marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,634
- 3,660
Mwache afie mbali tu, kwanza alishaanza kunivurugia mood ya x-mas!
Atoke baada ya Easter kabisa...
Mwache afie mbali tu, kwanza alishaanza kunivurugia mood ya x-mas!
DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?
siku moja nilimsikia prof Safari, akimkatalia jamaa mmoja aliyekuwa na kesi akituhumiwa kutumia jina la Marehemu DR OMARY ALLY JUMA kutapeli mamilioni hapa mjini. Prof Safari aliitikia wito wa yule bwana, alipoelezewa kuwa wakili wa yule bwana, nilimsikia akimjibu yule bwana , kama ni kesi hii ,mimi naheshimiana saana na marehemu DR OMARY ALLY JUMA, utanisamehe siwezi kufanya kazi hiyo. tafuta wakili mwingine. Profesa SAFARI alionyesha weledi.Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.
Nape,
Tatizo lako ni kwamba una tendency ya kuanzisha mada halafu tukianza kukuuliza maswali unasepa. Inakuwa vigumu kwa watu makini kuchangia kwa sababu hiyo.
Nape Jr ndiyo mnafiki namba moja;Samwel Sitta unamuita "Mzee"lkn Dr Slaa ambaye kiumri ni mdogo kwa Samwel Sitta unamuita"kibabu"!
Then ni ww unayetakiwa uthibitishe kama sio mwanachama wa CCJ na wala sio Mabere Maucho Marando!Mbona akina Sitta wapo wazi tu na huwa wanasema kuwa"ni kweli walikuwa wanachama hai wa CCJ na walifuatwa kujiunga na chama hicho kwa sababu ya utumishi wao uliotukuka"
Sidhani kama kuna uongo kama ww hukuwahi kujiunga na CCJ otherwise unless with preponderance of evidence thibitisha kama sio kweli!
Ndugu yangu Nape, huu ndiyo wakati wa kurudisha imani kwa vijana walio makini. Weka hiyo scan ya barua tuione. Kama huwezi tumia hata mtu mwingine aje aimwage hapa. Kwani ktk hili inawezekana Marando ni mwanasiasa anapokuwa jukwaani na wakili anapokuwa mahakamani.Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.
NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!
Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
Hajajua kuwa kuwa jf haitaki kutaja taja majina... nimjuavyo laizma atalalamika fb kuwa jf ni ya cdm kisa kamsema malando mtu wa cdmNnauye Jr![]()
Banned
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thread hii imemletea ban.
Hajajua kuwa kuwa jf haitaki kutaja taja majina... nimjuavyo laizma atalalamika fb kuwa jf ni ya cdm kisa kamsema malando mtu wa cdm
Marando na watetezi wa
unafiki wake nijibuni swali moja tu na mawakili wengine pia msaidieni
mods usiunganishe thread hii pls ili isiwe ya kichama Bali kitaaluma
zaidi...
HIVI MARANDO MBAKAJI WA MKEO AU BINTI YAKO AKIJA UKAMTETEE MAHAKAMANI
UTAENDA KISA ANAKULIPA NA WEWE NI WAKILI??!!!!
Kama unajibu msaide tumkome hapa nyani waziwazi Kama huna kalaleAcha kuuliza maswali ya kipuuzi hapa jamvini. Huna kazi ya kufanya? Mngese nini?