Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Habari ndugu yangu!

Tatizo lako ni kubwa kiasi, ni vyema umekuwa wazi hivi sasa

Kama unaweza kuwa wazi kuongelea tatizo lako unaweza kuja PM ili tushauriane kuhusu suala lako

Wote tunapaswa kufahamu, ndoa ni kaburi la mapenzi, sio kitu cha kushangaza mwanaume au mwanamke kumchoka mpenzi muda mfupi baada ya kuingia kwenye ndoa

Mbali na kuwa ndoa ni kaburi la mapenzi, yaani linayazika mapenzi na kufanya muishi kwa misingi inayoweza kufanya ushindwe kufurahia, ziko namna za kurudisha mapenzi kwenye ndoa walau mara chache chache
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Vipi kama yeye ndie angekufanyia hivi
 
Kwa nini uliolewa na mwanaume ambae humpendi? Wakati unaolewa huyo boyfriend wako alikua wapi asikuoe?
Anyway wewe ni kati ya wanawake wasiotambua wanachokitaka kwenye mahusiano au ndoa unless ulilazimishwa luolewa na huyo mume usiempenda

Mke wa mtu unatamka hadharani kwamba una boyfrind na humtaki mumeo.
akina mama pamoja na viongozi wa dini hebu tuwe tunazungumza na hawa mabinti kabla hawajaingia kwenye ndoa la sivyo vizazi vijavyo vitakua na maadili mabovu sana
Sijui kosa linafanyika wapi, either ni malezi, utandawazi au kutokuwa na hofu ya Mungu, ila kwa kweli Mungu atusaidie tu sisi ambao ni wazazi tuweze kuwaelekeza watoto wetu wa kike kwa wa kiume mambo mengi ya msingi na miiko ya ndoa, imagine binti amekuletea mchumba na umemwozesha, in return anakwambia hana hisia na mume yeye anamtaka boyfriend...obvioys lazima uwe na maswali mengi sana kichwani

Nikushauri tu, achana na huyo boyfriend, automatically hisia zako zitarudi kwa mume wako na utafurahia ndoa yako, na kwa kukuaminisha tu kwamba huyo boyfriend hakupendi, jaribu kuachana na mumeo uone kama atakuhitaji tena, kamwe hataona tena thamani yako na usitegemee atakuoa, anaona thamani yako kwa sababu yupo anaekusitiri
 
We jamaa unanishangaza sana. Leo umeshakuwa KE! Kesho kutwa utabandika Dushe urudi kuwa ME! 😂😂😂😂😂sijui kwanini unafanya hivi.

Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Una uhusiano na babayako
Alafu madam kuwa smart, hamna mwanaume yaani boyfriend wa kukuoa wewe akijua umeolewa. Kama umemficha atakija jua tu!
Anaosha rungu tu hapo.
 
Wanaume wengi hawana akili ya kujua huyu demu kanipendea nini. Me ningekuwa mumeo ningeishakujua mapema na kukutimua au nakutelekeza tu naondoka zangu
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
pepo toka!!!
 
Nenda kaombewe, umepitiwa na majini mahaba hayo
 
Wakati ananioa nilikuwa nadikia harufu ya hela. Hv Sasa moyo wangu haufurahii hela yake tena
Tuliza akili shost mb** zipo tu ila pesa ndo mpango mzima. Uliolewa kwasababu ya umasikini sio? Basi tafuta pesa. Muonyeshe mapenzi mumeo mchune haswa. Fungua account asijue kusanya pesa hata miaka mitatu. Ukishajiona unaweza kuishi maisha yako vzr dai talaka chapa lapa.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
Huna jinsia, umepataje mme?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom