Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Daaaaaah mwambie kuwa sio aina ya mwanaume ambae ulitaka kuolewa nae mwambie huvuitiw nae tena mweleze ukwel atakuacha kilaini sana
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Unamtafutia mtu kesi ya mauaji, watu wapole ni hatari sana. Omba talaka uachane nae kwa amani ukafaidi vizuri
 
Duuuh...we Dada unashangaza xana, kabla sijakushauri naomba kwanza nikuulize maswali mawili then ukinijibu nitakupa ushauri mzuri badae, swali la kwanza kama uliolewa na mmeo kwa sababu ya pesa zake Je vp siku akifilisika utachukua maamuzi gani ? (because money comes and go) na swali la pili kama hukutaka kuolewa na boyfriend wako umpendae kisa hana hela Je unadhan kwamba huyo boyfriend hatopata pesa maisha yake yote ? Ani ndo uwezo wake wa kutafta pesa umeishia hapo au ulimwonaje ww !
Huyu Dada ana mental problem
 
Mungu wangu!
....."Namfanyia visa anichokoze nipate sabb ya kumuacha lkn busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana."...

Ninaamini huyo unaemwita boy nini! Hana hizo sifa kabisa ndio maana anaendekeza muwasiliane na mke wa mtu aliemwacha akaenda kuolewa na mwenye pesa!

Busara, upole n hekima! Jumlisha pesa!!!!?
Jichunguze kuna laana katika familia yenu nenda kaombewe!
Nimevaa viatu vya Mme wake nikapata uchungu sana anyway amwambie tu ukweli
 
Kama kuna kosa utakuja kujutia maisha yako yote n hilo la kumwacha mumeo kisa uyo bf wako na ukienda kwa uyo bf wako atakuona we n mwanamke punguani na unaweza kumuacha yeye vile vile kama ulivomuacha uyu wa kwanza mvumilie na umpende mumeo tena ukamuheshim yatakayo kuja kukuta utalia wewe utaona dunia nzima wewe tu ndo unamatatizo
Tuliza kiuno chini mheshim mumeo tena io Tabia ya kuongea na sim na icho kiboyfriend Ife kwa jina la Yesu
Kwanza huyo boyfriend kama ana akili timamu hawez kufanya nae maisha
 
Wanaume wengi hawana akili ya kujua huyu demu kanipendea nini. Me ningekuwa mumeo ningeishakujua mapema na kukutimua au nakutelekeza tu naondoka zangu
Unajua ile mtu anakupenda hafu we unachukulia poa ile siku ataacha kukupa attention aliyokuwa anakupa mwanzo roho huwa inauma sana japo humpend
 
Kutafuta umaarufu Jeiefu kutakuponza,usije shangaa inakutokea kweli....... Achana na huu ujinga
 
Kuna watu wanataka niandike kitu nipigwe BAN

eeh shetani mtaka kunsababishia BAN ushindwe

na ulegee,ewe Pepo mtaka kunisababishia BAN

Shindwa peperuka ishia huko huko,sili BAN nmesema.
 
Daaa nlieahi kuwa na dem mke wamtu alikuwa akiingia kuoga bafuni ananipigia vireocall anaweka dirishani anaoga nikiwa nmwona hadi anamaliza. Akirudi ananipigia video call mmewake akiwa uchi wa mnyama namwona pia
dah anamchukua Hadi mmewe
 
Kuna kilio amazing Cha kusaga meno kinakuja.

Huna wa kumlaumu, Wala huwezi kuelewa kwa Sasa sababu pepo wa ngono amekuziba masikio na macho hivyo husikii Wala huoni.

Haya.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
SASA subiri nikukutie chooni na video call yako ndio itakuwa mwisho wako we si unafikiri Mimi fala? Nakulia timing tu nilikugundua tangu siku ile ulipokuwa unanipa pochi manyoya lako huku umegeukia pembeni na mm sikumaindi ila natafuta pa kujilipa pesa zangu UTAJUTA KUNIFAHAMU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom