Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

dagii

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
3,905
2,000
Kama kuna kosa utakuja kujutia maisha yako yote n hilo la kumwacha mumeo kisa uyo bf wako na ukienda kwa uyo bf wako atakuona we n mwanamke punguani na unaweza kumuacha yeye vile vile kama ulivomuacha uyu wa kwanza mvumilie na umpende mumeo tena ukamuheshim yatakayo kuja kukuta utalia wewe utaona dunia nzima wewe tu ndo unamatatizo
Tuliza kiuno chini mheshim mumeo tena io Tabia ya kuongea na sim na icho kiboyfriend Ife kwa jina la Yesu
Kabla sija mshauri huyu zuzu asome histori ya vita ya mkwawa hasa yule rafiki yake aliye msaliti mkwawa ili yeye apewe utemi na wajerumani matokeo yake akakosa vyoote,mshukuru sana Mungu wako wenzio kibao wapo mtaani wana tamani hata kutongozwa tu wewe umepewa heshima na umeolewa leo una mdharau mumeo kisa boyfriend??? Ktk kosa litakalo tafuta mpaka uzao wako ni wewe kukuacha mumeo utajuta baadae endekeza starehe na tamaa tu .
 
Basima Ogenze

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
518
500
Gunia saba za mkaa ni kwa wanaume wasio na pesa. Ushaambiwa jamaa ana pesa.
Watu wa hali ya chini ndo huwa wana maamuzi ya kijinga wakisalitiwa. Ukiwa na pesa unakuwa busy hata muda wa kuwaza mkaa haupo.
Sawa labda wenye hela hawatumii mkaa lakini wana njia nyingine ya kutimiza lengo
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,823
2,000
Gunia saba za mkaa ni kwa wanaume wasio na pesa. Ushaambiwa jamaa ana pesa.
Watu wa hali ya chini ndo huwa wana maamuzi ya kijinga wakisalitiwa. Ukiwa na pesa unakuwa busy hata muda wa kuwaza mkaa haupo.
Hawa wenye pesa..huwa wanakumiminia Risasi Kama za Tundulisu
 
Chairman Lee

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,127
2,000
Kweli...Ni tamaaa..kumbe Pesa haitombi wallahi...duuh
Tatizo analalamika sijui harufu sijui nini, huyo atakuwa ni mwanamke mpumbavu kuliko wote duniani, kwasababu zifuatazo

yeye ndio anatakiwa kumshape mume wake.

kazi yake kama mwanamke nini?

inasikitisha sana wanawake wa kizazi hichi wanajua kuliwa tu, majukumu ya kike hawajui

kazi ya mwanamke sio kupanua miguu tu nizaidi ya hayo

Over
 
Ghost Worker

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
1,380
2,000
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Pumbavu kasorobo wewe. Kuolewa mmechukulia kama fasheni tu siku hizi ili mpate picha za Instagram nyau nyinyi, kazi kumdihaki Mungu na viapo feki kwenye majumba ya ibada tu. Laana yake huwa inakuandama maisha yote.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,581
2,000
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Vunja ndoa,hamia kwa boy wako,kuhusu hela,uwe unatoa kwa mpalange tu
 
B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,168
2,000
Want goes around come back around!!we muumize tu mwezako,siku utakuja kistuka moyo wake umekuwa sugu na kupata mtu anaempenda kwa dhati,na wewe boy friend wako baada ya kuakikisha ndoa yako imesambaratika anaowa mwingine.majuto Ni mjukuu
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,823
2,000
Tatizo analalamika sijui harufu sijui nini, huyo atakuwa ni mwanamke mpumbavu kuliko wote duniani, kwasababu zifuatazo

yeye ndio anatakiwa kumshape mume wake.

kazi yake kama mwanamke nini?

inasikitisha sana wanawake wa kizazi hichi wanajua kuliwa tu, majukumu ya kike hawajui

kazi ya mwanamke sio kupanua miguu tu nizaidi ya hayo

Over
Noted Mkuu..
 
Misako

JF-Expert Member
Jul 15, 2020
1,154
2,000
Tamaa ya pesa ndio imeongoza nafsi yako ukashindwa kuolewa na unayempenda, acha kucheza na moyo wa mwenzio akiyajua Haya hujui atachukua uamuzi gani.
 
Chairman Lee

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,127
2,000
Ndo maaana Joka jeusi anawaambia Watu waoe mabikra...duuuh
Kweli kabisa, ndio maana unakuta ndoa za wenzetu wahindi zinadumu sana kuliko za kiswahili hili. Mtu ameliwa takribani miaka 10, na raia tofauti tofauti wewe unakuja kumuo leo lazima akuone takataka hata kama ungekuwa na nguvu kama simba.

Serikali ya awamu ya tano inabidi iangalie kwa makini swala hili chini ya mtukufu raisi. Watoto wanaliwa sana mpaka wanakuwa sugu DAUNI ZEA
 
Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,823
2,000
Kweli kabisa, ndio maana unakuta ndoa za wenzetu wahindi zinadumu sana kuliko za kiswahili hili. Mtu ameliwa takribani miaka 10, na raia tofauti tofauti wewe unakuja kumuo leo lazima akuone takataka hata kama ungekuwa na nguvu kama simba.

Serikali ya awamu ya tano inabidi iangalie kwa makini swala hili chini ya mtukufu raisi. Watoto wanaliwa sana mpaka wanakuwa sugu DAUNI ZEA
...Eti wanakua Sugu Down Zea..
Kweli kabisa Mkuu..vijana tumeendekza Sana uzinifu ni hatari kwa kizazi Cha naadae.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,834
2,000
Naanza kuziona gunia 2 za mkaa hapa
bora tu kichomwe moto tu hiki kibinti, kinadhani maisha ni kupigana miti tu
hakajui kuna kulea, kusomesha na ulinzi
acha kaende kwa boyfriend wake kakikwama karudi kachomwe moto tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom