Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Nokia C6500 duuh kuna picha nilipiga mpk leo huwezi amini nilitumia simu ile.
Nokia Lumia 1520 nadhani ndio simu bora kabisa kutengenezwa duniani katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2020. Japokua simu hii ilitoka mwaka 2013, lakini ilikua mbele ya wakati wake na mpaka leo hii simu zinazotoka zinapambana kufikia ubora wa ile mashine bila mafanikio. Kuthibitisha hili, hii simu mpaka leo ukibahatika kuipata mpya kabisa itakutoka sio chini ya Tsh 800,000 na ushee ili uweze kuimiliki!Mimi lumia 1520 ilikua ni hatari mashine ile, gps yake noma sana, ilikua inakusomea incoming message alaf inakuuliza should i read it ukijibu yes inatiririka meseji yote.
HAWA JAMAA SIMU ZAO HAZISHUKAGI BEI HATA UPITE MUDA GANI...ALAFU NI NGUMU..Nokia Lumia 1520 nadhani ndio simu bora kabisa kutengenezwa duniani katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2020. Japokua simu hii ilitoka mwaka 2013, lakini ilikua mbele ya wakati wake na mpaka leo hii simu zinazotoka zinapambana kufikia ubora wa ile mashine bila mafanikio. Kuthibitisha hili, hii simu mpaka leo ukibahatika kuipata mpya kabisa itakutoka sio chini ya Tsh 800,000 na ushee ili uweze kuimiliki!
Ndio maana ya midrange productsMimi nipo nje ya mada please. Simu yangu sumsung A50 ina camera mbaya inatoa picha mbaya. Plz advice me nidownload camera gani kwenye playstore
Daah kwakweli Nokia walikua vizuri sijui ni shetani gani aliwaingia.HAWA JAMAA SIMU ZAO HAZISHUKAGI BEI HATA UPITE MUDA GANI...ALAFU NI NGUMU..
Ulinunua lini? Pengne umeuziwa kopi, umeupdate Os? Ndo natumia a50 hapa. Nijibu tuendelee na mazungumzo.Mimi nipo nje ya mada please. Simu yangu sumsung A50 ina camera mbaya inatoa picha mbaya. Plz advice me nidownload camera gani kwenye playstore
Hiyo C2 nilikuwa nayo japo sasa sina lakini pengo lake halijazibwa bado.Nokia C2 cha batan
Motorola cha batan vile vya kukunja.
Nimevimiss hivyo visimu...
Panasonic GD 55.Simu zinakuja na kuondoka. Binafsi nimetumia simu nyingi sana. Simu yangu ya kwanza ilikuwa Motorola, mwaka 1996, service provider wangu alikuwa Tritel.
Lakini katika simu zote ambayo nilizama nayo penzini kwa dhati ilikuwa Nokia Lumia 1020, hiyo ilikuwa 2012.
Hadi leo sijaona mwamba wa kulitikisa jabali lile.
Let's share the experience
Nokia c2-01,nokia 2330 classicNokia C2 cha batan
Motorola cha batan vile vya kukunja.
Nimevimiss hivyo visimu...
ngoja nikaitafute ya mtumba hii simu kule Aliexpress ili nije kuuzia sura huku kitaa.Nokia Lumia 1520 nadhani ndio simu bora kabisa kutengenezwa duniani katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2020. Japokua simu hii ilitoka mwaka 2013, lakini ilikua mbele ya wakati wake na mpaka leo hii simu zinazotoka zinapambana kufikia ubora wa ile mashine bila mafanikio. Kuthibitisha hili, hii simu mpaka leo ukibahatika kuipata mpya kabisa itakutoka sio chini ya Tsh 800,000 na ushee ili uweze kuimiliki!
Nokia Lumia 1520 nadhani ndio simu bora kabisa kutengenezwa duniani katika kipindi cha miaka ya 2010 - 2020. Japokua simu hii ilitoka mwaka 2013, lakini ilikua mbele ya wakati wake na mpaka leo hii simu zinazotoka zinapambana kufikia ubora wa ile mashine bila mafanikio. Kuthibitisha hili, hii simu mpaka leo ukibahatika kuipata mpya kabisa itakutoka sio chini ya Tsh 800,000 na ushee ili uweze kuimiliki!
Iweke sokoni tu hyo simu alafu nunua nyingne ambayo itakuwa na kamera nzuri maana kwa huu wakati tulionao. Kamera na storage ni muhimu sna kwnye simu ,huwezi. Kuwa na samsung alafu unatiwa gap kwenye kamera na akina tekno na ndugu yake infinix ni jau sanaMimi nipo nje ya mada please. Simu yangu sumsung A50 ina camera mbaya inatoa picha mbaya. Plz advice me nidownload camera gani kwenye playstore
Inanikumbusha Bocho, wa kwenye sinema ya Desperado, ya Antonio Banderas na Salma HayekSimu yangu ya kwanzaView attachment 1631978