Kwa wanaume: Je unaikumbuka simu yako ya kwanza? Kitu gani kilikusukuma kuinunua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaume: Je unaikumbuka simu yako ya kwanza? Kitu gani kilikusukuma kuinunua?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sumbalawinyo, Jul 2, 2011.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mimi simu yangu ya kwanza ilikuwa Motorola zile tulikuwa tunanunua kwa service provider. Tritel ndio waliniuzia. Msukumo wa kununua simu ya mkononi ulikuja kwa kuwa kuna binti nilikuwa namfuatilia, yeye alikuwa na mshindi wa Mobitel, mi nikaenda Tritel. Thank God nilimpata na mpaka leo ninaishi naye, ndiye mke wangu kipenzi.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,013
  Trophy Points: 280
  Ericson mzee, ilikuwa ya kufunika. Kwa wakati huo ilikuwa ndio simu ndogo kabisa na ya kisasa.
  Niliinunua ili niwe tofauti na vijana wenzangu pale mtaani, only that. Lakini tofauti na matarajio yangu nkakuta inaniletea pia mabinti.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa ni Twanga pepeta siemens c25, wakati huo ipoo juu sana tuu, we acha bana kama Sumbalawinyo imenipa mke na bila kutegemea km Bujibuji maana lengo halikuwa kutafuta mwanamke lkn baadaye nikajikuta deep in love na mtoto wa kichaga! na yeye alikuwa ana twanga pepeta, mapenzi shatastaha, sms kwa siku zilifikia hadi mia akiamka saa nane usiku anapiga tunaongea hahahaha. Nikisikia mlio wa twanga pepeta kweli mood inanibadilika n fell Romantic!!
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hahaa! Naikumbuka ilikuwa ni samsung yenye antenna.
   
 5. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,584
  Likes Received: 1,886
  Trophy Points: 280
  Nokia ringo 3
   
 6. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Ilikuwa nokia 101 bonge moja la mche wa sabuni.HIi ilkuwa ni baada ya mobitel kuanzisha simu poa
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,433
  Likes Received: 12,700
  Trophy Points: 280
  ungetakiwa uihifadhi hiyo cm banaa imekupatia my wife wako lool
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,013
  Trophy Points: 280
  hahhahaaahh kama mimi kama wewe. Maisha yalikuwa na raha sana, ila mawasiliano yalikuwa gharama ile mbaya
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  weeh flora nawe mwanaume? ukichungulia sebule party hairuhusiwi kukohoa wala kuongea,tutashikwa! shhh! (sijui wanadhani na sie hatukuwa na simu?manake ndo inakupandisha hadhi unapata mkaka wa gredi yako,lol)
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nokia 1110 pesa alinizawadia Rais Msaafu wa Malawi Bakili Mulizi... Asante sana Mh.Muluzi
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  sina simu up to now
   
 12. P

  PR Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa Samsung 125 ina kaantena. Siku moja nikawa napita pale shule ya uhuru kuelekea kituo cha basi ambacho sasa wamekihamisha huku nimeweka simu yangu kwenye mfuko wa shati kaantena kanachungulia. Jamaa akanitega na mguu wake, namuuliza vipi kumbe ni danganya toto, mwenzake akachomoa ile simu mimi sina habari. Nimekuja kugundua kama nimeibiwa wakati nimefika nyumbani!
   
 13. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samsung ya kimwekumweku ilikuwa simu ya bei sana na amna aliyekuwa nayo mtaani
   
 14. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sabuni ya mche siemens C25
   
 15. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  mbona umepost kwa kwa kutumia simu?
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,013
  Trophy Points: 280
  Kitu cha TWANGA PEPETA
   
Loading...