buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Iko poa kiaje mkuu? Inakaa na chaji muda gani
72hrs
Iko poa kiaje mkuu? Inakaa na chaji muda gani
wataka mpya au used sema tu tuyajenge kaka mm ninayo used 3months iko na hali nzuri ila nataka tu hela ya sikukuu nile bata
Weka mbali na watoto. Product bomba sanaNaijua mkuu
laki tatu tu kaka nakuachia ila mazungumzo yapo nduguShilling ngapi?
Mkuu hapa npo na infinix hot 5 4000mah n balaa lingineInfinix vip wakuu maana mm hapa natumia infinix hot 4 ..inatunza chaji sana
Samsung Galaxy A3 betry capacity ni 1900mAh wakati Samsung Galaxy Grand Prime + betry capacity ni 2600mAh utasemaje Galaxy A3 inakaa na chaji zaidi ya Grand Prime +!?
hizi simu zinasifika kuwa na betri kubwaSpecification zake upande wa battery life upoje
Chukua hot 5 utaniambiaKwa wale wauza Simu naombeni kujua bei ya infinix hot 4 pro mpya..maana hizi Simu kwa kutunza chaji ni kiboko
Nazielewa sana hizi Simu ni mwisho wa matatizo ya chajiMkuu hapa npo na infinix hot 5 4000mah n balaa lingine
laki tatu tu kaka nakuachia ila mazungumzo yapo ndugu