Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
mbona haoni tim yoyote bali yanga wapo wanajenga vibanda sana hadi wanaboa
Mkuu japo una mahaba na simba basi angalau kuwa mkweli! yaani lainzmeni yuko bize mno upande mmoja tu! kwani hao simba mara ngapi wanafanya faulo lakini anayezikemea ni refa peke yake jamaa anauchubua tu! hatukubali!