Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioni

Hebu tuwaze pamoja.
Mume anafanya kazi nje ya nchi,watoto wawili wanasoma Ulaya pamoja na ndugu mmoja (nawaza tu).
Ana marafiki wa nje na ndani na inawezekana na biashara za kimataifa.
Naamini kwa siku 52 inawezekana kutumia kiasi hiki,tusiangalie local calls tu.
Tupate ushahidi wa kina lakini ni kitu kinachowezekana ila tumhurumie Hawa Ghasia ameumia sana kwa nyumba zake kuchomwa moto Mtwara.

Huyu mama huuza ukurugenzi wa halmashauri kwa Tsh. 25,000,000/= ana roho mbaya kuna wakati shetani huenda kumgelezea.
 
It is possible nadhani though I think line yale ni ya Postpaid: 1) Anatumia sana data (pay as you go browsing) . 2) anapiga sana international .3) anasafiri sana kwa Hiyo anafanya sana roaming Ambayo ni expensive . Lakini kwakuwa hela ni Ya walipa kodi inabidi kuwe na accountability fulani maana Hiyo hela ni nyingi especially kama Siku ni hizo 52million. Mwisho lakini mkuu hebu uweke ushahidi mathubuti maaana isije zikawa tuhuma tu holela holela
 
Jee, zimelipwa au ni Invoice iliyoletwa kimakosa? maana haiingii akilini.

Sitoshutumu mpaka nisikie 2nd and 3rd party (Airtel na Hawa Ghasia) wakitoa ufafanuzi.

Nilijua lazima ucoment@ faizafox😁
 
Kuna mawili, ama ni makosa, au namba yake iko tied to official usage za High speed Internet.

Watanzania hawajui kuwa dedicated line ya internet lets say 8Mbps ni milioni kadhaa, sasa sijui mama ana connection ya aina gani, lakini kama ni dedicated connection yenye speed ya kueleweka kwa sababu za kiofisi 25M ni kiasi cha kawaida.

Je, bibie anahitaji matumizi ya internet ya aina hiyo kw ashughuli za kiofisi?ndio na hapana. Ndio kama serikali yetu ingekuwa inatumia features kama HD teleconferencing, n.k,na wizara yake ingekuwa na hitaji hilo kimkakati. No, kwa maana ya kuwa haonekani wa kidijitali kivile, na Sidhani kama serikali yetu ina utilize vitu kama HD teleconferencing,Na hata kama inafanya hivyo, logical connection ingekuwa TTCL, kwani ni shirika la umma lenye connection kubwa kuliko mengi.

either way i smell errors kwenye hiyo invoice.
Akifanya teleconferencing at inflate vipi invoice? Mwache atukitine, ndio mambo ya magamba.
 
Wewe utakua ghasia mwenyewe invoice ya nini wakati mleta Uzi ametaja mpaka vocha namba huyu atakua Waziri kwa serikali hii legalege tuu kwa kiongozi makini huwezi kuwa na Waziri kama ghasia kwanza kichwani mweupe
Birds of same feathers...? Sasa amchague uwaziri mtu aliyemzidi akili si itakuwa kujiangusha.
 
Ndio maana sehemu zingine hakuna habari za posho na wala muhusika kupewa full autonomy ya matumizi kwenye gharama za serikari.

Utapewa simu na serikari au shirika kwa matumizi ya kazi zako lakini bill inaenda kwengine hili waangalie kama hupo na ethos zao au utapewa credit card utumie na expectations zao za ghrama unazoruhusiwa kuanzia mahala pa kulala, chakula na mengineo ambayo ni necessary sasa utumie usitumie kazi kwako lakini kuna mtu mwengine kabisa anayekagua risiti zikija kama huko sambamba nao kwenye matumizi na card imetumika sahihi.

Lakini hizi habari za kupeana autonomy kwenye kutumia vitu halafu bill inaenda kwa walipa kodi, kupeana posho za kusafiri na matumizi ndio chanzo cha matatizo kama haya na watu kusema hela ni ndogo za azitoshi.

Tungekuwa na utaratibu wa kusema viongozi wote wa umma kuanzia wabunge hadi kwenye taasisi zingine wapeleke risiti zao kwanza ndio walipwe au wanapewa kadi za matumizi or voucher za serikari na baadae serikari inalipa yenyewe walau ingepunguza tatizo. watu wanapewa hela au privilege ambazo azina kikomo na hakuna usimamizi wa kujua kama zimetumika kwa sababu sahihi matokeo yake ndio haya.

Where are the government ethos ilhali watanzania wengi wanaishi kwa kubaingaiza haya mambo kwakweli ni chaka la ufisadi tu, halafu ndio kwanza watu wenyewe wanadai hela za kujikwimu aziwatoshi wakati wakipewa hela wengi uishia kulala na kula kwa ndugu na jamaa huko walipo na wanapopewa fursa zisizo na mipaka ndio mambo kama haya.

Tatizo sio watu tatizo ni mifumo iliyopo sasa ambayo inabidi kubadilika.

Sasa ndugu ingekuwa hivyo ingemake too much sense. Unajua ndio lala salama hii, wache watu wajinome.
 
Ni kweli kabisa hata ghadafi alikua muislam tena ni Halifa mwenyewe, mwisho wa siku watu wakala tigo afu Alisokomezwa vijiti matakoni na u Halifa wake, mnaogopeka sana nyie

Huwa nakimbia malumbano ya dini lakini hii ni babu kubwa. Hasa ukizingatia waliomfanyia hivyo ni wa dini yake mwenyewe.

Watu tulioletewa hizi dini ndio tunakuwa wajinga wenyewe. Uarabuni huwa wanawapindua Waislam wenzao. Hitler aliwaua Wakristo wenzie. Karl Marx alisema kweli kuwa dini ni kilevi cha masikini.
 
Mchanganuo wa hiyo invoice:-
Bili halisi ...............Tsh 2,000,000/-
Wafanikishaji........Tsh 1,000,000/-
Mwandika Chq......Tsh 800,000/-
Jumla ............................3,800,000/-

Inayobaki Hawa ataitumia kumlipa Carpenter ambaye ni kaka yake kiukoo anayemtengenezea madawati hamsini ya kwenda kuwadanganyia wapigakura mazuzu ya CCM kumchagua tena uchaguzi ujao. KIGUMU Chama cha mapinduzi.

Kumbe unamfahamu vizuri Hawa, Yule kaka yake aliyesoma Mtwara Technical Secondsry school.
 
Anakusanya pesa akapambane na wababe wake kule Mtwara akina Murji na Kweka... Huyo Kweka wa Mtwara ndo kiboko ya huyu mama maana kanunua karibia mashamba yote ya ukoo wa Ghasia wamebakia na viplot plot vya kuunga tu. Zikusanye mama maana nasikia mission yako ni kukimbilia Ubunge Mtwara Mjini kule vijijini hawakutaki tena

Mtwara mjini?
Kumbuka alivyozomewa kwenye mkutano pale Soko Kuu alipokuwa na akina Kinana, Nape, Mkuchika na Chiza mpaka akasema "hata mkizomea mimi watu wangu ni Mtwara vijijini".
 
Back
Top Bottom