Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI
Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?

Bwana Nape, Pamoja na siasa mnazozifanya, haziondoi ukweli kuwa kuna wakubwa na wadogo. Kwa age yako si sahihi kutumia maneno makali kiasi hicho kwa mtu ambaye ni sawa na baba yako. Hayo maneno nilitegemea yatamkwe na Mangula au Kinana. Bwana Nape kumbuka huko CCM wewe ni mwajiriwa tu. Kesho na keshokutwa unaweza kuondoka. USIFIKIRI KUPEWA UENEZI NDO UMEYAMALIZA MAISHA, NO. Ni vizuri ukawa na staha
 
Sijawahi kumwamini Marando kama ambavyo sijawahi kumwamini Prof. Safari
 
DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?

Nape hata hili linahitaji shule kweli? mtu anaweza kutuhumiwa ila mwenye haki ya kuthibitisha tuhuma hizo ni mahakama. Marandu kumtetea Patel mahakani ni sawa kwa kuwa kiapo chake kama wakili kinamruhusu kufanya hivyo. Hata ww unaweza kuchukua akutetee kama ikitokea ukashitakiwa hapo mwaka 2015 Tanzania itakapokuwa imepata uhuru na ukombozi wa kweli kwa siasa mnazozifafanya leo hii na wenzako.
 
Comrade Kagame,

Napela Nnauye ni miongoni mwa nguzo za ccm iliyopo sasa ni miongoni mwa Vijana wasioshindwa kirahisi. NAAMINI HAJAUKIMBIA UZI ALIOUANZISHA BALI YUPO KU-SCAN ile document ya Marando na Patel.

Napela Nnauye, fanya haraka sasa kaka. Wengine tunataka tuichangie hoja kwa ushahidi mahsusi.

kala ban kwa matusi! Hana nidhamu kwenye jamii ya GT
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?

VIVA Kamanda NAPE,huu moto wa kuwaumbua wanafiki na makuadi wa siasa za maji taka wanaovaa ngozi za kondoo kumbe chui wala nyama za watu usizimike tena,juzi tuliona jinsi katibu mkuu wa chadema anaendoka madarakani anavyoitumia ofc yake vibaya kwa kushirikiana na mwanamke aliezaa nae(bila ndoa) kujimegea eneo kubwa huko mabwepande,leo ya marando na mzee jeetu...
 
Aah, kwa huyu kijana wetu ngoja nipite tu kwani akishaona jina langu vidole vinaanza kusahau hata herufi kwenye keyboard. Na nikiingia hapa BURN zitaongezeka.
Mwache aende mwana kwenda.
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. LA HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BIUSHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?

Hapo kwenye red na mashaka napo,kuna tofauti gani na ulivyosema Dr.Slaa ana miliki na kuilipia kadi ya CCM ilhali hukutoa ushahidi ni siku gani za hivi karibuni na ofisi ya tawi gani alilokwenda kulipia.Isije kuwa kunya kanya kuku lakini akinya bata kaharisha.N siku zote kisu kikigusa mfupa maumivu yake hufika ndani ya moyo.
 
We nape huna kitu wewe,maneno mengi ila hamna kitu kichwani huu ni ukweli we mwenyewe unajua nachotaka kukusaidia ,elewa kuwa watanzania tunaelewa mambo siku hizi,hv kama ungekuwa na huo udhibitisho unangoja nini kuuweka? ili tusadiki unachosema,hii ndiyo sababu ata chama chako kwa akili zako walishindwa kukuamini kukupitisha kuwa mgombea w ubunge jimbo la ubungo kwa tiketi ya ccm,wanakujua kuwa wewe unaongea sana hasa upuuzi. Huna udhibitisho na ndiyo maana ujauweka habari ya kusema nita uta u_scan ya nini ? Ulipaswa kuuweka na si kuleta porojo,kumbe patel ni baba yako ongera,au unamwita hvyo kwa kujua msaada wake kwa familia yako ya ccm.
Niambie ule wimbo wa kuvuana magamba umeishia wapi? Haaa au ndo mlibadili maana?
 
tuambie unaitwa nani ndio tukujadili

Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
 
Nape badala ya kujibu hoja ya umiliki wa kadi ya ccj anazungusha mjadala wa kesi ya epa anayoshughulikia marando. Hovyo sana jamaa huyu. Anadai ushahidi uwekwe hapa wakati yeye hajawahi kuweka ushahidi wake dhidi ya shutuma alizotoa dhidi ya dr slaa.
Alafu sijui ana uhakika gani kwamba wateja wa marando wamesingiziwa na wahusika bado hawajakamatwa ndio sababu marando anawatetea?
Atuambie mbona hamuelezi bosi wake kuhusu kutokamatwa kwa rostam? Si hili pia alilalamikie hapa waziwazi? Mnafiki nape hawezi kujibu ukweli huu. Mpuuzi tu. Mnafiki mkubwa yeye.
 
Kuhusu unafiki wa Marando ngoja nimtetee kidogo. Marando as a politician anayo haki ya kukemea mafisadi na ufisadi. Marando as a lawyer anao wajibu wa kutetea washtakiwa mahakamani. Sioni unafiki hapo. Ni kama vile daktari aliyekula kiapo cha kutibu kila mgonjwa hata kama mgonjwa huyo alimpiga risasi dada yake.
Mkuu, wewe ni mwalimu? Mwanzoni hata mimi pia nilikuwa sielewi lakini kwa mfano huu wa daktari nna uhakika mimi na nape tumekuelewa vizuri
 
Weka hiyo scan Bwana Nape,kumuhukumu mtu kwa haki hakutakiwi logic bali evidences.
 
BAN imemtembelea Nnauye Jr kipindi cha sikikuu... Merry X-Mass huko uliko...
 
Last edited by a moderator:
BAN imemtembelea Nnauye Jr kipindi cha sikukuu... Merry X-Mass huko uliko...
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Nnauye Jr kwa kutojua maana ya wakili. Wakili kazi yake ni kusimamia haki na kuhakikisha haki ina tendeka!

Na kuna uwezekano hata huyo patel unaye msema mmemtoa chambo na inawezekana hausiki!

Nilisha sema narudia tena hoja ya card ni ya kipuuzi kabisa kwa hiyo wala usi lilie maana wewe ndio ulikuwa wa kwanza kucheza na huu upuuzi na wasio jua wakafata mkumbo!

Kaa chini usome maana ya wakili na kazi zake!
 
Last edited by a moderator:
Mh! Nnauye jr, kesi ya EPA si iko mahakamani jamani? Sasa we ndo unatakataja kwa lengo gani? Kujisafisha?

Halafu unakimbia mjadala?
 
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.

NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!

Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
Baada ya kusoma maelezo yako, nakubaliana na yaliyosemwa hapa JF, Mh Nape alizungusha shuleni. Pia nina wasiwasi na Degree zako ni za kununua. Mkuu umeshindwa kujenga hoja angalau moja ya kisomi tena kwa lugha yetu ya taifa?
 
Back
Top Bottom