HTC One imetajwa kuwa ni simu bora ya mwaka 2013

HTC One imetajwa kuwa ni simu bora ya mwaka 2013

Mtu-Pori

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
1,308
Reaction score
1,522
Katika maonesho ya vifaa vya mawasiliano ya mkononi hasa feature phones, smartphones na tablets yanayoendelea huko Barcelona, Global Mobile Awards ambayo huandaliwa na The GSM Association wameitaja HTC One kuwa ni the best smartphone in the past year Phone. Mchakato wa kuamua ipi ni simu bora hushirikisha wachambuzi huru zaidi ya 175, wakiwemo journalists, academics and subject matter experts.

HTC One ilikuwa ikishindanishwa na
iPhone 5S,
LG G2,
Nokia Lumia 1020
na Samsung Galaxy Note 3. Imesemwa.........

"The HTC One remained one of the most advanced smartphones throughout 2013. Its great design and excellent user interface continue to provide a differentiated user experience, standing out from the competition."

Nokia Lumia 520 imetajwa kuwa ni the
Best Low-Cost Smartphone (sub-$150 wholesale price) ushindani ulikuwa dhidi ya simu za Lenovo A390T,
Samsung Galaxy Young,
Sony Xperia E na
Xiaomi Hongmi.

Apple iPad Air imetajwa kuwa ni
the Best Mobile Tablet, washindani wengine walikuwa ni
iPad mini 2,
Google Nexus 7 (2013) na
Sony Xperia tab Z.

Nokia 105 imetanjwa kuwa ni
Best Entry-level or Featurephone.

Leo tarehe 26, kwa mujibu wa mtandao wa Gsmarena, itatajwa T
he Best New Mobile Handset, Device or Tablet, kwa mtazamo wako, ni simu ipi unadhani itashinda category hiyo?

Kwa taarifa zaidi ingia mtandao wa gsmarena
 
Back
Top Bottom