Simba yauza tiketi zote za Simba Day leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya siku yenyewe

Oya nawashauri wekeni skreen kubwa pale uwanja wa uhuru ili watu wengine wakajae na uhuru.
Kule uhuru pia kuwe na burudani ya wasanii kuanzia asubuhi, na kuwe na mechi za awali.

Na Game rasmi ya kesho, fanyeni hivi;
Simba ichezeshe vikosi vitatu- kikosi Cha kwanza Kicheze hadi dk 30. ibadili kikosi chote kiiingie kikosi cha pili hadi dk. 60, kimalizie kikosi kingine hadi dk 90. Utakuwa ni unyama mwingi sana
 
Inasaidia nini huku ukiwa huna Makombe....huna Ubingwa

Vipi kama Muddy kaamua kujifurahisha kwa kununua tiketi nyingi...

Wapi ilipo B20 ya uwekezaji?
Ndugu umeumia sana. Unaongea kwa uchungu mpaka huruma, UTHIBITISHO subiri tuona fungulia dog itakuwepo au ndo hakuna hata kiti kimoja kitabaki over.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kiingilio cha mtu 1 siku ya wananchi ni sawa na watu 8 makolo day
IMG-20230719-WA0000(1).jpg
 
Title ilipaswa kuwa hivi:-

Simba yauza tiketi zote za bei chee leo Agosti 3, 2023, zaidi ya saa 48 kabla ya Simba Day​

 
Kiingilio cha mtu 1 siku ya wananchi ni sawa na watu 8 makolo dayView attachment 2707478
Na hii free boti usisahau kuizungumzia pia
Screenshot_20230803-231735.png


Wote tunajua katika hizi Clubs mbili linapokuja swala la mchango au jambo lolote linalowahitaji Mashabiki kutoa pesa, Yanga imekuwa nyuma.

Simba wangekuja na hiki kiingilio cha 10K ambacho mlikiweka nyie ingejaza watu vizuri bila shida na mngejificha kwenye sababu nyingine kama kawaida yenu.

Ile competition ya nani zaidi unaikumbuka?
 
Brother imeisha hiyo....! Ninyi kuhusu makombe mtasubiri saana..! Sis tukiwa tunabeba makombe, ninyi mtakua mnajisifia sijui Giant wa Africa ( Hata fainali hakuna )... Ni swala la muda na Afya njema tutashuhudia hapa
Makombe gani?

Hayo 22 dhidi ya 21 ambayo tunayo sisi?

Au ile mechi yenu ya juzi dhidi ya magereza baada ya ushindi wa goli 10 nayo ilikuwa ni mechi ya kombe. Mmeongeza idadi?
 
Makomve gani?

Hayo 22 dhidi ya 21 ambayo tunayo sisi?

Au ile mechi yenu ya juzi dhidi ya magereza baada ya ushindi wa goli 10 nayo ilikuwa ni mechi ya kombe. Mmeongeza idadi?
Et 22 kwa 21....! makolo mnajua saana kujitoa ufaham, basi tufanye Yanga anajumla ya mataji 10 kama mnaumia kuhusu mataji 28...! Tuombe uzima tu ligi ikianza msianze kutia tia huruma na lawama kibao .. Mm naomba angalau mlete ushindani msimu huu.. vinginevyo wembe ni ule ule Yanga atabeba mataji yote ya ndani na simba mtabaki kusema mliuza tiket zote kwenye bonanza, sijui group stage .. Yani mtatafuta saana faraja ila WAPI..
 
Back
Top Bottom