tu...? au kuna kitu husemi hapa?
Yaan anaanza kukusalimia na anaulizia mambo kibao, mara chuo na anaweza hata akakuuliza swali linaloendana na faculty yangu cos kazi anayofanya inaendana na mchepuo wangu pia, so nashndwaga kum reject katika salam that's why inakuwa ya muda mrefu
Ndo maana nipo hapa nipate mawazo tofauti then nijue jinsi ya kumuepuka sasa, kama ananitaka imekula kwake..am not that kind of girl aseemmmh!!! sa ndo atoe bila kuombwa... anasubiri mzee afunguke
Pale kwenye uzi nimeuliza kama ni sawa kumchunia tu au vipi
Hiyo salamu ya dakika 30 ni salamu ya aina gani!
VP unaonaje nianze kumuepuka kabisa hata asinione au? Maana yasije yakawa mengine au unaonaje?lifti zimewaponza wenzako wengi sana
Ndo maana nipo hapa nipate mawazo tofauti then nijue jinsi ya kumuepuka sasa, kama ananitaka imekula kwake..am not that kind of girl asee
Ke ndugu yangu!!wewe ni me au ke!?