Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Hivi kama una uhakika binti yako hajabakwa lakini anamsingizia kijana fulani kwa kuwa tu hawaelewani kazini, na kumbuka huyo kijana ni mtuhumiwa tu, utaacha kumtetea huyo kijana kama wewe ni wakili? Au kama una uhakika mkeo ni mwingi na una uhakika yeye ndiye kasababisha kubakwa bado utamtetea? Suala la uwakili na utetezi nadhani linahitaji uelewa mpana kabla Marando hajatuhumiwa na kuonekana mnafiki. :cheer2:

Kwani anapowachana hao watuhumiwa wa ufisadi huwa anawachana kwa misingi gani? Kwa ushahidi gani?

Huyo Marando wenu aache kujifanya ni mwanaharakati mpinga ufisadi halafu mahakamani awatetee hao hao watuhumiwa wa ufisadi.

Machoni mwangu huyo ni mnafiki tu. Sasa unafiki haukatazwi. Ni halali yake kuwa mnafiki na ni haki yangu kumuona yeye ni mnafiki na kutokumpa kura yangu endapo akija kugombea nafasi ya kiuongozi.
 
Katika vijana ambao sina imani nao ni NAPE maana kama angekuwa kijana makini asingekuwa C.C.M ni njaa zake ndo zinamsumbua.NAPE NAKUTABILIA KUFA KISIASA MIAKA 4 IJAYO.BYE.
 
simkumbuki mwanasiasa mnafiki kuliko Nape................

Nape ni janga la kitaifa anahitaji msaada hasa wa maombi,alianza kama mtetezi wa wanyonge sasa ni mtetezi wa mafisadi.

Amekuwa kama Wagalatia walianza kwa Roho wakamaliza kwa mwili.
 
Marando anawashambulia majukwaani akina Nape na wengine kwa kuwa walikwapua pesa na kuziingiza kwenye kampeni za CCM, ni swala limezungumzwa sana lakini kuwatetea sioni tatizo, kwani ndio kazi yake hiyo. UTATA UKO WAPI AU UNAFIKI UKO WAPI???
Unafiki upo hapo Jasusi. Tena ni dhahiri kabisa. Na kisiasa it's a bad look.

Na mimi kama mpiga kura nina haki kabisa ya kutumia sababu hiyo kumuona yeye ni mnafiki na asiyestahili kura yangu. Utapingaje ufisadi kwenye majukwaa ya kisiasa halafu mahakamani ugeuke na kuwa mtetezi wa hao hao watu unaowachana kwenye majukwaa ya kisiasa? It's stupid.

Na mfano wako wa daktari na dadaye hata haulingani na unafiki wa Marando.
 
Nnauye Jr - Kuhusu ya CCJ, Nape be honest. Hicho kilikuwa chama chenu mkakitupa baada ya kugewa ukuu wa wilaya na wenzako uwaziri.
- kuhusu Marando mimi naona ninyi nyote (Marando na wewe) ni wanafiki tu. Si kundi lenu ndo mlikuwa mnawapinga hao akina Patel vipi siku hizi mnaelewana mpaka mnagawiana scanned copies - hata kuwaongelea siku hizi sikusikii tena, naona siku hizi mapambano ya ufisadi mlishamaliza mna deal na Kadi ya Dr tu.
 
Last edited by a moderator:
Uwakili wa Kisheria ni biashara hivyo huwezi chagua nani wa kumuuzia bidhaa zako. Wote ni halali mbele ya biashara.

Kama mambo yangekuwa ya kufuata ukweli wa kimaadili mawali na mahakimu na majaji wote wangekuwa wanahesabiwa kuwa ni waomgo na WADHAMBI WAKUBWA!

Sote tunajua uongo uliopo kwenye fani ya sheria ila jambo la msingi ni kuwa uwongo wao UMEIDHINISHWA na jamii na sheria yenyewe.

Namuunga mkono Marando kwa yote haya. Sheria na siasa ni uongo na haya yote ni halali mbele ya jamii si Tanzania tu bali ni DUNIA NZIMA.

Kwa hiyo kama wewe unafanya biashara ya ng'ombe na jamaa akakuletea ngo'mbe ambao unajua wapi kawaiba na polisi wanawatafuta, na polisi wakihamasisha jamii kwamba aliyewaona hao ngo'ombe ama mwenye ndo ndo awapelekee. Lakini kwa vile wewe ni mfanya biashara utawanunua hao ngombe na kuchupa nao kwa sababu watakuingizia faida kubwa. Teh teh teh teh, kwa codes hizi sioni sababu ya kumwandama fisadi yoyote.
 
Unaweza kumtetea jambazi aliyembaka mkeo au mwanao?
Nyani,
Mbona mfano wako ni tofauti kidogo? Jambazi aliyembaka mke wangu au mwanangu kesi yake haiwezi kuletwa kwangu.
Hata nikiwa hakimu mkuu itabidi niwe recused kwa sababu ya conflict of interest. Kwa Marando kazi yake ni mwanasheria anayetetea watuhumiwa, kukiwemo wale wanaohusika katika kesi za ufisadi. The fact that Marando is also a politician does not cause a conflict of interest, except if the watuhumiwa stole directly from Marando. So in this case the example of a jambazi bakaring mke wangu does not arise. The only conflict I see in this issue is Marando using it in a political arena for his/or his party's benefit. Marando should recuse himself from talking about this case in public, but there is no conflict for him giving his professional advice to the accused.
 
Bora Marando kuliko mkuu wa nchi aliyewatangazia Watanzania kuwa ana majina ya wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya lakini mpaka leo hajachukua hatua yoyote zaidi ya jamii kuendelea kushuhudia idadi ya vijana wanaoadhirika kwa matumizi ya madawa ya kulevya (MATEJA) ikiongezeka.
 
Nyani,
Mbona mfano wako ni tofauti kidogo? Jambazi aliyembaka mke wangu au mwanangu kesi yake haiwezi kuletwa kwangu.
Hata nikiwa hakimu mkuu itabidi niwe recused kwa sababu ya conflict of interest. Kwa Marando kazi yake ni mwanasheria anayetetea watuhumiwa, kukiwemo wale wanaohusika katika kesi za ufisadi. The fact that Marando is also a politician does not cause a conflict of interest, except if the watuhumiwa stole directly from Marando. So in this case the example of a jambazi bakaring mke wangu does not arise. The only conflict I see in this issue is Marando using it in a political arena for his/or his party's benefit. Marando should recuse himself from talking about this case in public, but there is no conflict for him giving his professional advice to the accused.

Conflict or not, it is hypocritical for him to bash (in public) the very same people he represents in the court of law.

If that is not hypocritical then I don't know what is!
 
Marando anawashambulia majukwaani akina Nape na wengine kwa kuwa walikwapua pesa na kuziingiza kwenye kampeni za CCM, ni swala limezungumzwa sana lakini kuwatetea sioni tatizo, kwani ndio kazi yake hiyo. UTATA UKO WAPI AU UNAFIKI UKO WAPI???

Unafiki upo hapo. Sasa kama anawatetea mahakamani kwa nini tena aje awachane kwenye majukwaa ya siasa? Huo ni unafiki.

Na hakuna anayegomba kuhusu kuwa ndiyo kazi yake. Tuna point out unafiki wake tu. Sasa unafiki hauko prohibited by law, as far as I know.
 
Bwana mdogo Nape Mapepe kama utakuwa mkweli kwako na nafsi yako utagundua kuwa hakuna mtu mnafiki kama wewe ambaye kama nyani asiyeona kundule unaweza kuwashutumu wenzio kile kile unachofanya. Ulimshutumu Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM wakati nawe una ya CCJ. Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka. Tukimkubuka baba yako alipokuwa akitumikia chama kwenye nafasi kama yako naye alizoea kutoa matamshi ya hovyo na ya kupayuka. Hivyo huna kosa wakati unapoona ya wengine ukasahau yako. Ni urithi mbovu mwanangu. Siku zote nimekuwa nikikushauri lau uoe kwanza ili ujue kuitiisha familia yako ndiyo uwazie uongozi. Kwanini siku zote umejirahisi na kukubali kutumiwa kama nepi? Najua hutajibu hoja zangu kwa vile utajiacha mtupu kama kawaida yako. Marando kimsingi hana unafiki bali kueleza ukeweli kuhusu unafiki na uzabazabina wako.
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
 
DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?
Na wewe vp kuhusiana na yale Magamba yako????
Mbona mwaendelea kuyasujudia na kuna Moja mkicheza tu Linabeba Bendera yenu 2015
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?

unafiki wa malando

Mimi nina shaka na nape nnauye hiki kichwa chako ni kama walikata cha kwako wakakuwekea nazi maana you dont think critically, tangia marando aanze kuwatetea hawa mafisadi wanaokulisha mbona hujawahi kusimama na kusema haya unayolopoka humu kwenye mtandao?
Wewe ndio mnafiki namba 1 maana wewe na hao cccm wenzako mlianzisha CCJ baada ya kuona hamtaruhusiwa kugombe ubunge.kwanza ccm kingekuwa chama makini kama chadema wangewafukuza wote lakini kwa vile wote mnafanana akili kama mlizaliwa na mama mmoja ndio maaana bado mmo ndani ya ccm.

wewe umepewa kazi ya kubwabwaja kwa sababu wanajua hiyo kazi unaiweza. na 2015 huna chako majimboni
 
mbona wao waliwasema wazi wazi pale mmwembe yanga kwamba nyie ni mafisadi na sasa mmeanza kushikana mashati watu wavue gamba? wewe nape na hiyo scan yako mbona huitoi? au unafanya kazi uliyopewa ccm ya kubwabwaja?

angalia akina mnyika,lema kazi wanayoifanya inaonekana. wewe umefanya nini?
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?

this is raw rubbish, tunataka kujua zile ahadi 1001 za jk alizotuahidi 2010 zimefika wapi au ulikuwa unafiki na ulaghai kwa watanzania?
 
.
Mbona Osoni hiyo iko wazi Nyani kakwambia ethically Mr Marando yuko saa but in Political moral yuko sahihi.Kila mtu anahaki ya kutafuta utetezi kwenye mahakama yoyote duniani endapo ameshitakiwa hata kama aliua.iyo ndiyo ethical ya sheria,lakini moral mtetezi wa Muuaji uenda akakabili na maadili ya utsahi wake toka kwa imani yake au dini yake.Nje ya hapo kila myu ruksa kutetewa hata kama ulikamatwa unazini na mwanao, lakini mbele ya umma [Public] ,una moral obligation lakini linapokuja ethically kisheria unastahiki utetezi kwa mujibu wa ushahid wako dhidi yw watuhumu wako.

Kwa hiyo hakuna tatizo kati ya vitu hivyo viwili,Moral & ethical kama unatambua vina maanisha nini. Morals ina kanuni na imani, wakati Ethics ina kanuni, imani na sheria.

Hivyo akiwa Kama Wakili na Mwanasiasa kitendo cha yeye kuwatetea wezi wa EPA kina picha hizi zifuatazo
1: Kisheria Mahakamani Mzee Marando hana kosa na ni haki yake anatumia Ethics kuendesha shughuri hiyo nzima.Kwa kuwa Watuhumiwa kisheria wana haki hiyo ya kutetewa.
2: Kisiasa jambo hilo hilo ni madhara kwa kuwa ni Moral.Kwa yeye kuwatetea watu ambao watuhumiwa kuibia umma

umeligusia suala hilo la ethics na morals vizuri ingawa tofauti zake hujaziweka bayana. Ethics au Ethos ni lile linaloruhusiwa au kukatazwa. Ni la kisheria au kikanuni kijamii. Morals bila kulazimisha kulitafsiri kwa chanzo chake cha kilatini cha mores ambacho kinaweza kufananishwa na ethos, kinahusu mazuri na mabaya. Tendo linaweza kuwa haliruhusiwi kiethics yaani si Right and wrong, lakini siyo good and evil. Kwa mfano kuendesha gari kupitia kulia Tanzania is wrong, lakini siyo evil.
 
Wachangiaji wengi wa posti hii naona wamejikita kushambulia watu na si hoja zilizoainishwa na kuibuliwa. Kwani Kaka Nape ukimiliki kadi ya CCJ (chama ambacho hakina usajili wa kudumu) kuna dhambi au nongwa gani? Pia tujiulize je mwongo na mzushi hakuna siku ambayo anaweza akasema Ukweli hata mara moja; even a broken clock is once correct per 24hrs. Hivyo hata kama Malando inasadikika kuwa amepotoka kimaadili kwa kuwatetea watuhumiwa wa EPA haimaanishi kiuhalisia kuwa hawezi kutoa statementi ya ukweli juu yako. Hivyo utetezi wako kimantiki hauna mashiko.

Kimaadili napinga vikali hali ya ukinyonga inayoonyeshwa na Malando kwa kuwatetea watuhumiwa wa pesa za EPA. Sitaki kuamini kuwa anafanana na tikiti kwa rangi. Kwa mtu mwadilifu anayependa na kupigania haki ilipasa kwa hili awe mutually exclusive in time and space regadless kwamba ni chini ya mwamvuli wa siasa au sheria. Hivyo kwa hili inapasa ajipambanue kuwa anasimama upande upi.
 
Back
Top Bottom