Uwakili ni taaluma isiyo na mipaka. Kila mtu anastahili haki ya utetezi mbele ya sheria, hata wenye kesi za mauaji hupewa mawakili na serikali.DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani
na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?
Povu la nini weka hayo mawasiliano yasiyoacha shaka kwamba yametoka kwa Marando. Na kama hivyo ndivyo kwanini usimpeleke mahakamani kwa kusema uwongo na kukuchafulia jina badala ya kujificha nyuma ya keyboard na kulalamika?
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima..alidai kabla ya kusema kuwa wengine wana kadi zaidi ya moja ya vyama tujiangalie. Sitawajibia kina Mwakyembe na Mzee Sitta lakini nitasema kidogo ninavyomfahamu Mzee wangu sana Marando. HILI LA MIEKUMILIKI KADI YA CHAMA ZAIDI YA KIMOJA SI WIMBO MPYA NI LA SIKU NYINGI, LAKINI NI LA KIPUUZI MAANA HATA NILIPOWAAMBIA WATOE USHAHIDI HATA WA KUSHIRIKI TU VIKAO VYA CCJ NITAJIUZULU HAWAKUWEZA MPAKA LEO WAKAISHIA KIGA KELELE BARABARANI BILA USHAHIDI..KWAHIYO HILI NI LA KIPUUZI.
NI MARANDO HUYU ANAYEWATETEA WATUHUMIWA WA KESI ZA EPA, MAHAKAMANI ANAWATETEA, JUKWAANI ANADAI NI MAFISADI NI MPAKA ALIPOTAKIWA KUJIELEZA NA BABAANGU JEETU PATEL, NI KWA KIASI GANI AENDELEE KUAMINIWA KUWA WAKILI WAKE WAKATI AMESHAMUHUKUMU KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA KUWA YEYE NI FISADI, MASIKINI MARANDO KWA UNYENYEKEVU NA UANAFIKI WA HALI YA JUU KABISA AKAAANDIKA KWA MKONO WAKE KUWA, MANENO ALIYOYASEMA KUWA MIMI NAPE NIMEKULA PESA ZA EPA KUTOKA KWA JEETU YALIKUWA YAKISIASA NA KWAMBA ALISHINIKIZWA NA CHAMA CHAKE KUYASEMA..KWAMBA ETI ALIKUTA WAMESHAANDIKA ILE STORI YA KUTUNGA NA YEYE AKATAKIWA KUISOMA KAMA ILIVYO...HATA ALIPOWAKATALIA ALILAZIMISHWA KUYASEMA YALE... NAYE KWA UNAFIKI MKUBWA AKAKAA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI NA KUROPOKA KUWA ETI Nape alikula pesa za EPA!!! Mtu mzima huyu!!!
Namheshimu sana sana Marando lakini anapofanya unafiki ni bora tuseme ili asije akawa mfano mbaya kwa vijana wasiomjua nao wakafuata unafiki wake...akibisha nitakuja na scan ya mawasiliano yake na Jeetu Patel hapa.. Tunaweza kumwamini huyu?
Nape,Jeetul Patel babako?

Jamani au macho yangu! Kuna mahali Nape amemwita JITU TAPELI baba je! Huu ubaba unatoka wapi?
Marando ana makosa mengi, na watu wa aina hii wanatuvurugia sana nchi yetu wamekuwa wanatuma vibaya fursa hii ya kidemokrasia kutaka kujinufaisha, wamekuwa si wa kweli kwa Taifa hili,wamewajaza vijana ujinga, wanatumia waandishi njaa kuandika uozo wao hii mbaya sana.....Marando elimu yako itumie kujenga nchi usiitumie kwa kujitazama mwenyewe madhara yake ni makubwa sana....Chunga kuchafuka kisiasa hakutokusaidia bali kutkupoteza .........
Nimeshangazwa sana na shutuma za Marando juu yangu binafsi, Mwakyembe na Mzee Samweli Sitta.. Shutuma hizi zimenukuliwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari likiwemo gazeti la TanzaniaDaima.......