Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

JK anajua hilo au hajaambiwa, maana yule anayewaze maamuzi, kumpiga chini JK haoni shida
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

We ni kawaida yako kubishana

Hizo ndo hisia zinazotuangusha ktk nchi hii. Kila mtu kujidai ni mahakama, na kuanza kutoa sababu za kimahakama. Huyo FaizaFoxy anaanza kuleta hadithi za kimahakama, eti mpaka asikilize huku na huko. Hapa angeomba ushahidi wa kampuni tu, halafu ajiulize kwa nini yeye Hawa hajalalamika.

Alivyoelezwa huyu Faiza usishangae sana kama atatuambia kwamba anampa support Hawa kwa sababu tu ni muislam. Hilo ndo tatizo la Faiza na wale wenye brain kama yake. Nchi imekuwa ni ya kuunga mkono mwizi wa kabila langu, mwizi wa chama changu, mwizi wa dini yangu, mwizi ndugu yangu, n.k hata kama huo wizi wake hauna senti kwangu!

Kwa post zote hapa JF Faiza tatizo lake ni dini yake.
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

Wewe c walewale. Subiri tu
 
Sikiliza kijana, mimi si Pilato. Hata mtu ambae sijamsikiliza utetezi wake nimtundike msalabani.

Hilo ni lenu, watu wenye akili zao timamu huwapeleki huko.
 
Mama yangu Prof. Anna Tibaijuka aliposema kuwa 10,000,000/- ilikuwa pesa ya mboga nilistuka maana mimi mboga yangu kwa siku inaweza kuwa 2,000/- hivi hivyo kwa mwezi ni kama 60,000/- kwa ufahali kabisa.
Sasa huyu anakuja 25,878,335.86 kwenye simu tu wakati mimi nikiweka bandle ya 1,000/- kwa siku huwa hata dakika haziishi.
Tofauti ya Hawa Ghasia na Prof. Tibaijuka ni kuwa ya Ghasia inalipwa moja kwa moja na serikali (mlipa kodi) lakini ya mama yangu ilikuwa ni zawadi kutoka kwa kaka yake.
Naomba anayejua vigezo vya kuiita nchi a 'failed state' atuwekee hapa tuvijue zaidi lakini kwangu naona hiki ni kimojawapo!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Unajuwa Kiingereza gaidi ni terrorist, sasa kama kuna polisi halafu awe hawezi kum terrorize mwizi huyo atakuwa si Polisi.

Waislam ni makhalifa hapa duniani, mkituona mnatuogopa "we terrorize you", hivyo ndivyo anatakiwa khalifa awe. Lazima umuogope.

We mtu mbona elimu yako ni ndogo sana? Yaonekqna hata kujifunza huwezi kabisa!
Unawezaje kusema kazi ya polisi ni ku terrorise mwizi? Wapi ulihudhulia mafunzo ya polisi yanayoeleza uchafu wa aina hiyo? Kunterrorise!

Sasa utakuta li mtu la aina hii limepewa cheo kama huyo Hawa ambaye elimu yake ni duni, uwezo wake duni na anajifahamu kabisa alipewa nafasi kubwa kuliko uwezo wake. Ana ulimbukeni wa ajabu kabisa! Nilimsikia pale mlimani akishindwa hata kusoma aliyoandikiwa!
 
Huyu mama kiukweli sifa ya kuwa kiongozi hana hata chembe ila katika Zama hizi za utawala huu ni Zama zake maana ni affiliated na familia kubwa lakini kwa watu wanaojua uongozi ni nini huwezi kuwa na Waziri aina ya ghasia
 
Sikiliza kijana, mimi si Pilato. Hata mtu ambae sijamsikiliza utetezi wake nimtundike msalabani.

Hilo ni lenu, watu wenye akili zao timamu huwapeleki huko.

Kijana! That must be a stupid assumption,kwa nini unadhani mi ni kijana?
Hapa ni kwenye social group, halafu unaleta mambo ya pilato? Ndo maana kila wakati unakuwa off-point. Unajisahau kwamba hapa tuko kwenye social group kwa social reasons. Socially, does it make any sense to have a minister spending that tune of shillings?
 
Hata kama angeongea masaa yote 24 sidhani kama itafikia pesa hiyo?
Na sidhani kama naweza kuongea masaa 24...
Huu ni uzushi

Tunafanya makosa kufikiri kwamba pesa hiyo ni nyingi sana kwa mazingira yoyote. Kama kiasi hicho kilitumika kea simu za ndani akiwa hapa tz utakuwa ni wizi LAKINI kama kuna wakati 't' hawa alishawahi kupiga simu za ama nje au ndani akiwa nje makato yake ni balaa tupu. Ni kweli huo ni ufujaji wa pesa ya umma, lakini tuache kujipumbaza kwamba pesa hiyo ni nyingi kwa matumizi ya simu na hasa unapopiga kutokea nje ya tz. Sasa kama alitumia kwa matumizi binafsi hiyo ni issue nyingine.
 
Kuna mawili, ama ni makosa, au namba yake iko tied to official usage za High speed Internet.

Watanzania hawajui kuwa dedicated line ya internet lets say 8Mbps ni milioni kadhaa, sasa sijui mama ana connection ya aina gani, lakini kama ni dedicated connection yenye speed ya kueleweka kwa sababu za kiofisi 25M ni kiasi cha kawaida.

Je, bibie anahitaji matumizi ya internet ya aina hiyo kw ashughuli za kiofisi?ndio na hapana. Ndio kama serikali yetu ingekuwa inatumia features kama HD teleconferencing, n.k,na wizara yake ingekuwa na hitaji hilo kimkakati. No, kwa maana ya kuwa haonekani wa kidijitali kivile, na Sidhani kama serikali yetu ina utilize vitu kama HD teleconferencing,Na hata kama inafanya hivyo, logical connection ingekuwa TTCL, kwani ni shirika la umma lenye connection kubwa kuliko mengi.

either way i smell errors kwenye hiyo invoice.
umetoa ufafanuzi mzuri
 
Air tell kwa kubambikaaa bill...sometimes kwa kutojua kuna vitu kwenye simu Kama GPS etc usipo disable ....simu inakuwa charged full time na ukiwa roaming Ndio balaaaa ..........,Mimi pia ni Kati ya wateja wa post paid ambao taasisi yangu ...Ina mzozo wa bill .....,hizi Internet bundle Wakati tunapata kwa 30'000 kwa Mwezi Pre paid ....post paid wana kuchanga kwa dakika .....tena na hizi automatic downloads Tulizo subscribe ni balaa tena ....ni wizi mtupu.
Nadhani WANABAKI na wateja Kama Hao ambao bill ikija hakuna mwenye uchungu wa kuhoji Inalipwa tu ......Wakati ANAYETUMIa hapati value for money ...kwa dunia ya Sasa ....hata bill gate Hatakiwi kutumia Kiasi hicho Wakati free calls options kibao

Uko sahihi kabisa. Ingawa sishabikii matumizi ya Hawa Ghasia hadi tuujue ukweLi, lakini kiukweli Airtel ni wabambikiaji wazuri sana kwenye huduma za post paid.

Kwenye taasisi ninayofanyia kazi staff tumeunganishwa kwenye hiyo huduma kwa limit ya sh laki 1 kwa mwezi kwa kila staff aliyeunganishwa, kwa ajili ya matumizi ya kikazi.

Ajabu inapokuja bill huwa ni majanga, binafsi huwa siitumii sana hiyo line ya Airtel kwa kuogopa kuvuka kikomo tulichopewa naweza hata kupitisha siku 2 bila kutumia na nikitumia kwa kupiga simu hata dakika 10 sifikishi kwa call na nimejiwekea maximum ya kupiga simu 3 kwa siku tena zote ni ndani ya nchi. Mobile data, gps n.k huwa na-disable kuogopa matumizi ya ziada, na pia kwa kuwa natumia wi- Fi ninapokuwa kazini.

Pamoja na yote hayo nimewahi kupata bill ya laki mbili na hamsini kwa mwezi. Kwa matumizi hayo bundle ya Vodacom ya elfu 30 ( kabla hawajapandisha bei) ilikuwa inanitosha sana.

Staff wenzangu wamepata hadi bill za million tatu kwa mwezi kwa matumizi ya kawaida tu. Tukilalamika hatupati maelezo ya kueleweka na ubaya ni kwamba ukivuka limit ya mwezi mshahara wako unakatwa kufidia gharama za ziada. Mzozo wa makato ni mkubwa mno. Nimeshatupa hiyo line bora nitumie hivi hivi vi daily bundle by a buku, post paid ni majanga
 
Tunafanya makosa kufikiri kwamba pesa hiyo ni nyingi sana kwa mazingira yoyote. Kama kiasi hicho kilitumika kea simu za ndani akiwa hapa tz utakuwa ni wizi LAKINI kama kuna wakati 't' hawa alishawahi kupiga simu za ama nje au ndani akiwa nje makato yake ni balaa tupu. Ni kweli huo ni ufujaji wa pesa ya umma, lakini tuache kujipumbaza kwamba pesa hiyo ni nyingi kwa matumizi ya simu na hasa unapopiga kutokea nje ya tz. Sasa kama alitumia kwa matumizi binafsi hiyo ni issue nyingine.

Hakuna evidence yoyote inayojustify tuhuma hizi

Hata kama ni siasa...hizi ni siasa za kipuuzi,....
 
Kumbe kwa michango ya watu inaonesha hapa kwamba Airtel kwa post paid ni wezi

Haiingii akilini hizo tuhuma za Hawa
 
Halafu huyu mama kijijini kwake watu wanaenda masafa ya mbali sana kuchota maji machafu kwenye vidimbwi na kurudi saa 8 za usiku
 
Kweli Dada yangu hata Mimi ilishakujaga report kuwa nimetumia simu ya ofisi makadirio yake yalikuwa zaidi malaki sikumbuki na wakat sikuwah piga hats senti makosa huwa yapo

Lazima mteteane tu!
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

Kampuni zipo makini hii bili imetolewa kwenye komputer sio kichwani, usishangae ndio matumizi yenu na chama chenu mfu.
 
Back
Top Bottom