Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

Ushauri wako?
@Sexless: nikushauri Nini Mimi..sijawai kuwa kwenye ndoa.. hapa natamani TU nipate mume.. So nakushangaa wewe na unayoyafanya..

Ila nibora umuache huyu mumeo Kama kweli umeshindwa kumpenda. Lakini sidhani Kama BF atakuoa.. atakuona kiruka njiaa..yaani umeache ukaolewe than umrudie..

Hata you BF wako hakuwa choice yako coz Hana hela.. huyo mumeo anahela ila humpendi.

Tafuta TU mwingine atakae kuwa na hela na ukampenda.

Don't cheat if you don't want to stay ..leav.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Nenda kwa huyo ben ten siku ukilala njaa utajua maana ya love
 
Naomba namba yake kama ww humtaki, ntampenda tu taratibu
Io dharau unayomwoneshea akikukamata huna bahat, utaenda kusimulia malaika wa moton
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Ukome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kaolewe na huyu boyfriend wako , achia wenzako wenye kupenda hilo jasho wapambane nalo
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Kinachokushinda kuwa nao wote wawili ni kitu gani?
 
@Sexless: nikushauri Nini Mimi..sijawai kuwa kwenye ndoa.. hapa natamani TU nipate mume.. So nakushangaa wewe na unayoyafanya..

Ila nibora umuache huyu mumeo Kama kweli umeshindwa kumpenda. Lakini sidhani Kama BF atakuoa.. atakuona kiruka njiaa..yaani umeache ukaolewe than umrudie..

Hata you BF wako hakuwa choice yako coz Hana hela.. huyo mumeo anahela ila humpendi.

Tafuta TU mwingine atakae kuwa na hela na ukampenda.

Don't cheat if you don't want to stay ..leav.
Ukahab* tu huo, kama humpendi mtu kwann unakubali akuoe, huna macho ? Huna akili? Huyui ndoa? Au ulilazimishwa? Tatizo taama zenu zitawauwa siku moja
 
Nimeandika , nimefuta, nimeandika tena nimefuta
Maana naona hata kama nikikutukana au nikukebehi haitasaidia
Ila amua moja uchague kujifunza kumpenda au uishi na ujinga uufanyao
Au ukishindwa kujifunza kumpenda basi omba talaka mapema usimpotezee muda baba wa watu

Ila hakuna raha kama kupendwa halafu wewe unamchukulia powa, he will treat you like a queen
 
Tafadhali Sana nakuomba nipe namba za MUMEO Kuna dada yangu hapa home hajaolewa wewe baki na boyfriend WaKo nakuomba please 🙏🙏🙏🙏
 
Gunia Saba za mkaa ..unachokitafuta utakipata soon
Gunia saba za mkaa ni kwa wanaume wasio na pesa. Ushaambiwa jamaa ana pesa.
Watu wa hali ya chini ndo huwa wana maamuzi ya kijinga wakisalitiwa. Ukiwa na pesa unakuwa busy hata muda wa kuwaza mkaa haupo.
 
Hii hela jamani mbona inatutesa sana. Hivi nyinyi wanawake mna shida gani, unafanyaje maamuzi magumu kama haya kwa sababu ya hela. Ndoa siku hizi ni usanii mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom