ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 23,582
- 56,805
5000 Tu watu wanakazwa balaa mixer michezo ya yas.mikopo vikoba imekuwa mingi sasa kwa kuwa kazi hawana wanaishia kuambukizwa ukimwi kwa Kasi ya ajabu.USAID toka asitishe hela hata kampeni za tacaids zimepungua na kuisha hii NI hatari Sana cheza salama ndugu zangu.