kipepeo mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 244
- 71
- Thread starter
- #41
Koma wewe! Kama wewe ni mchepuko au una michepuko usidhan kila m2 Ana tabia hiyohuu ni mchepuko wa mtu unatafuta kuhalalishwa hapa
Koma wewe! Kama wewe ni mchepuko au una michepuko usidhan kila m2 Ana tabia hiyohuu ni mchepuko wa mtu unatafuta kuhalalishwa hapa
Miss chaga, iko hivi sijawahi kumuomba pesa yake, hakuwahi kunipa na sikuwahi kufikiria hvyo namuheshimu tu kama baba yangu na there was and there is nothing between me and him zaidi ya lift tu..so mi ndo namshangaa sasa
Ndio ni kweli Miss strongLift zinawaponza mabinti wengine
Asante kwa ushauri wako ambao naona ni mzuri sanaMchunie uyo mtu mzima ovyo
Habari zenu wana JF, let me go straight to the point..huyu baba ni m2 mzima ambae sikatai alikuwa ananisaidia usafiri kipindi nikiwa naelekea chuo ambako nae ofisi zake zipo huko, ukiwa ndan ya gari yake anapenda sana kuhusia kuhusu masomo, maisha, na kujichunga ukiwa kama kijana kuhusiana na mahusiano. Sasa cha kushangaza hapendi kuniona hata nikiwa nasalimiana na vijana wenzangu ambao tumekuwa nao tangu utotoni, I mean tuliochezea nao vifuu na kidali poo since we were young..tukikutana njiani bahati mbaya au nzuri nikiwa peke yangu au nikiwa na wa jinsia yangu anasimamisha gari ananisalimia kwa bashasha hata kwa dakika 30..ila kama kawaida akiniona na jinsia tofauti atanipita kama hanijui na atanikasirikia hata siku nyingine akiniona niko peke yangu!..ila baada ya muda anakuwa tu kama kawaida..mi naamua tu kumchunia vipi uamuzi huu uko sahihi au ntakuwa nakosea wana JF? NisaidieniNawasilisha
VP unaonaje nianze kumuepuka kabisa hata asinione au? Maana yasije yakawa mengine au unaonaje?
Hahaha katoto haka bado kananukia maziwa ya mama
mmmh kama anakupa chapaa tulia tulia kidogo punguza hao vijana... jioni njema
sidhan kama kuna umuhimu sana wa kutaja chuo nilichosoma, ila Mimi sipo kama hvyo unavyonifikiria ndugu yangu Data
VP unaonaje nianze kumuepuka kabisa hata asinione au? Maana yasije yakawa mengine au unaonaje?
Yaan anaanza kukusalimia na anaulizia mambo kibao, mara chuo na anaweza hata akakuuliza swali linaloendana na faculty yangu cos kazi anayofanya inaendana na mchepuo wangu pia, so nashndwaga kum reject katika salam that's why inakuwa ya muda mrefu
Koma wewe! Kama wewe ni mchepuko au una michepuko usidhan kila m2 Ana tabia hiyo
sidhan kama kuna umuhimu sana wa kutaja chuo nilichosoma, ila Mimi sipo kama hvyo unavyonifikiria ndugu yangu Data
Hapa naona solution ni kumchunia tu, asije akaniletea matatizoKwel utu uzima huo ucjue tu huyo baba anataka nn kwko?wake up!kwan bila lift hufiki chuo?mchunie tu..