Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Kuna mawili, ama ni makosa, au namba yake iko tied to official usage za High speed Internet.

Watanzania hawajui kuwa dedicated line ya internet lets say 8Mbps ni milioni kadhaa, sasa sijui mama ana connection ya aina gani, lakini kama ni dedicated connection yenye speed ya kueleweka kwa sababu za kiofisi 25M ni kiasi cha kawaida.

Je, bibie anahitaji matumizi ya internet ya aina hiyo kw ashughuli za kiofisi?ndio na hapana. Ndio kama serikali yetu ingekuwa inatumia features kama HD teleconferencing, n.k,na wizara yake ingekuwa na hitaji hilo kimkakati. No, kwa maana ya kuwa haonekani wa kidijitali kivile, na Sidhani kama serikali yetu ina utilize vitu kama HD teleconferencing,Na hata kama inafanya hivyo, logical connection ingekuwa TTCL, kwani ni shirika la umma lenye connection kubwa kuliko mengi.

either way i smell errors kwenye hiyo invoice.
 
Tuwekeeni hiyo invoice.. VINGINEVYO tutajua ndo vileeeeee viwanda vya kutengeneza uongo kama alivo sema jk
 
Huyu mama ni mwizi sana halafu ni mchawi balaa hawezi kuguswa huyu ni Swaiba mkubwa wa mke wa namba moja ,
 
Only in Tanzania, 'Do not believe in any report or statement until it's officially denied'. Lets wait
 
Huyu mama ni mchawi sana survival yake ni waganga ndo mana amemkamata mpaka namba moja hafurukuti
 
Tuwekeeni hiyo invoice.. VINGINEVYO tutajua ndo vileeeeee viwanda vya kutengeneza uongo kama alivo sema jk

Wewe utakua ghasia mwenyewe invoice ya nini wakati mleta Uzi ametaja mpaka vocha namba huyu atakua Waziri kwa serikali hii legalege tuu kwa kiongozi makini huwezi kuwa na Waziri kama ghasia kwanza kichwani mweupe
 
Duuuhh.. Sasa Dada yangu,kweli kuomba 2wekewe invoice ushanipa uwaziri.
Sorry madam cfaham unafundisha somo gani. Kwa taaarifa ilivo kama kwa majungu imekidhi 100%..lakin kama tunataka kufahamu ukweli we need 1.to see such invoice
2.to hear something from ghasia
3.to hear something from airtell.
Ucku mwema Dada linda ndoa eeehhh
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

mkuu ikichukua line ya Airtel ukawa unatumia data tens kwrnye modern in majanga unaweza kutumia kiasi hicho.
 
Katika utawala wa Mkapa, mwinyi sikuwahigi kusikia ushikaji wa kupeana nyadhifa kiasi hiki,
hata watoto wao hawakuwahi kujulikana tena kwa mabaya kama hawa wa sasa!
Unacheza wewe.
 
Ndio maana sehemu zingine hakuna habari za posho na wala muhusika kupewa full autonomy ya matumizi kwenye gharama za serikari.

Utapewa simu na serikari au shirika kwa matumizi ya kazi zako lakini bill inaenda kwengine hili waangalie kama hupo na ethos zao au utapewa credit card utumie na expectations zao za ghrama unazoruhusiwa kuanzia mahala pa kulala, chakula na mengineo ambayo ni necessary sasa utumie usitumie kazi kwako lakini kuna mtu mwengine kabisa anayekagua risiti zikija kama huko sambamba nao kwenye matumizi na card imetumika sahihi.

Lakini hizi habari za kupeana autonomy kwenye kutumia vitu halafu bill inaenda kwa walipa kodi, kupeana posho za kusafiri na matumizi ndio chanzo cha matatizo kama haya na watu kusema hela ni ndogo za azitoshi.

Tungekuwa na utaratibu wa kusema viongozi wote wa umma kuanzia wabunge hadi kwenye taasisi zingine wapeleke risiti zao kwanza ndio walipwe au wanapewa kadi za matumizi or voucher za serikari na baadae serikari inalipa yenyewe walau ingepunguza tatizo. watu wanapewa hela au privilege ambazo azina kikomo na hakuna usimamizi wa kujua kama zimetumika kwa sababu sahihi matokeo yake ndio haya.

Where are the government ethos ilhali watanzania wengi wanaishi kwa kubaingaiza haya mambo kwakweli ni chaka la ufisadi tu, halafu ndio kwanza watu wenyewe wanadai hela za kujikwimu aziwatoshi wakati wakipewa hela wengi uishia kulala na kula kwa ndugu na jamaa huko walipo na wanapopewa fursa zisizo na mipaka ndio mambo kama haya.

Tatizo sio watu tatizo ni mifumo iliyopo sasa ambayo inabidi kubadilika.
 
Air tell kwa kubambikaaa bill...sometimes kwa kutojua kuna vitu kwenye simu Kama GPS etc usipo disable ....simu inakuwa charged full time na ukiwa roaming Ndio balaaaa ..........,Mimi pia ni Kati ya wateja wa post paid ambao taasisi yangu ...Ina mzozo wa bill .....,hizi Internet bundle Wakati tunapata kwa 30'000 kwa Mwezi Pre paid ....post paid wana kuchanga kwa dakika .....tena na hizi automatic downloads Tulizo subscribe ni balaa tena ....ni wizi mtupu.
Nadhani WANABAKI na wateja Kama Hao ambao bill ikija hakuna mwenye uchungu wa kuhoji Inalipwa tu ......Wakati ANAYETUMIa hapati value for money ...kwa dunia ya Sasa ....hata bill gate Hatakiwi kutumia Kiasi hicho Wakati free calls options kibao
 
Ndio maana sehemu zingine hakuna habari za posho na wala muhusika kupewa full autonomy ya matumizi kwenye gharama za serikari.

Utapewa simu na serikari au shirika kwa matumizi ya kazi zako lakini bill inaenda kwengine hili waangalie kama hupo na ethos zao au utapewa credit card utumie na expectations zao za ghrama unazoruhusiwa kuanzia mahala pa kulala, chakula na mengineo ambayo ni necessary sasa utumie usitumie kazi kwako lakini kuna mtu mwengine kabisa anayekagua risiti zikija kama huko sambamba nao kwenye matumizi na card imetumika sahihi.

Lakini hizi habari za kupeana autonomy kwenye kutumia vitu halafu bill inaenda kwa walipa kodi, kupeana posho za kusafiri na matumizi ndio chanzo cha matatizo kama haya na watu kusema hela ni ndogo za azitoshi.

Tungekuwa na utaratibu wa kusema viongozi wote wa umma kuanzia wabunge hadi kwenye taasisi zingine wapeleke risiti zao kwanza ndio walipwe au wanapewa kadi za matumizi or voucher za serikari na baadae serikari inalipa yenyewe walau ingepunguza tatizo. watu wanapewa hela au privilege ambazo azina kikomo na hakuna usimamizi wa kujua kama zimetumika kwa sababu sahihi matokeo yake ndio haya.

Where are the government ethos ilhali watanzania wengi wanaishi kwa kubaingaiza haya mambo kwakweli ni chaka la ufisadi tu, halafu ndio kwanza watu wenyewe wanadai hela za kujikwimu aziwatoshi wakati wakipewa hela wengi uishia kulala na kula kwa ndugu na jamaa huko walipo na wanapopewa fursa zisizo na mipaka ndio mambo kama haya.

Tatizo sio watu tatizo ni mifumo iliyopo sasa ambayo inabidi kubadilika.

Kuna waziri Belgium alifukuzwa kazi simple kwa kuwa auditor alikuta kwenye kadi yake ya huduma zinazolipiwa kwa STAHIKI yake ya uwaziri ie usafiri wa treni...simu etc ...alikuwa kwa kujisahau amelipia watoto wake manunuzi ...ikibidi ajiuzulu kwa kutumia vibaya pesa Za umma kwa mambo Binafsi .....kwenye pochi yake ilitakiwa awe makini kutoa kadi yake Binafsi kwa manunuzi Binafsi ...na kadi ya Serikali kwa manunuzi ambayo ni STAHIKI yake Kama waziri
 
Ohhhoooo, hapo nimekupa usomi. Haiingii akilini 25m kwa mwezi mmoja kwa line moja, hata awe si Muislam, bado sitoshutumu wala kuhukumu mpaka nisikie upande wa pili na wa tatu.

Hizo ndio zako,kuwatetea wa mlengo wako,hata pale alipokamatwa gaidi wa ki Zanzibar huko Kenya akitokea Chuo kikuu kimoja nchini Sudan,akielekea Somalia kujiunga na Al shabaab,ulimtetea kuwa huyo ni Mtanzania mwenye asili ya Kisomali alikuwa anaenda likizo Somalia.
Lakini kama angekuwa Anna au Maria hapohapo ungeanza kumponda.
 
Kuna waziri Belgium alifukuzwa kazi simple kwa kuwa auditor alikuta kwenye kadi yake ya huduma zinazolipiwa kwa STAHIKI yake ya uwaziri ie usafiri wa treni...simu etc ...alikuwa kwa kujisahau amelipia watoto wake manunuzi ...ikibidi ajiuzulu kwa kutumia vibaya pesa Za umma kwa mambo Binafsi .....kwenye pochi yake ilitakiwa awe makini kutoa kadi yake Binafsi kwa manunuzi Binafsi ...na kadi ya Serikali kwa manunuzi ambayo ni STAHIKI yake Kama waziri
Thats the idea na hadi kufukuzwa basi ujue itakuwa utetezi wake aukuridhisha wana disciplinary procedure zao kama alifukuzwa atakuwa alijaribu tu kama anaweza chomoka that's my take.

Tunapwaya sana kwenye kusimamia matumizi ya serikari considering 70% of budget inaenda huko saa zingine unaona kama tunawaowashutumu tunawaonea tu maana matumizi mabaya na ubadhirifu ni kila kona.
 
Hizo ndio zako,kuwatetea wa mlengo wako,hata pale alipokamatwa gaidi wa ki Zanzibar huko Kenya akitokea Chuo kikuu kimoja nchini Sudan,akielekea Somalia kujiunga na Al shabaab,ulimtetea kuwa huyo ni Mtanzania mwenye asili ya Kisomali alikuwa anaenda likizo Somalia.
Lakini kama angekuwa Anna au Maria hapohapo ungeanza kumponda.

Unajuwa Kiingereza gaidi ni terrorist, sasa kama kuna polisi halafu awe hawezi kum terrorize mwizi huyo atakuwa si Polisi.

Waislam ni makhalifa hapa duniani, mkituona mnatuogopa "we terrorize you", hivyo ndivyo anatakiwa khalifa awe. Lazima umuogope.
 
labda anajiunga na kifurushi cha kimataifa manake mumewe yupo india ubaloz wa tz
 
Back
Top Bottom