Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Tena kwa taarifa zako wasiopenda kushika simu za wenza wao ndiyo wa kwanza anapopata chance ya kuishika hukimbilia kuperuz haraka haraka ili asikutwe.Hilo ni kubwa, ila kuna muda inawezekana isiwe hivyo ila mtu kwa pressure ukatafsiri tofauti, sasa kuepukana na hayo ni bora kila mtu asishike cm ya mwenzie
Tuliozoea kushika ukikutana na jambo baya unauliza unaeleweshwa Na siku zote unaishi bila mashaka.
Najaribu kuyafasiri mahusiano ya wenza wasionyeshana hata umbea wa Insta kwenye simu. Maana nimezoea kuambiwa baba klaree chukua angalia hii picha. Sasa kama mmenyimana kushikiana simu ukiwa unaangalia hiyo picha si hauruhusiwi hata ku-scrow chini? Duuh poleni