Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Sub waliyoifanya yanga itawakosti sana.
Kama kulikuwa na ulazima wa kutoa foward basi wa kutoka alikuwa ni Bahanuz na sio Hamis Kiiza.
Nizar Khalfan anapunguza spidi ya mashamulizi.

huwa wanaamini baamedi ni mkali kuliko kiiza labda kala mlungula..
 
halafuuuuuuuuuuuuuuu.....Kaka...Nyinyi. WaBayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........wabaya.......nyinyi........
 
tunakimbilia kufukuza makocha pasi ya kuwekeza ktk soka,ingekuwa kufukuza ni suluhu basi liverpoor ya UK ingekuwa na makocha 1000

Umesema kweli jombaa lakini naomba unikumbushe Liverpool imechukua Ubingwa wa Premier kwa mara ya mwisho mwaka gani vile?

Coaches are hired to be fired!
 
Leo simba akitoka nitaamini kuna watu wachawi, mpira umechezwa upande mmoja tu baada ya simba kufunga dakika ya nne. Niko na jamaa yangu hapa wa simba tunacheki gem muda wote kashikilia nanii hapa katikati ya mapaja.
 
Huyu mgeni wa Star TV anayehojiwa na A. Tilata anaonekana ni mnazi wa Yanga sana. Sijui wamemtoa wapi lol!
 
˙˙˙ıʍʞıʍʞıʍʞ ɐƃuɐʎɐuɐʍ ɐuɐs ıuǝןod
 
Yaani kwa hiki kiwango tulichoonyesha Mnyama akipona leo nitaamini kile kimvua kilikonyesha hizi pande zetu kimetokea Zanzibar walipokuwa wamepiga kambi
 
Back
Top Bottom