Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Na mpira ni mapumziko huku yanga akiwa amekaliwa na mnyama
 
Yanga wao Mbio kwenda kukaa Vyumbani wanaenda kukata kiu, Simba wapo United leo kilichobaki nikuonana tu hii game Simba ndio tutaondoka Kidedea.
 
Simba mpira pesa...maneno yako kwenye kanga sio uwanjani ..hahaaaa
 
Sub waliyoifanya yanga itawakosti sana.
Kama kulikuwa na ulazima wa kutoa foward basi wa kutoka alikuwa ni Bahanuz na sio Hamis Kiiza.
Nizar Khalfan anapunguza spidi ya mashamulizi.
 
Back
Top Bottom