Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Acha uvivu wa kufikiri ndugu yangu, tofautisha siasa na kazi ya mtu...mbona mawakili hao hao ndio mnawakimbilia pale ndugu zenu wakiwa na kesi nzito kama wizi, rushwa, mauaji.....si muwaache waozee jela......kazi ni kazi na siasa ni siasa

Wewe hujaelewa kabisa.

Huyu Marando kwenye majukwaa ya kisiasa ana wa bash hao mafisadi.

Halafu huyo huyo hao watu anao wa bash kwenye majukwaa ya kisiasa wakimjia kununua huduma zake anakubali kwenda kuwatetea.

Huyo ni mnafiki. There is nothing behind his words. Hana principles.

Mbele ya pesa atamtetea hata mhalifu aliyembaka mama yake.

Marando ni mnafiki, period, end of sentence.
 
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.

Unaweza kumtetea jambazi aliyembaka mkeo au mwanao?
 
Namtakia heri ya christmass Nnauye Jr. UJUMBE: sifa ya kijana siyo mwili na umri ila akili inayoona mbali hivyo akitaka ccm ya sasa idumu lazima ife kwanza 2015 (For a seed to germinate,should die first,Ngugi Wa Thiong'o
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KupIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

Hapa tunajadili wewe nape kuwa katibu mwenezi wa CCM na CCJ hili unalisemaje?.. Katiba ulizokuwa unaandaa kwa uongozi wa mwakyembe na sitta na kadi zenu wote watatu ziko wapi?!!!!!!!. Hii hoja ya Marando mnafiki ilete siku nyingine!.. LEO JIBU KADI YA CCJ IKO WAPI?!!!!... WEWE umefanya kazi hii kwa siri kushawishi watu tuingie CCJ, sasa wewe unataka ushahidi gani? Kama wewe siyo MNAFIKI tuambie ukweli!.
 
kaka
kikawaida haiwezekani

Ndiyo huo unafiki wa Marando sasa.

Hao watu anaowachana kwa kulihujumu taifa ndiyo hao hao anaowatetea mahakamani ili wasiadhibiwe na sheria.

Ana yaki ya kukubali au kukataa kuwawakilisha kwa sababu yoyote ile.

Lakini kukataa hawezi kwa sababu analipwa hela. Ni njaa hiyo. Ni unafiki huo.

Kama vipi aachane na mambo ya siasa na awe wakili full-time.

Lakini akifanya kama anavyofanya sasa, kwangu ni mnafiki tu.
 
nimelisema hili tangu awali na sikuweza kumung'unya maneno, tena natumia ID yangu halali,narudia kwa kusema bado sikubaliani na mwanaharakati wa kupinga wezi wa mali za umma kuwatetea wezi hao mahakamani ili waonekane hawana hatia,hii haiwezi ingia akilini hata kwa yeye mwenyewe mhusika analielewa hilo,kama lengo ni pesa bado hapo kuna tatizo na litasababisha tumwelewe tofauti.
kama asingewapinga majukwaani,nisingekuwa na tatizo nae,lakini sasa tayari alishaonyesha kutokukubaliana nao pale mwembe yanga na jangwani bado unawatetea kwa minajili ipi?
 
Ndiyo huo unafiki wa Marando sasa.

Hao watu anaowachana kwa kulihujumu taifa ndiyo hao hao anaowatetea mahakamani ili wasiadhibiwe na sheria.

Ana yaki ya kukubali au kukataa kuwawakilisha kwa sababu yoyote ile.

Lakini kukataa hawezi kwa sababu analipwa hela. Ni njaa hiyo. Ni unafiki huo.

Kama vipi aachane na mambo ya siasa na awe wakili full-time.

Lakini akifanya kama anavyofanya sasa, kwangu ni mnafiki tu.

Naomba niongeze kidogo, yani fwedha za EPA anazopiga kelekele majukwaani anazunguka na anazipokea kwa mkono mwingine kwa kutumia door ya nyuma. Ni kama anawahimiza vile waibe zaidi na watengeneze EPA zaidi, kwani kwayo naye atapata kazi na kumlipa ujira murua.

Asingekuwa anawahiza kama angelikuwa hajui kama jamaa ni mafisadi.
 
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.

Kamanda wa ukweli,

Naomba nitofautiane na wewe.... Marando hahitaji kutetea mafisadi kupractice sheria, he has gone above that level. Kwa sasa si mwanasheria mdogo tena, na survival yake ipo hata kwa kesi nyingine...

ndio maana wanasiasa wenzetu wanachagua moja na kama wanaendelea na kazi zote basi principles na beliefs zao huwaongoza kwenye kazi wanayofanya

Marando kutetea mafisadi ni sawa na daktari kubaka mgonjwa, mlokole kufanya kazi kwenye madanguro au vegetarian kufanya kazi machinjioni.,.... doesnt make sense at all
 
Ndiyo huo unafiki wa Marando sasa.

Hao watu anaowachana kwa kulihujumu taifa ndiyo hao hao anaowatetea mahakamani ili wasiadhibiwe na sheria.

Ana yaki ya kukubali au kukataa kuwawakilisha kwa sababu yoyote ile.

Lakini kukataa hawezi kwa sababu analipwa hela. Ni njaa hiyo. Ni unafiki huo.

Kama vipi aachane na mambo ya siasa na awe wakili full-time.

Lakini akifanya kama anavyofanya sasa, kwangu ni mnafiki tu.

agreed!!!

Tufikie hatua sasa tuache unafiki na kuweka double standards.... Marando kuwatetea mafisadi mahakamani haiendani na falsafa ya chadema

I cant imagine leo anamtetea fisadi, kesho fisadi anashinda na kurudi mtaa na kuendelea na ufisadi then marando anarudi jukwaani kulaani ufisadi

MAYBE WE ARE NOT TAKING POLITICS TOO SERIOUS AT ALL, AND MARANDO IS JUST TAKING A PISS AT OUR SILLY POLITICS
 
Tatizo lililopo hapa ni kwamba watanzania hawa wa leo niwakufuata mkumbo tu na si waelewa wazuri wa mambo,wao hufuata upepo kama bendera,na hutofautina na mtu ambaye hata fuata upepo huo
labda kwa kuwa mada hii kaileta Nape,lakini kiukweli haiwezekani kabisa na hatuwezi kuungana mkono ktk hili kama bendera inavyo unga mkono upepo maana lengo ni kutokomeza wezi na sio kuwatetea na hili ndilo linalotegemewa na wananchi toka kwa vyama vya siasa hususani CDM,sasa akitokea mtu kuwatetea hao wala EPA na tukasema eti kazi yake inamruhusu si sawa.
 
Uwakili wa Kisheria ni biashara hivyo huwezi chagua nani wa kumuuzia bidhaa zako. Wote ni halali mbele ya biashara.

Kama mambo yangekuwa ya kufuata ukweli wa kimaadili mawali na mahakimu na majaji wote wangekuwa wanahesabiwa kuwa ni waomgo na WADHAMBI WAKUBWA!

Sote tunajua uongo uliopo kwenye fani ya sheria ila jambo la msingi ni kuwa uwongo wao UMEIDHINISHWA na jamii na sheria yenyewe.

Namuunga mkono Marando kwa yote haya. Sheria na siasa ni uongo na haya yote ni halali mbele ya jamii si Tanzania tu bali ni DUNIA NZIMA.
 
Mie badala ya kumtetea naweza hata kumpiga bastola akafie mbele ya safari.

Umeivua nguo CCM kwani ndio iwazavyo... nisawa kumpiga mtu bomu la tumbo

Ban ya nape inatisha yaani ishaisha tayari... Chezea CCM WEWEEEEEE
 
Hivi kama una uhakika binti yako hajabakwa lakini anamsingizia kijana fulani kwa kuwa tu hawaelewani kazini, na kumbuka huyo kijana ni mtuhumiwa tu, utaacha kumtetea huyo kijana kama wewe ni wakili? Au kama una uhakika mkeo ni mwingi na una uhakika yeye ndiye kasababisha kubakwa bado utamtetea? Suala la uwakili na utetezi nadhani linahitaji uelewa mpana kabla Marando hajatuhumiwa na kuonekana mnafiki. :cheer2:
 
Tusubiri Invisible aje kumuomba radhi Nape Nnauye Jr kwa ban ya muda mfupi... kuwa ilikuwa ni kimakosa aliyestahili ni Ritz au msamaha wa X-MASS
 
Last edited by a moderator:
Uwakili wa Kisheria ni biashara hivyo huwezi chagua nani wa kumuuzia bidhaa zako. Wote ni halali mbele ya biashara.

Wewe acha kupotosha watu hapa. Wakili anaweza kabisa kuchagua kutoa huduma zake kwa mtu. Hiari hiyo anayo.
 
Back
Top Bottom