Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Tatizo lililopo hapa ni kwamba watanzania hawa wa leo niwakufuata mkumbo tu na si waelewa wazuri wa mambo,wao hufuata upepo kama bendera,na hutofautina na mtu ambaye hata fuata upepo huo
labda kwa kuwa mada hii kaileta Nape,lakini kiukweli haiwezekani kabisa na hatuwezi kuungana mkono ktk hili kama bendera inavyo unga mkono upepo maana lengo ni kutokomeza wezi na sio kuwatetea na hili ndilo linalotegemewa na wananchi toka kwa vyama vya siasa hususani CDM,sasa akitokea mtu kuwatetea hao wala EPA na tukasema eti kazi yake inamruhusu si sawa.
very right mkuu

atakuja kiongozi wa dini aseme tuwaweke wafungwa wote hata wauaji huru maana mungu keshawasamehe... Na hilo wanaJF Waseme poa tu as long as mleta mada ni MFORC

WE MUST DRAW A LINE
 
Wabongo kwa unafiki, sasa hamjui kuwa Marando ni mnafiki? kwa nini anawatetea mafisadi? Hili halina ubishi wala uchama hapa! Au kwa kuwa ni CDM, ondoeni fikra za kipumbavu vichwani mwenu!

Pumbavu mwenyewe maskini wa fikra na mawazo tajiri wa akili maji ubongo matope
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
wewe kweli ni mropokaji, hivi kusema kwamba una kadi ya ccj ni kosa? Kukubali ama kukataa ni juu yako,binafsi nampongeza dr kwa kukubali. Kuhusu unafiki wanasiasa wengi ni wanafiki hata wewe kwa unafiki ni balaa je unakumbuka suala la kujivua gamba? Leo unawaramba miguu akina Lowassa. Nape bwana! Ama kweli ni SIHASA!
 
agreed!!!

Tufikie hatua sasa tuache unafiki na kuweka double standards.... Marando kuwatetea mafisadi mahakamani haiendani na falsafa ya chadema

I cant imagine leo anamtetea fisadi, kesho fisadi anashinda na kurudi mtaa na kuendelea na ufisadi then marando anarudi jukwaani kulaani ufisadi

MAYBE WE ARE NOT TAKING POLITICS TOO SERIOUS AT ALL, AND MARANDO IS JUST TAKING A PISS AT OUR SILLY POLITICS

Mkuu,
Hapa kwenye red ndiyo umepigilia msumari.

Wanasiasa uchwara kama huyu wanahitaji kupatiwa ujumbe kuwa hawatakiwi katika siasa zetu. Kwa bahati mbaya kabisa, kwa sasa wakisimama majukwaani wanaonekana ni mashujaa katika siasa zetu hizi za bila mashiko.

Kwangu mimi ninamuona yuko katika siasa kwa manufaa yake binafsi huku akipiga porojo kama ni mtetezi wa wananchi wanyonge nchini.
 
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.

au alimpeleka mabwepande kama juma na dr ulimboka
 
Nape wewe ni mbumbumbu wa sheria. Mlalamikaji na mlalamikiwa, mdai mdaiwa...wote wana haki sawa ktk macho ya kisheria kabla ya hukumu. Kazi ya wakili ni kuwa upande wowote.
 
Wakili unapomtetea 'muuaji' mahakamani haimanishi una-entertain mauaji ktk jamii. Wanasheria kazi yao ni ku-play in either party(s) ili kupata suluhisho mujarabu.
 
Wakili unapomtetea 'muuaji' mahakamani haimanishi una-entertain mauaji ktk jamii. Wanasheria kazi yao ni ku-play in either party(s) ili kupata suluhisho mujarabu.
tatizo ni pale unaposimama mwembe yanga na kuwapigia kelele wezi wa EPA then unaenda mahakamani kuwatetea,hapo ndipo mimi bado sijaelewa mantiki yake,kama asingepanda jukwaani pale jangwani na kuwakemea haina shida kuwatetea.
kwa mfano,kama asinge panda majukwaani na kupiga kelele juu yao,haina shida kuwatetea,lakini alisha jipambanuwa kuwa hakubaliani nao kwa kuwaibia watanzania mabilioni ya pesa,bado tena unakwenda watetea mahakamani,hapo watanzania wenye akili timamu lazima waone kuwa kunatatizo.
 
Back
Top Bottom