Kabla sija mshauri huyu zuzu asome histori ya vita ya mkwawa hasa yule rafiki yake aliye msaliti mkwawa ili yeye apewe utemi na wajerumani matokeo yake akakosa vyoote,mshukuru sana Mungu wako wenzio kibao wapo mtaani wana tamani hata kutongozwa tu wewe umepewa heshima na umeolewa leo una mdharau mumeo kisa boyfriend??? Ktk kosa litakalo tafuta mpaka uzao wako ni wewe kukuacha mumeo utajuta baadae endekeza starehe na tamaa tu .Kama kuna kosa utakuja kujutia maisha yako yote n hilo la kumwacha mumeo kisa uyo bf wako na ukienda kwa uyo bf wako atakuona we n mwanamke punguani na unaweza kumuacha yeye vile vile kama ulivomuacha uyu wa kwanza mvumilie na umpende mumeo tena ukamuheshim yatakayo kuja kukuta utalia wewe utaona dunia nzima wewe tu ndo unamatatizo
Tuliza kiuno chini mheshim mumeo tena io Tabia ya kuongea na sim na icho kiboyfriend Ife kwa jina la Yesu