Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Utawala wa Kikwete umezalisha watu wa aina mbalimbali wakiwemo wale wenye kutumia shilingi milioni 10 kwa ajili ya mboga na mabilioni kuitwa vijisenti ama fedha za ugoro.

Asante Prof. Kikwete kwa kuzalisha kizazi cha watumiaji, wajivuni na wasio na woga wowote katika ufujaji wa rasilimali za taifa letu.
 
faizaFox unaona unawatetea ubadhilifu wao kwa umma!!
MaCCM na genge la mafisadi, kwa nini asishitakiwe kwa ubadhilifu na matumizi mabaya ya ofisi??
 
Last edited by a moderator:
halafu ukimtoa ushungi wake ni shida! eti ushungi ni ibada, ni thawabu
 
Ni kweli kabisa hata ghadafi alikua muislam tena ni Halifa mwenyewe, mwisho wa siku watu wakala tigo afu Alisokomezwa vijiti matakoni na u Halifa wake, mnaogopeka sana nyie

Kua makini dogo!!
 

Attachments

  • 1428642187595.jpg
    1428642187595.jpg
    8 KB · Views: 536
25mil kwa Siku 20 tu! Tena mtandao mmoja tu. Mitandao mingine je? Kwa mwaka ni sh ngapi? Nadhani post hii ni ya kipropaganda zaid na kujaza chuki. Hata kama serikali ni ya ccm Jaman Kuna Auditors Kila Wizara ukiachana na CAG ambao wanafuatilia matumizi ya pesa zlzoelekezwa kwenye budget. Pia kuna kamat ya Bunge inayokagua kila Wizara kufuatilia matumizi ya pesa. Kwa hiyo wote hao hawakuliona hilo?! Ni wewe tu mtoa post?!
 
Mi kila siku natumiwa sms za dstv wakinitaka nilipie king'amuzi chao wakati sijui hata king'amuzi chao kinafananaje?
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

AIRTEL not TTCL au Posta na Simu
 
Huu ni uongo na umbeya wa Kibavicha/ Chadema kutoka MF on line...huihitaji akili nyingi kubaini kuwa habari hii ni ya uongo...! Nitamshangaa mtu mwenye utimamu wa akili kama atasoma habari hiyo yote na kuamini ni ya kweli.
Huu ni uongo mtupu.
 
E Mungu wakomboe Watanzania tuamke usingizini tupate kujikwamwua umaskini na kuwawajibisha wanaotimia kodi za walala hoi kwa maendeleo yao wenyewe.
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

Nadhani tuwe na nguvu ya kuhukumu tukithibitishiwa na pande zote tatu,nakuunga mkono mdau
 
KUNA mchwa ndani ya Serikali ya Rais Jakaya Kikwete. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Abdulrahman Ghasia (49), ni miongoni mwa wanaotafuna fedha za umma serikalini, mithili ya mchwa.


Anaripoti Mwandishi Maalum … (endelea).
Katika kipindi kisichozidi siku 52, Ghasia ametumia kiasi cha Sh. 25.8 milioni kwa matumizi yake ya simu ya mkononi, tena kupitia kampuni moja ya Airtel.
​

Taarifa hizi za waziri kutumia kiasi cha Sh. 25.8 milioni kwa matumizi ya simu moja ya mkononi, ndani ya muda usiofikia miezi miwili, zinafichuka katika kipindi ambacho serikali imekuwa ikitumia nguvu kukusanya michango kutoka kwa wananchi.


Michango mingi ambayo serikali imekuwa ikikusanya, ni ile ya maabara kwenye shule za kata, madawati, ununuzi wa vitabu, madaftari na ujenzi wa nyumba za walimu na madarasa.


Taarifa zinasema, katika maeneo mengi, maagizo ya serikali, yaliambatana na vitisho, huku baadhi ya walioshindwa kutoa michango hiyo wakifikishwa mahakamani na kufungwa.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya serikali na kampuni ya Aitel Tanzania Limited, waziri Ghasia ametumia mamilioni hayo ya shilingi kwa mawasiliano kati ya tarehe 1 Februari na 21 Machi mwaka huu.


“Kuna mambo ya ajabu sana ndani ya serikali hii. Taifa masikini kama hili, kuna viongozi wanaotumia kiasi cha Sh. 25 milioni kwa simu. Kwa kweli, umasikini tulionao ni wa kujitakia,” ameeleza Juma Said, mkaazi wa Kinondoni na mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii.


Nyaraka (Invoice) kutoka Aitel inamuonyesha Ghasia alipewa ankara ya malipo ya tarehe 1 Februri 2015, yenye Na. 29906000001374, ikielekeza serikali – Tamisemi – kulipa kwa kampuni hiyo, jumla ya Sh. 25,878,335.86.


Kwa mujibu wa nyaraka hizo, Ghasia amejitambulisha kuwa ni waziri wa Tamisemi. Anatumia anuani ya S.L.P 23, jijini Dar es Salaam; huku namba ya mteja – Customer Id – ikitajwa kuwa 1219937034.


Ghasia anatumia namba ya mlipa kodi (TIN) TIN: 100-961.520.


-----------Online linaweza kuripoti kuwa kila mwaka serikali inatumia mabilioni ya shilingi kwa njia za anasa, ikiwamo malipo ya simu, usafiri, nguo na fenicha za ndani, badala ya fedha hizo kuwekezwa kwenye maendeleo.

Hawana uchungu maana wenye magari ndio wanalipa mishahara na matumizi kama hayo kwa notifications ambazo sasa polisi ni wakusanya mapato badala ya TRA. Mungu atatuvusha salama safari ya kwenda Kaanan
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.


Naomba majini pls

swissme
 
ukitaka kujua kama habari hiyo ni ya kweli jikumbushe jinsi alivyokuwa anawatetea wezi wa fedha za Escrow
 
Airtel inatakiwa wamzawadie ist 2 moja kwa moja bila kumuingza kwenye droo
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

Dada angu hilo ndo linatumaliza...........hata wanaotukata makoromeo Bukoba wamekutwa na visu vikali vina damu...na wakataka kukimbia wakapigwa risasi...kwa hiyo utataka mtuhumiwa akwambie kuwa ni damu ya kuku au binadamu?
 
Ghasia anatumia namba ya mlipa kodi (TIN) TIN: 100-961.520.

TIN number belong to AIRTEL TANZANIA LIMITED

 
Hivi hana undugu na mather house mbona wamefanana na wametoka kijiji kimoja na yule ccm bana pale juu kuna mzunguko wa ndugu balaa wengine wakwe, wajomba, binamu, mme mwenza , shemeji ndio maana mambo vululuvululu.

kuna yule ndugu yake anajiita mkurugenzi Iramba yeye ndo mungu Mtu kule.
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

Kuna hoja inaonekana katika bandiko lako japokuwa invoice imeenda mbali sana bila sababu za msingi kabisa.
 
Back
Top Bottom